Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MBARAWA: UJENZI WA JENGO LA TATU LA ABIRIA UMEGHARIMU SHILINGI...

Waziri wa ujenzi  uchukuzi na mawasiliano  Profesa Makame Mbarawa amefanya  ukaguzi   wa maendeleo ya ujenzi wa jengo la 3 la abiria la kiwanja cha ndege cha kimataifa cha Julius Nyerere   (JNIA)...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHARAMIA WA KAZI ZA WASANII KUFIKISHWA MAHAKAMANI WIKI IJAYO

Maharamia wa kazi za wasanii zaidi ya 200 waliokamatwa katika zoezi laukamataji kazi feki za sanaa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki ijayo.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Kampuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MPINA AITAKA KAMPUNI YA GAME TRACKING SAFARIS (TGTS) KUONDOKA KWENYE...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga Mpina ameutaka uongozi wa Kampuni ya Game Tracking Safaris(TGTS) kuangalia na kupitia nyaraka walizonazo ili kuona uhalali wa umiliki wa eneo la hekta 20000 kwenye...

View Article

MLATA AAGIZA MAKAMBI YA UVCCM KUWAJENGEA NYUMBA VIKONGWE WANAOISHI KWENYE...

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida,Marther Moses Mlata ameuagiza umoja wa vijana wa Chama hicho kutumia muda wanapokuwa kwenye makambi ya vijana kuwasaidia wazee...

View Article

SERIKALI YAMPA SIKU 100 MKANDARASI KUKAMILISHA UJENZI MRADI WA MAJI CHALINZE

View Article


Waziri Jenista Mhagama-Maadhimisho ya Uhuru ya Mwaka Huu Kuwa ya Aina Yake

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkazi wa Arusha ashinda milioni 86 ya M-bet

Mkazi wa Arusha, Sagi Thomas (37) amejishindia kitita cha sh milioni 86 kwa kubashiri kwa usahihi mchezo maarufu kwa ‘Perfect 12’ unaondeshwa na kampuni ya mchezo wa kubahatisha ya M-Bet. Thomas...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZALENDO NA UTAIFA KAMPENI KUZINDULIWA LEO NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

LEO ni siku ya Uzinduzi wa kampeni ya Uzalendo na Utaifa. Uzinduzi huo utafanyika katika ukumbi wa Chimwaga Dodoma,  kwa ratiba itakayoanza saa 9 mchana na kuisha saa 3 usiku.. Kati ya matukio...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIC YAMKABIDHI MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR MILIONI 20 ZA BIMA YA MAISHA

Makamu wa pili wa Rais katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Alli Iddi akipokea mfano wa hundi ya malipo yake ya bima ya maisha iliyoiva kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Bw. Sam...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALICHOSEMA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA BAADA YA...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (wa pili kushoto) akionyeshwa njia ya kuelekea kwenye maporomoko ya maji ya mto Kimani na Kaimu Meneja wa Pori la Akiba la Mpanga Kipengele,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC KILIMANJARO,ANNA MGWIRA ATANGAZA RASMI KUHAMIA CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mgwira baada ya kutangaza rasmi kuhamia Chama cha Mapinduzi, katika ukumbi wa Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI NA WATAALAMU WA WILAYA YA HANDENI WATAKIWA KUSIMAMIA SUALA LA ELIMU...

Watendaji na wataalamu wa Wilaya ya Handeni wametakiwa kusimamia na kuweka suala la elimu ya madhara ya ukeketaji kuwa ajenda rasmi kwenye vikao vyao ngazi ya Kata na Tarafa ili kukomesha kabisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aliyedaiwa kuuibia DCB bank aachiwa huru

Na Karama Kenyunko, Blogu ya Jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru mfanyabiashara Manfred Sangawe aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya wizi wa fedha zaidi ya Shilingi milioni 130 za benki...

View Article


VIDEO: MAHAKAMA YA TANZANIA YAENDELEA NA PROGRAMU YA MABORESHO YA HUDUMA ZA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA UTAKATISHAJI FEDHA: RUGEMALILA ADAI UNAHITAJIKA USHIRIKIANO BAINA...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mfanyabiashara James Rugemarila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amedai mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa unahitajika ushirikiano baina yake na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBILAMOTO AGAWA JEZI KWA TIMU NNE ZILIZOINGIA NUSU FAINALI YA VINGUNGUTI...

  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi kwa kiongozi wa timu ya Freemason Fc ya Vingunguti, Sudi Rashid  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, akikabidhi jezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya Uhujumu Uchumi dhidi ya Dkt.Ringo Tenga na wenzake yapigwa kalenda...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeipiga kalenda hadi Desemba 15/2017 kesi ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya USD 3.7 milioni ambayo ni sawa na bilioni nane....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja 20 wapokea zawadi kemkem za pesa kwa kufanya miamala kupitia Tigo Pesa

 Meneja wa Wateja wa Kampuni ya Tigo, Mary Rutta (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuwatangaza na kuwazawadia washindi 20 wa promosheni ya ‘Tumia Tigo Pesa na Ushinde,’ inayoendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI WILAYANI GEITA KUWACHUKULIA HATUA KALI WATAKAO HUJUMU ZOEZI LA...

Na Joel Maduka-GeitaSerikali Wilayani Geita imesema haitamuhurumia yeyote atakayehujumu zoezi la uandikishaji kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa.Akizungumza kwenye uzinduzi huo wa zoezi la kuwasajili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM ) RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO...

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM , Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa mkutano  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kabla ya kufungua mkutano wao wa Tisa uliofanyika katika...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images