Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwongozo wa Taifa wa Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira katika vituo vya...

Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Sekta kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI), Dkt. Andrew Komba ambaye pia ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa Jarida lenye Mwongozo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA UN KUTETEA HAKI ZA MSINGI ZA WAPALESTINA YAKUTANA NA BALOZI MAHIGA

Balozi wa Senegal katika Umoja wa Mataifa (UN) na mjumbe wa Kamati ya UN kutetea haki za msingi za Wapalestina, Mr. Fode Seck (wa pili kulia) na wajumbe wengine wa kamati hiyo wakimkabidhi Waziri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE VITI MAALUM IRINGA ROSE TWEVE AIBUKA MSHINDI WA PILI MBIO ZA MITA 100...

 Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Rose Tweve (kushoto)  ni Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko baada ya kumaliza mbio katika mashindano ya mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa upande wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM IRINGA WAPIGA KURA KUCHAGUA UONGOZI MPYA LEO

Mjumbe wa NEC Mh. Januari Makamba akizungumza na kutoa utaratibu wa wagombea na wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa unaofanyika kwenye ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: WANAFUNZI 2,679 WAPATA MIKOPO YA TZS 9.6 BILIONI KUPITIA RUFAA

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Disemba 5, 2017) imetangaza orodha yenye wanafunzi 2,679 ambao wamepata mikopo ya elimu ya juu yenye thamani ya TZS 9.6 bilioni kufuatia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi wa pili kutoka (kushoto)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA STAR MEDIA (T) LTD YAINGIA MAKUBALIANO NA UNAIDS KATIKA UTOAJI WA...

Kampuni ya Star Media (T) Ltd  imefikia makubaliano na shirika la kimataifa la kupambana na Ukimwi (UNAIDS) katika utoaji wa elimu na matangazo kupitia kampuni hiyo ili kuhakikisha ifikapo 2030 gonjwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AMZAWADIA MILIONI MOJA ASKARI...

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akimkabidhi zawadi ya Sh. Milioni moja(1,000,000) askari wa kike Sajini wa Magereza, Anna Akuny(katikati) kutokana na utendaji wake mzuri kazini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO AFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA...

 Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA)....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CREDIT SCORING TEAM FROM GROUP CREDIT AGRICOLE OF MOROCCO VISITS TADB

By Our Reporter,Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) has received a delegation from Group Credit Agricole of Morocco (GCAM) who will be in country for 11 days mission, from 4th-15th December...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JENISTA AKAGUA MAANDALIZI YA MAADHIMISHO YA UHURU WA TANZANIA BARA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akikagua maandalizi ya maadhimisho ya sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA BALOZI WA UJERUMANI

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,jinsia,Wazee na watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter kwenye ofisi yake ndogo Jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo Ashauri Gereza La Mollo Kujikita kwenye Uzalishaji Wa Mbegu Za...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amelishauri gereza la kilimo la Mollo kuona umuhimu wa kujikita kwenye uzalishaji wa mbegu ili kuuza na gereza hilo kuweza kujiendesha na kupambana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA AWASILI MKOANI DODOMA LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Dodoma wakati alipowasili   kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017, baada ya safari ya Singida, Lindi na Dar es salaam....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILI STARS YAJIFUA TAYARI TAYARI KUWAVAA NDUGU ZAO ZANZIBAR HEROS

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Ninje leo Jumanne Desemba 5, 2017 ameanza mazoezi maalumu ya kurekebisha upungufu wote uliojitokeza kwenye kikosi chake katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

Na Shamimu Nyaki – WHUSM.Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe amewataka Watanzania wote kujitokeza katika Uzinduzi wa Kampeni ya kitaifa ya Uzalendo inayotarajiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tigo na WorldRemit washuhudia ukuaji mkubwa katika huduma ya kuhamisha fedha...

Mkuu wa Kanda ya Mashariki ya Kati na Africa wa kampuni ya World Remit, Andrew Stewart akizungumza jambo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kutangaza ushirikiano baina ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI MHANDISI ISACK KAMWELE ATEMBELEA MIRADI YA...

NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidWAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwele, ameanza ziara ya siku mbili ya kukagua baadhi ya miradi inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji  Safi na Maji Taka, (DAWASA),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taswa SC kukipiga na Saleni FC ya Lugoba

Timu ya soka ya waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC)  kesho  itacheza mechi maalum ya kirafiki dhidi ya timu ya Saleni FC  kwenye uwanja wa  Saleni, Lugoba.Mechi hiyo imepangwa kuanza saa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sherehe za Uhuru London 09 /12/2017 moto! Plus Official New Song Release...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images