Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110148 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WA ZANZIBARA NA TANZANIA BARA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM KUANGALIA...

Na Dotto MwaibaleVIJANA wa Zanzibar na Tanzania Bara wamekutana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuangalia fursa zilizopo nchini ili kuliletea taifa maendeleo.Katika mkutano huo uliofanyika mwishoni...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA MWITA AHUDHURIA MKUTANO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA ULIOANDALIWA NA...

MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita ameondoka Jijini hapa jana jioni kuelekea Addis Ababa, kuhudhuria mkutano wa kujadili changamoto zinazo wakabili viongozi wa serikali za mitaa.Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watanzania Changamkieni Fursa ya kujiandikisha kushiriki katika maonyesho ya...

View Article

Mahojiano na Saidi Kanda - sehemu ya 3

Sehemu ya 3 ya mazungumzo yetu na mwanamuziki mpiga ngoma na muziki wa jadi- Saidi Kanda anaelezea baadhi ya wanamuziki aliyofanya nao kazi. Na nini kajifunza au atafundisha kutokana na hilo?

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO SITA WENYE MATATIZO YA MOYO WAENDA KUTIBIWA NCHINI ISRAEL

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s  Heart – SACH) ya nchini Israel zimewapeleka  watoto sita (6) wenye umri wa mwaka mmoja hadi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIO CHENU NIMEKISIKIA MIMI MWENYE MAMLAKA YA KUFANYA MABADILIKO, APONGEZWA...

Na Hamza Temba, Arusha..............................................................Wadau wa Utalii Jijini Arusha wamempongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla kwa kukubali...

View Article

HOTUBA YA RAIS DKT.MAGUFULI KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 9 WA UVCCM DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI NA UMOJA WA MATAIFA ZAUNGANA NA MRADI WA DUNIA WA XPRIZE ILI...

 WILAYA YA MUHEZA, TANGA, TANZANIA – Katika sherehe zilizofanyika katika kijiji kimoja huko mkoani Tanga, Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Shirika la Umoja wa Mataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA KUWAIT NCHINI AL-NAJEM AMKABIDHI DIWANI WA VIGWAZA VIFAA VYA WENYE...

Balozi wa Kuwait nchini ,Mhe.Jasem Al- Najem akizungumza na baadhi ya wananchi wa Vigwaza kwenye zahanati ya Vigwaza Chalinze Bagamoyo Mkoani Pwani baada ya kumkabidhi diwani wa kata ya Vigwaza Mohsin...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA BOTSWANA LAUOMBEA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI

Uongozi wa serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania inayoongozwa na Dr. John Pombe Magufuli ni mfano wa kuigwa kwa nchi za Afrika kwa kuwa umekuwa makini kutumia vizuri rasilimali za nchi kwa manufaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPINA AFUTA TOZO ZOTE ZA MIFUGO ZISIZOZINGATIA SHERIA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina akisoma stakabadhi ya malipo ya sh 50,000 kwa kila ng’ombe kinyume cha sheria aliyotozwa mfugaji wa Kijiji cha Handa, Tulway Bombo ambapo Waziri Mpina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MHANDISI MANYANYA ATEMBELEA MAONESHO YA PILI YA VIWANDA JIJINI DAR

 Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Mhandisi Stella Manyanya ametembelea maonesho ya pili ya Viwanda vya Tanzania na kujionea uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za viwanda vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA WIKI YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA GEITA

Mhandisi Robert Gabriel Mkuu wa Mkoa wa Geita aliyevaa koti la rangi ya dhambarau na miwani akipata maelezo juu ya matumizi ya kamera za barabarani kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa...

View Article


VIDEO: TTB YAMKABIDHI BENDERA BALOZI WA UTALII NCHINI MAREKANI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNAZO RASILIMALI NYINGI LAKINI BADO KUNA HALMASHAURI ZINALALAMIKA HAKUNA...

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amezitaka halmashauri za Mkoa wa Singida kuacha kulalamika kukosa mapato bali watumie vizuri rasilimali nyingi zilizopo, ambazo zikitumika vizuri zinaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti Mpya wa UVCCM apatikana mjini Dodoma leo

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Kheri James, nje ya Ukumbi wa Chuo cha Mipango, mjini Dodoma Desemba 11, 2017...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AKAGUA NA KUSHIRIKI MAZOEZI YA UKAKAMAVU NA ASKARI WA MKOA WA TABORA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro wa tatu toka kulia leo asubuhi alishiriki mazoezi ya utayari na kuwatia hamasa Askari wa Mkoa wa Tabora, katika ziara yake ya siku moja mkoani humo, hatua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASAINI MIKATABA MINNE YA UJENZI WA BARABARA

Serikali imesaini mikataba minne na kampuni nne za ujenzi wa barabara yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 702 kwa ujenzi wa kilomita 402. Tukio hilo la kusaini mikataba hiyo limeshuhudiwa na Waziri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

bei mpya ya mafuta Zanzibar kwa mwezi wa Disemba kuanzia kesho

Kaimu Mkurugenzi masuala ya wateja wa Mamlaka ya udhibitiwa huduma wa nishati na maji(ZURA) Mussa Ramadhani Haji akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini Maisara Zanzibar.(Picha na Kijakazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAASWA KUJENGA UZALENDO, KULINDA RASILIMALI ZA NCHI

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella akishiriki kupanda katika Shule ya Msingi Jeshini wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru, huku baadhi ya makamanda, maofisa na wapiganaji wa Jwshi la Wananchi wa...

View Article
Browsing all 110148 articles
Browse latest View live




Latest Images