Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga awaasa Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la nne (4) la...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(katikati) akiongea katika kikao cha uongozi wa Wizara hiyo na Wabunge Wateule wa Tanzania kwenye Bunge la...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kaimu Mkurugenzi TAA, Ataka Madereva Wa Magari Ya Zimamoto kuyatunza

KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela amewataka madereva wanaoendesha magari ya zimamoto na uokoaji kwenye viwanja vyote vya ndege Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA WAPANGWA KUNDI MOJA NA SINGIDA UNITED KOMBE LA MAPINDUZI

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Tanzania bara timu ya soka ya Yanga imepangwa kundi moja na Singida United katika ushiriki wa michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAMA AMSHUKURU RAIS DKT. MAGUFULI KWA UAMUZI WA KUWASAMEHE WASANII BABU SEYA...

Na Kajunason/MMG.  Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Action Mart, Alex Msama amshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kitendo cha kutoa msamaha kwa wanamuziki maarufu nchini, Papii Nguza (Papii Kocha)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBE UNGA WA MUHOGO HUTENGENEZEA KIWASHIO MOTO CHA KIBIRITI?!!

Na Richard Mwaikenda, Mkuranga UNGA wa muhogo unatumika kutengenezea kishungi cha kuwashia moto katika vibiriti.Jambo hilo lilithibitishwa na Mkurugenzi wa Kiwanda cha kusaga muhogo cha Ukaya,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WACHIMBAJI WA JASI WALILIA SOKO LA UHAKIKA

Wachimbaji wa Madini ya Jasi Mkoani Singida wametakiwa kufanya shughuli zao kwa uaminifu ili kujihakikishia soko la uhakika.Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ametoa wito huo Desemba 11, 2017...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI NZIMA YA MKIKITA WAHAMIA SHAMBANI VIKINDU KUPANDA MCHAICHAI

Na Richard Mwaikenda.OFISI nzima ya Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Livinggreen), umehamia shamba Vikindu kuanza kampeni ya kupanda mchaichai.Katika kampeni hiyo ya aina yake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MBARAWA ATAKA UJENZI RELI YA KISASA KUHARAKISHWA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa ametoa wito kwa mkandarasi Yapi Merkezi na Motaengil Africa wanaojenga reli ya kisasa (Standard Gauge Railway), kufanya kazi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC PWANI AFUNGA MAFUNZO YA SUMA JKT RUVU

 MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kampuni ya ulinzi ya Suma JKT kwenye kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha 832 Kj cha Ruvu Mlandizi - Kibaha....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MUFINDI: MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA UTASAIDIA KUTOKOMEZA RUSHWA KWENYE...

Na Afisa Habari MufindiMkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Jamhuri William amesema, endapo Ofisi za Umma hazitodhibiti ipasavyo mifumo na urasimu uliowekwa kwenye Ofisi za Serikali, masuala hayo yanaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MNADA WA TATU WA KIMATAIFA WA MADINI YA TANZANITE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO DECEMBER 13,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI UFUNGUZI WA MKUTANO WA 9 WA UMOJA WA WAZAZI WA CCM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTELEKEZAJI FAMILIA 'WASHAMIRI' KATA YA SARANGA JIJINI DAR

  KESI za wanaume kutelekeza familia zao zimejitokeza kwa wingi Kata ya Saranga eneo la Kimara Temboni jijini Dar es Salaam kwenye kituo maalumu cha muda kilichoendeshwa kutoa huduma za pamoja kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AKAGUA MIRADI YA UMEME REA III KONGWA NA KONDOA

Na Veronica Simba – DodomaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekagua maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) katika Wilaya za Kongwa na Kondoa mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA TAKWIMU WAKUTANA KUJADILI NA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA MALENGO YA...

Na Emmanuel GhulaWADAU wa Takwimu nchini wamekutana ili kujadili upatikanaji wa Takwimu za msingi na uzalishaji wa takwimu na mapungufu yaliyopo katika kupima na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA TAWI JIPYA LA BENKI YA CRDB MJINI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifungua rasmi Tawi la Benki ya CRDB lililopo katika jengo la LAPF mjini wa Dodoma leo. Wengine katika picha ni Waziri Mkuu mstaafu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIMON SIRRO AKIWA ZIARA MKOANI KIGOMA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa kwanza kushoto akisalimiana na viongozi  wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kigoma baada ya kumaliza kikao  katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUWEKE MKAKATI MAALUMU KUFUATILIA VIWANDA VIPYA-MHANDISI MANYANYA

Na Said Mwishehe wa Globu ya JamiiNAIBU Waziri wa Viwanda , Biashara na Uwekezaji, Mhandisi  Stella Manyanya amesema ipo haja ya kuwa na mkakati maalumu wa kufuatilia viwanda vinavyoanzishwa nchini ili...

View Article
Browsing all 109593 articles
Browse latest View live




Latest Images