Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110175 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DODOMA SEKONDARI MABINGWA WAPYA WA MASHINDANO YA MCHEZO WA BASEBALL NCHINI...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe (Mb) Katikati aliyeshika gongo la Mchezo wa "Baseball" akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa Chama cha mchezo wa Baseball...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAGIZO YA WAZIRI MHAGAMA KWA PROGRAMU YA MIVARF KUOGEZA THAMANI YA BIASHARA...

Waziri wa Nchi Ofisi  ya Waziri Mkuu  (Sera, Bunge, Ajira ,Kazi,  Vijana na Watu wenye Ulemavu ) Mhe.Jenista Mhagama ameielekeza Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA UNAHITAJIKA KWA MTOTO MLEMAVU ANAYEKULA KWA MIRIJA MIAKA MINNE SASA

Na Wankyo Gati, ARUSHAMkazi wa Mtaa wa Jamhuri kata ya Daraja Mbili Halmashauri ya Arusha Mjini Mkoani hapa, Asha Hussein amewaomba Wananchi kumsadia Fedha za Matibabu na kujikimu kimaisha kutokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAHABARI WAFUNDWA JUU YA UMUHIMU WA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI NA KUPIGANIA...

Mwanaharakati wa Haki za Watoto nchini na Mkurugenzi wa Taasisi ya Msichana Initiative , Rebeca Gyumi  akizungumza na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya Habari juu ya haki za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIB CORPORATE BENKI YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MATIBABU KWA ZAHANATI YA...

Benki ya TIB imetoa msaada wa vitanda viwili pamoja na mashine ya kupumulia kwa mtoto mwenye tatizo la kupumua katika zahanati ya Msongola , Ilala jijini Dar es Dar es Salaam.Akizungumza baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA SURURU, AIPONGEZA UHAMIAJI KASKAZINI UNGUJA KUSOGEZA HUDUMA NDANI YA...

Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (kati kati), akiwatoa hofu Watendaji wa Mamalaka ya Vitambulisho vya TAifa (NIDA) kwamba kuanzia mwezi January 2018, Idara ya Uhamiaji Zanzbar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI MALEWA APOKEA UTAMBULISHO WA MMWALIMU WA JUDO MAKAO MAKUU...

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Dk. Juma Ali Malewa amepokea utambulisho wa Mwalimu wa Judo Shozy Yogi aliyekuja kumtembelea Makao Makuu ya Magereza jijini Dar es Salaam leo tarehe 06 December...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI SERIKALI...

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na wakijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar katika Sala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZ: ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MANYARA, JOEL BENDERA AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamiii hivi punde inaeleza kuwa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera amefikwa na mauti leo katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amepelekwa kwa matibabu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA USAFI...

WAZIRI wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mwakilishi wa shirika la DFID nchini Tanzania Elizabeth Arthur wakikagua vyoo bora vinavyotumika na Wanafunzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKAGUA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maelezo ya ujenzi kutoka kwa Msanifu Majengo, Edward Kayombo (kulia) wakati alipoenda kukagua ofisi na makazi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI WA BODI SITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi sita za taasisi za Serikali baada ya wenyeviti waliokuwepo kumaliza muda wao.Kwa mujibu wa...

View Article

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ALIA NA MAKAMPUNI YALIYO NDANI YA UWANJA WA NDEGE...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILI STARS KUIKABILI Z’BAR HEROES BALOZI WETU NCHINI KENYA DKT PINDI CHANA...

Na Alfred Lucas wa TFF, MachakosTimu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kesho Alhamis Desemba 7, 2017 inatupa karata yake ya pili kwenye michuano ya CECAFA dhidi ya Zanzibar Heroes ya...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO 06.12.2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ubalozi wa Norway waipatia UN Tanzania dola milioni 5.1 ili kufanikisha UNDAP II

Ubalozi wa Norway nchini umeipatia msaada wa dola bilioni 5.1 Umoja wa Mataifa Tanzania ili kusaidia kufanikisha Mpango wa Misaada wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDAP II).Makubaliano hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA AMSIMAMISHA KAZI MTUMISHI ALIYESHIRIKI UTOROSHAJI WA KILO 2500 ZA...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mh. Luhaga Mpina amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Yohana Budeba kumsimamisha kazi mara moja Afisa wa Kitengo cha Doria na Udhibiti wa Uvuvi wa mpakani katika Mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kamati ya UN kutetea haki za Wapalestina yazungumza na Waziri Dk. Mwakyembea

KAMATI maalum ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyoundwa kutetea haki za msingi za raia wa Wapalestina imekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kwa mazungumzo maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jaffo:Stawavumilia wakurugenzi na wenyeviti wa kamati za fedha ambao...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Sulemani Jafo amesema hatawavumilia wakurugenzi na wenyeviti wa kamati za fedha ambao hawatatoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA ALHAMIS LEO DECEMBER 7,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 110175 articles
Browse latest View live




Latest Images