KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AFANYA ZIARA JIMBO LA NZEGA VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Mbunge wa jimbo la Nzega,Dkt Hamisi Kigwangalla,ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii mapema leo mara baada ya kuwasili kwa ziara...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA TEMEKE AZINDUA JUKWAA LA WANAWAKE WILAYANI HUMO
Mkuu wa Wilaya ya TemekeFelix Lyaniva azindua jukwaa la wanawake Kiwilaya katika viwanja vya Mwembe Yanga. Katika uzinduzi huo DC Lyaniva asisitiza wanawake kupendana,kuwa na umoja ili kujiletea...
View ArticleYANGA KUANZA NA WASHELISHELI KLABU BINGWA, SIMBA WADJIBOUT
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara timu ya soka ya Yanga wamepangwa kuanza na timu ya St Lous ya Seychelles katika mchezo wa raundi ya kwanza katika michuano ya klabu bingwa barani...
View ArticleWAZIRI WA AFYA ZANZIBAR APOKEA MSAADA WA MADAWA
Waziri wa Afya Mhe,Mahmoud Thabit Kombo katikati akipokea msaada wa madawa aina mbalimbali kutoka Serikali ya Oman uliokabidhiwa na Balozi wa Oman anaefanyia kazi zake Zanzibar Dk,Ahmed Hamood Al-Habsi...
View ArticleAGGREY&CLIFFORD YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO WANAOISHI MAZINGIRA MAGUMU,...
Kampuni ya Aggrey&Clifford imetoa msaada wa fedha kusaidia kununua mahitaji kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Sadeline Health Care Trust kilichopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam....
View ArticleRais Magufuli Aiagiza BOT kuharikisha Sera ya Riba
Na: Beatrice Lyimo,MAELEZO-DODOMARais Dkt. John Pombe Magufuli ameihimiza Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuharakisha uandaaji wa Sera ya Riba ambayo zitaifanya taasisi za kifedha kuwa na riba zinazowiana...
View ArticleSERIKALI YAWEKA MIKAKATI YA KUWAONDOA VIJANA KATIKA MAZINGIRA HATARISHI ILI...
Na EmanuelMadafa,Mbeya ,JamiiMojaBlog.Serikali inayo wajibu wa kuhakikisha kuwa inawaondoa vijana kwenye mazingira hatarishi na kuhimiza ushiriki wao kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi ili kuleta...
View ArticleWAKULIMA WA PAMBA MKOANI TABORA WATAKIWA KUUZIA KAMPUNI ZILIZOWAKOPESHA MBEGU...
NA TIGANYA VINCENTWAKULIMA wa Pamba mkoani Tabora wametakiwa kudiriki kuuza mazao yao kwa Kampuni ambazo hazikuwakopesha mbegu na viuawadudu ili kuzidisha imani kwa waliosaidia kuwapa mbegu kwa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine kufunua kitambaa kuashiria kufunguliwa kwa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la...
View ArticleMBUNGE WA JIMBO LA NZEGA VIJIJINI DKT KIGWANGALLA AKABIDHI PIKI PIKI 19 MBELE...
Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla leo amekabidhi piki piki 19 kwa Viongozi na Watendaji wa kata 19 ndani ya jimbo hilo,makabidhiano...
View ArticleRC Wangabo asimamisha shughuli za uvuvi Ziwa Rukwa Kujikinga na Kipindupindu.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesimamisha shughuli za uvuvi katika ziwa Rukwa hadi hapo wataalamu wa afya watakapojiridhisha kuwa hakuna ugonjwa wa kipindupindu katika kambi za uvuvi...
View ArticleWILAYA YA KISHAPU YATEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA SEKTA YA ELIMU YA...
Na Robert Hokororo, Kishapu DCHalmashauri ya Wilaya ya Kishapu imeendelea kutekeleza miradi yake ya maendeleo katika sekta ya elimu ya msingi kutokana na fedha zilizotolewa na Mamlaka ya Elimu Tanzania...
View ArticleAfCHPR ziarani Jamhuri ya Cape Verde
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) yenye Makao yake makuu jijini Arusha inafanya ziara ya kikazi katika Jamhuri ya Cape Verde ili kukutana na kuelimisha wadau mbalimbali nchini...
View ArticleBENKI YA CBA TANZANIA YAZINDUA VISA CARD MPYA MAHUSUSI KWA WATEJA WAKE MSIMU...
Mkurugenzi wa Mkuu Mtendaji wa Benki ya CBA Tanzania,Gifty Shoka (kushoto)akimkabidhi VISA Card mpya ya benki hiyo Mkurugenzi wa mauzo na masoko wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,Seraphin Lusala...
View ArticleSERIKALI IMETUMIA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 500 KUKAMILISHA MRADI MKUBWA WA...
Na Jumbe Ismailly SERIKALI imetumia zaidi ya shilingi bilioni 500 kugharamia mradi wa usambazaji wa nishati ya umeme wa msongo wa KV 400 ulioanza kutekelezwa mwaka 2016 na kukamilika mwaka 2016 kutoka...
View ArticleBarclays awards University of Dar es Salaam students with full scholarships
Barclays Bank Tanzania Limited invests in Education 24 University students from the University of Dar es Salaam receive full scholarships to study. Speaking during the announcement, which took place at...
View ArticleKHERI APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI DODOMA
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi ndg:Kheri D James akizungumza na Vijana wa mkoa wa dodoma katika hafla ya kumkaribisha iliofanyika makao makuu ya CCM DODOMA.Makamu Mwenyekiti wa...
View ArticleMSHAURI WA ELIMU BEATRICE :WALIMU WENYE UWEZO WANATAKIWA KUFUNDISHA WANAFUNZI...
Na Said MwisheheMSHAURI wa elimu nchini kutoka Shirika la Maendeleo la Canada, Beatrice Omari amesema walimu wenye uwezo mkubwa kufundisha na walio na hekima, busara na uvumilivu ndio wenye kustahili...
View Article
More Pages to Explore .....