Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO...

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimkaribisha Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mazungumzo yenye lengo ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chuo Kikuu cha SAUT na matawi yake chatoa wahimu 8687

Dkt. Darius Mkiza akitunukiwa Shahada ya Uzamivu (PhD) katika fani ya Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT) na Askofu Flaviani Matindi Kassala wa Jimbo Katoliki la Geita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanga Cement yashinda ushindi wa jumla tuzo za NBAA kwa mwaka wa pili mfululizo

  Mhasibu Mkuu wa Serikali, Francis Mwakapalila (kulia), akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza wa kipengele cha Wazalishaji katika tuzo za Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Mahesabu za Bodi ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOKISEMA BALOZI DR.KAMALA KWENYE ZIARA YA GHAFLA KATIKA KITIO CHA AFYA...

MBUNGE WA JIMBO LA NKENGE BALOZI DR.DIODORUS KAMALA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KITUO CHA AFYA KABYAILE NA KUBAINI CHANGAMOTO YA HUDUMA WATUMISHI,MIUNDOMBINU NA VITENDEA KAZI 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAIBUKA KIDEDEA TAARIFA BORA YA HESABU KWA MWAKA 2016

Benny Mwaipaja-WFM, Dar es SalaamWizara ya Fedha na Mipango Fungu Hamsini (Vote 50)linalohusika na masuala ya utawala, limeibuka kinara kwa kupata tuzo ya mshindi wa kwanza katika utoaji wa Taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GAMBO AWAASA WATAALAM WA UGAVI NA UNUNUZI KUZINGATIA UADILIFU KATIKA KAZI ZAO

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo amewaasa wataalam wa ununuzi na ugavi kuzingatia maadili katika kazi zao za kila siku ili kuleta ufanisi katika maeneo wanayotumikia.Bwana Gambo ameyasema hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SNS YAPONGEZWA KWA KUWAJALI WATU WENYE MAHITAJI MAALUM

Mratibu wa Elimu Kata ya Kigamboni Bibi. Angelina Ngasaswa akizungumza na wanafunzi wa Elimu ya Watu Wazima na Watu wenye uhitaji maalu wanaofundishwa chini ya uratibu wa Shirika lisilo la Kiserikali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MAADHIMISHO YA SIKU MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU KITAIFA

`Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameziagiza Taasisi zote zenye usimamizi kuhakikisha zinasimamia vyema jukumu lao la kutumia nafasi zao kuongeza juhudi katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAWATOA HOFU WATEJA WAKE JUU YA MFUMO WA UNUNUZI WA LUKU

 Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiShirika la Umeme Tanzania Tanesco limewatoa hofu wateja wake juu ya mfumo wa ununuzi wa Umeme kwa njia ya luku na kusema kuwa kwa sasa upo sawa na wanaweza kununua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAMUAGA MWANAHABARI JOYCE MMASI JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto MwaibaleVILIO Majonzi na simanzi vilitawala   wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa mwanahabari nguri Joyce Mmasi iliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.Katika ibada hiyo...

View Article

VIDEO: KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AELEZEA NAMNA MSAMAHA WA RAIS KWA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO DECEMBER 11,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI ALIVYOFUNGUA MKUTANO MKUU WA TISA WA...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wajumbe wa mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kuufungua katika Ukumbi wa Julius Nyerere mjini Dodoma leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO ATEMBELEA KIKOSI 673 CHA JESHI LA WANANCHI MKOANI DODOMA.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati) akikagua maandalizi ya JWTZ Kikosi cha 673 katika harakati za maandalizi ya kuamia mkoani Dodoma na alietangulia mwenye nguo nyeusi CEO Meltus...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA UTANGAZAJI ZANZIBAR (ZMCL) LATILIANA SAINI USHIRIKIANO NA KITUO...

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa CCTV Li Yi (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa ZMCL Muhammed Seif Khatib wakitiliana sainai makubaliano ya ushirikiano baina ya vituo hivyo viwili vya utangazaji katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA KUKUSANYA ZAKA NA SADAKA (JUZASA) YAANDAA WARSHA KWA...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Wakulima Mohd Hafidh akifungua warsha ya siku moja ya kuwaelimisha wafanyabiashara wa kiisalamu umuhimu wa kutoa zaka kwa njia iliyosahihi ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JWTZ WAZUNGUMZIA VIFO VYA WANAJESHI 14

Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania limesema kikundi chake cha ulinzi na usalama kilichopo DRC kwaajili ya kutekeleza jukumu la ulinzi na amani kilivamiwa na Waasi waliojilikana kuwa ni ADF na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

mkuu wa mkoa wa Geita atembelea maonesho ya viwanda ya pili jijini Dar es...

 Mkuu wa Mkoa wa Geita, Ndugu Robert Gabriel akipata maelezo ya Wizara kutoka kwa Bibi Jane Lyatuu alipotembelea banda la wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika maonesho ya Viwanda vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HDIF YAWAWEZESHA WAKAZI WA MAGANZA KISHAPU KUPATA MAJI SAFI

 Mtaalamu wa maji wa Shirika la ICS....linalotekeleza mradi wa kusambaza maji safi na salama kwa kutumia teknolojia ya malipo kabla unaofadhiliwa na HDIF akielezea jinsi teknolojia hiyo inavyofanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATU MZUKA YAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KATIKA KUBORESHA NA KULINDA USAFI...

 kampuni ya The Net Work inayochezesha mchezo wa Kubahatisha wa Tatu Mzuka mwishoni mwa wiki imeadhimisha miaka 56 ya Uhuru kwa kufanya usafi wa mazingira katika ufukwe wa bahari ya Hindi eneo la Kawe...

View Article
Browsing all 110173 articles
Browse latest View live




Latest Images