Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WAPUNGUA HADI ASILIMIA 4.4

Na Emmanuel GhulaMfumuko wa Bei wa Taifa wa mwezi Novemba, 2017 umepungua hadi kufikia asilimia 4.4 kutoka asilimia 5.1 mwezi Oktoba, 2017. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK SHEIN AWASILI MKOANI DODOMA KUHUDHURIA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kusalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kondoa, Sezaria Makota kwa ajili ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU ZA MIAKA 56 YA UHURU KUTOKA KWA KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. A. P. Makakala ametoa salaam za Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania bara kwa Watanzania alipokuwa akiwaaga watumishi wa Idara ya Uhamiaji Makao Makuu akielekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Madabida na wenzake wapelekwa rumande hadi Decemba 15

Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetupilia mbali hoja za mawakili  wa utetezi na kuuamuru upande wa jamhuri kuhakikisha tarehe ya kutajwa kwa shauri hilo wawe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATUA YA AWALI YA MABORESHO YA RELI YA KUROKA KOROGWE MPAKA ARUSHA YAENDELEA

Mafundi wakiendelea na Maboresho ya Reli ya kutoka Korogwe, Mombo, Moshi mpaka Arusha katika eneo la Stesheni ya Mombo ikiwa ni kazi ya awali ya kumalizia maeneo yaliyokuwa wazi kutokana na mataluma ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Nditiye atoa siku 14 kwa Tipper kuunganisha bomba kwa TPA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiNAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Ashasta Nditye, ametoa siku 14 kuhakikisha bomba la mafuta la Kimataifa linalosambaza mafuta (TIPPER), liwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: ROSE FANUEL MARO AFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM

Familia ya Dkt. Fanuel Maro na  Bibi Violet Maro ya Upanga Mashariki jijini Dar es salaam  inasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa Rose Fanuel Maro kilichotokea jana Alhamisi Desemba 7, 2017...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDUMA YA USAFIRI WA APP YA TAXIFY YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Taxify, App ya huduma ya usafiri inayokuwa kwa kasi barani Ulaya na Afrika, leo imezinduliwa jijini Dar es Salaaam, huku mamia ya madereva wakiwa wamejiorodhesha ili kutoa huduma katika sehemu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAONGOZA NDEGE WAASWA KUTUMIA TAALUMA KWA MAENDELEO YA KUKUZA UCHUMI WA NCHI

Na Chalila Kibuda , Globu ya JamiiKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamkala ya Usafiri wa Anga (TCAA), Valley Chamuluyu amesema kuwa waongoza ndege wameaswa  kutumia taaluma zao katika maendeleo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO AMSIMAMISHA KAZI MKURUNGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NKASI

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma juu ya kumsimamisha kazi Mkurungenzi wa Halmashauri ya wilya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGONJWA 80 WENYE MATATIZO YA MOYO KUFANYIWA UPASUAJI WA KUFUNGUA NA BILA...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Little Hearts ambao wanafadhiliwa na Taasisi ya Al- Murtada ya nchini Saudi Arabia wanatarajia kufanya matibabu ya moyo kwa wagonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA...

 Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari juu ya Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasimi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO DECEMBA 9,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wasanii wakiwa katika sherehe za Uhuru uwanja Jamhuri, mjini Dodoma

 Baadhi ya Wasanii wa kizazi kipya wanaounda kundi la Tanzania All Stars wakiwa katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yanayoendelea kufanyika hivi sasa kwenye uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA MSAADA WA KISHERIA

Mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Msaada wa Kisheria, Jaji Mkuu wa Tanzania , Mhe. Prof. Ibrahim Juma akiongea na wananchi kabla ya kufunga maadhimisho hayo katika viwanja vya shule...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa uliofanyika jana usiku kwenye ukumbi wa mikutano Chimwaga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZ: RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 8157, BABU SEYA NA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. John Pombe Magufuli leo ametoa msamaha kwa wafungwa 8157 ambapo wafungwa 1828 wataachiwa huru leo na 6329 watapunguziwa muda wao wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO yakabidhiwa tuzo ya Utunzaji Bora wa Mahesabu Kwa Mwaka 2016/2017

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limekabidhiwa tuzo ya Utunzaji bora wa Mahesabu na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA), baada ya kufanya Vizuri kwenye kada hiyo katika Mwaka wa fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

View Article

MICHUZI TV LIVE: SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA UHURU WA TANZANIA...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images