Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109941 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT NCHIMBI ASHAURI WAHADZABE WAPEWE AJIRA ZA MUDA KUPITIA TASAF

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi ameshauri Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) uanzishe kazi za ajira za muda, kwa walengwa wa Mpango huo kutoka jamii ya Wahadzabe waliopo Wilayani...

View Article



MIAKA 56 YA UHURU:RAIS MAGUFULI AELEZA MAFANIKIO YA SERIKALI.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WA BABU SEYA WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA MSAMAHA KWA BABA YAO

Na Said Mwinshehe, Globu ya JamiiiMTOTO wa kwanza wa mwanamuziki Nguza Vicking, Nguza Mbangu amesema Mungu ameonyesha ukuu wake na kuifanya familia yao iliyokuwa kwenye kilio cha muda mrefu sasa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA MIAKA 56 YA UHURU MJINI DODOMA LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOKTA MPANGO AWASHAURI WAKANDARASI KUTUMIA MALIGHAFI ZA NDANI KATIKA SEKTA YA...

Na Benny Mwaipaja, DodomaWaziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amekagua ujenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu-NBS mjini Dodoma na kutoa wito kwa wakandarasi wanaojenga miundombinu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THBUB yampongeza Rais kwa kuwafutia watu 61 adhabu ya kifo

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga kwa niaba ya Tume na Wafanyakazi wote wa THBUB anachukua fursa hii kumpongeza kwa dhati Mhe. Rais wa Jamhuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAMAHA WA RAIS KWA WAFUNGWA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 56 YA UHURU WA TANZANIA...

Katika kuadhimisha Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe      9 Disemba, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU SEYA, PAPII KOCHA WATOKA GEREZANI JIONI HII

Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) pamoja na Mwanaye Papii Kocha wakipunga mikono muda huu baada ya kutoka katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam wakokuwa wanatumikia kifungo cha maisha na sasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA PSPF

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LAKO PENDWA LA KISWAHILI LA HABARI LEO LABISHA HODI RWANDA KWA KISHINDO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGA MKUTANO MKUU WA TISA WA UWT

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Viongozi waliochaguliwa kuongoza kwa kuzingatia Katiba, Kanuni za UWT, CCM na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUFANYA MAPITIO YA MIRADI YA MAJI KUANZIA MWAKA

Serikali imewaagiza Wahandisi wa maji kuhakikisha wanasimamia miradi ya sekta ya maji nchini inayozingatia thamani ya shilingi na yenye kuleta tija kwa Watanzania.Akiongea katika ziara yake mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Majina ya Wanajeshi 14 walifariki huko nchini Congo

1.Pte Mwichumu 12 kj 2.Pte Hali Haji Ussi band coy 3.Pte Hamad Mzee Kamna 12 kj 4.Deogratius Kamili 101 5.Juma Mossi 11 kj 6.Paschal Misingo 11 kj 7.Idd Abdala SMV 8.Cpl Issa Khamis 111 9.Pte Shaziri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO DECEMBER 10,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO WA TISA WA UVCCM MJINI...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM , Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa mkutano wa Umoja wa Vijana wa Chama hicho (UVCCM) kabla ya kufungua mkutano wao wa Tisa unaofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NUNUA LUKU KWA NJIA ULIYOZOEA BAADA YA MAREKEBISHO SASA MAMBO POA

SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) Tunawataarifu Wateja wetu kuwa, hivi sasa mifumo ya LUKU inapatikana katika njia zote za manunuzi.Wateja mnaweza kufanya manunuzi kwa kutumia njia zote.Asanteni kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA PSPF

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI TAMISEMI,JOSEPH KAKUNDA AFURAHISHWA NA MIRADI YA KUWAWEZESHA...

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi),Joseph Kakunda(kushoto) akipanda ngazi kukagua mradi wa maji wilayani Longido,akiwa na Mkuu wa wilaya ya Longido mkoa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jiji la Dar es Salaam lapata tuzo kupitia Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka

JIJI la Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji 10 duniani ambayo yamepata tuzo ya C40 Bloomberg Philantropies 2017 kupitia Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka.Katika tuzo hiyo mwaka huu imepokelewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ATIA SAINI NYARAKA ZA MSAMAHA WA WAFUNGWA 63 AMBAPO 61...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini Nyaraka zenye majina ya Wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya Familia ya Nguza Viking (Babu Seya),...

View Article
Browsing all 109941 articles
Browse latest View live




Latest Images