Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AMZAWADIA MILIONI MOJA ASKARI...

Na Lucas Mboje, Jeshi la MagerezaMkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa ametowa zawadi ya utendaji kazi mzuri kwa askari wa Jeshi hilo Sajini Anna Akuny wa Gereza la Wanawake Segereza leo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHALAMILA MWENYEKITI MPYA WA CCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI "ASAS" ACHUKUA...

Mwenyekiti mpya wa Chama Chama Mapinduzi Mkoa wa Iringa Bw. Albert Chalamila akitoa hotuba yake ya kwanza kuwashukuru wapiga kura mara baada ya kushinda uchaguzi huo uliofanyika kwenye ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, JAPHET HASUNGA ATEMBELEA HIFADHI YA...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Makete, Veronika Kessy wakiangalia maua ya asili ambayo ni kivutio kikubwa cha utalii katika hifadhi ya Taifa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE AWATAKA WATANZANIA KUWA WAZALENDO

Na Agness Francis, Blogu ya JamiiWaziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dr. Harrison Mwakyembe   amezungumza  na wasanii wa tasnia mbalimbali hapa nchini akiwataka kuendeleza  na kuutangaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO DECEMBER 6, 2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINA ABARIKI NARCO KUVUNJA MKATABA WA MWEKEZAJI MZEMBE KATIKA RANCHI YA KAGOMA

Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi  Luhaga Mpina  ameridhia  maamuzi ya Kampuni ya Ranchi za NARCO kuvunja mkataba baina ya mwekezaji Agri Vision Global Ltd na serikali  katika  Ranchi ya Kagoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIVULINI YAFANYA KIKAO CHA WANA MABADILIKO MRADI WA USAWA WA KIJINSIA

Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na watoto,Shirika la Kivulini limefanya kikao cha wana mabadiliko kwa ajili ya kufanya tathmini na mrejesho wa shughuli za mradi wa usawa wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA HUDUMA ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imezindua mwongozo wa huduma za maji na usafi wa mazingira katika vituo vya tiba ikiwemo zahanati, vituo vya afya na hospitali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAMBO AWAASA WATAALAM WA UGAVI NA UNUNUZI KUZINGATIA UADILIFU KATIKA KAZI ZAO

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amewaasa wataalam wa ununuzi na ugavi kuzingatia maadili katika kazi zao za kila siku ili kuleta ufanisi katika maeneo wanayotumikia. Bwana Gambo ameyasema hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOHARI YA DAWA (MSD) YAZINDUA MPANGO MKAKATI WA KATI 2017-2020

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Mpoki Ulisubisya (wa pili kulia), Mganga Mkuu wa Serikali, Mohamed Kambi Bakari ( kulia) wakisaini hati ya mkataba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO KATIKA MIRADI YA MAENDELEO YA WANAWAKE

Serikali imesaini Mkataba wa makubaliano wa Miradi ya Wanawake Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Wanawake (UN Women). Akitia saini Mkataba huo kwa niaba ya Serikali Katibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASILIMIA 62 YA MRADI WA DAWASA WA UBORESHAJI MIUNDOMBINU YA MAJI UMEKAMILIKA:...

 Waziri wa Maji na Umwagilkiaji, Mhandisi Isack Kamwele, (katikati), Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka, (DAWASA), Mhandisi Romanus Mwang'ingo, (kulia), na Mkandarasi,   Mhandisi P.G....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANGI LUGOLA AITAKA KAMPUNI YA MADINI YA NYARUGUSU KUWALIPA FIDIA WANANCHI

Naibu Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Inayoshughulika na muungano na Mazingira Mheshimiwa Kangi Lugola ,akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Geita wakikagua eneo ambalo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO LAUNCHES A CAMPAIGN WITH THE MAASAI IN NGORONGORO TO REDUCE FEMALE...

UNESCO, in close collaboration with the Ngorongoro District Council and the Council of Masaai traditional leaders, will conduct a large campaign to intensify efforts to address Female Genital...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maelezo ya awali (PH) katika kesi inayomkabili Afisa Msaidizi wa Forodha wa...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema Maelezo ya awali (PH) dhidi ya Afisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi anayekabiliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAALAM SEKTA YA MADINI WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO GGM

Wataalam kutoka Taasisi za Serikali zinazohusika na Sekta ya Madini ndani na nje ya nchi pamoja na Wakufunzi kutoka Taasisi ya Kimataifa ya nchini Canada (CIRDI) wakiwa katika picha ya pamoja mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE ATAKA MASHINDANO YA MABUNGE EAC KUDUMISHA UDUGU NA...

 Mbunge wa Bunge la Tanzania ambaye ni Mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma Kikikwete akikagua timu ya Bunge la Tanzania iliyocheza na timu ya Bunge la Afrika Mashariki katika mashindano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO WAPONGEZWA KWA KUZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI

 Mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Joseph Kakunda (wa pili kulia) akikata utepe kuzindua rasmi Mwongozo wa Uwekezaji wa Mkoa wa Kilimanjaro huku Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ECOBANK YABORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI SHULE YA MSINGI HANANASIFU JIJINI DAR

Shule ya Msingi Hananasifu, iliyopo katika manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, imeepukana na dhahama ya kuweza kupata magonjwa ya mlipuko kama vile Kipindupindu baada ya Ecobank kuboresha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATAKA UMILIKI WA HATI MOJA YA UMILIKI WA UWANJA WA NDEGE WA DAR ES...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiSERIKALI imeitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) kuweka utaratibu kwa wamiliki wa viwanja ndani ya uwanja wa ndege kuondoa ili kuwa na hati moja ya uwanja...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>