Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA, AENDESHA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WALAMBA NONDOZZZ JIJINI DAR LEO

WANAFUNZI 28 wamehitimu shahada za uzamili Utawala wa Biashara na Biashara Kimataifa katika chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). Naibu Mkuu wa Chuo cha Taaluma , Utafiti na Ushauri, Dk. Imanuel Mzava...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOHARI YA DAWA (MSD) YAPONGEZWA KWA USAMBAZAJI WA DAWA NCHINI

Na Dotto MwaibaleBOHARI ya Dawa (MSD), imepongezwa kwa kushinda tenda ya kununua dawa Jumuhiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)Pongezi hizo zimetolewa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA SWITCH YAHAMASISHA KUBADILI KADI

Umoja Switch inianzishwa miaka zaidi ya kumi iliyopita ili kuwezesha benki ndogo na za kati kuweza kupata huduma za ATM. Kupitia Umoja Switch benki zaidi ya 27 zinawezesha wateja wao kupata huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUBORESHA KIVUTIO CHA UTALII CHA ENEO LA BARABARA YA LAMI INAYOPITA...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga (kulia) akiongozwa na Meneja wa shamba la Miti Kawetire, Arnorld Shoo kukagua moja ya eneo katika shamba hilo ilipopita barabara ya lami ambayo ipo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMANNE LEO DECEMBER 5,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HDIF YAFUNGUA RASMI MASHINDANO YA MWISHO YA MAWAZO CHALLENGE

 Kiongozi msaidizi wa HDIF  Joseph Manirakiza akifungua rasmi mshindani hayo ya mwisho kwa timu 12 za  madkatari wanafunzi wanaoshindanishwa ili kupata timu 10 zitakazo pata seed fund toka HDIF. Timu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADEREVA WAACHE KUENDESHA VYOMBO VYA MOTO BILA YA TAALUMA WALA LESENI - RC...

Mkuu wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani Mkoani hapo, iliyozinduliwa na kufanyika viwanja vya Mailmoja,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo aiagiza SUWASA kuwakatia maji wenye madeni na wao kulipa deni la...

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo ameiagiza Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Sumbawanga (SUWASA) kuwakatia maji wateja wenye madeni sugu ili waweze kulipa madeni yao wanayodaiwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEINEKEN® LAUNCHES AMSTEL BEER IN THE TANZANIAN MARKET

General Manager for Heineken East Africa, Mr. Uche Unigwe (second from left) with various stakeholders during the official launch of Amstel lager in Tanzania. HEINEKEN Tanzania today officially...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 04.12.2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miss Universe Tanzania alalamikia matokeo ya mashindano ya kimataifa

Miss Universe Tanzania, Lilian Erica Maraure  amelalamikia hatua ya majaji ya kutomuingiza hata katika hatua ya16 bora ya fainali hizo richa ya kuongoza katika kura za mitandao.Lilian ambaye ni...

View Article

TBA YATHIBITISHA KUTUMIA BILIONI 10/- UJENZI WA HOSTELI ZA CHUO KIKUU DAR ES...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MKOANI SIMIYU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Wananchi wote wa Mkoa wa Simiyu wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishaji Vitambulisho vya taifa (NIDA) linaloendelea mkaoni humo. Wito huo umetolewa na Afisa Tawala Wilaya ya...

View Article

VIDEO: MAKALA MAALUM YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA 12 WA WATAALAM WA MAENDELEO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJENGO YA MABWENI YA DKT MAGUFULI NI SALAMA - CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MADINI YAENDESHA MAFUNZO YA UFUNGAJI MIGODI

Wizara ya Madini kupitia Kitengo cha Mazingira kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa kutoka nchini Canada (CIRDI) wameanza kutoa mafunzo ya ufungaji wa migodi  kwa wataalam kutoka Taasisi za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ILI KUPUNGUZA AJALI BARABARANI; MADEREVA WAHIMIZWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU...

Madereva wa vyomo vya moto hasa bajaji na bodaboda wamewahimizwa kujiunga na chuo kikuu huria ili waweze kujiendeleza kielimu na kuboresha huduma zao, ambapo kwa kufanya hivyo watasaidia kupunguza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VETA WAWATAKA WATANZANIA KUTILIA MKAZO MASOMO YA UFUNDI STADI

Meneja Mahusiano wa Mamlaka ya Mafunzo na Ufundi stadi VETA Sitta Peter akizungumza na wanahabari kuhusiana na umuhimu wa watanzania kutilia mkazo masuala ya ufundi stadi kwani yana nafasi kubwa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA: UFAFANUZI KUHUSU OFISI ZA TBS ZINAZOHUSIKA NA UTOAJI MIZIGO...

2017-12-05SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizotolewa kupitia mtandao wa kijamii (Jamii Forum) kuwa Shirika linadidimiza...

View Article
Browsing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images