Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YAWANOA WASINDIKAJI WA CHAKULA MKOANI GEITA

Na,Joel Maduka,Geita.Mamlaka ya Chakula na Dawa, TFDA imewakutanisha wajasiriamali wanaosindika chakula mkoani Geita na kutoa mafunzo yatakayowasaidia kutengeneza vyakula vinavyokidhi viwango vya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA...

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba akizungumza na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China, Mhe. CAO Weizhou alipofika Wizarani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA wa Skimu ya Umwagiliaji ya Mpunga wilayani Kakonko mkoani Kigoma...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.WAKULIMA wa Sikimu ya Umwagiliaji ya Mpunga Katika vijiji vya Katengera na Ruhiti Wilayani Kakonko, wametakiwa kuongeza ufanisi kwa zao la Mpunga ilikuzalisha mazao ya kutosha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BULEMBO AWATAKA WANA CCM KIGOMA KUWA WAMOJA NA KUHAKIKISHA MAJIMBO YOTE...

Na Rhoda Ezekiel -Kigoma.MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Taifa, ambae pia ni mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma,Abdallah Burembo amewaagiza Viongozi wapya wa Chama hicho Mkoani Kigoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAKUTANA NA WATOA HUDUMA WAKE WA JIJINI DAR LEO

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mama Anne Makinda akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa siku moja na Watoa Huduma wake wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa...

View Article


MICHUZI TV: WAFANYAKAZI TICTS WALIVYOUNGANA NA FAMILIA ZAO KUSHEHEREKEA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO...

Desemba 2, 2017 katika chuo kikuu cha Mt. Augustine (SAUTI) Mwanza kulifanyika tamasha la uvumbuzi, ujasiriamali na kazi kwa wasichana lijulikanalo kama PANDA. Tamasha hilo ambalo huandaliwa kila mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI TANZANIA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Balozi mpya wa China nchini, Wang Ke, wakati balozi huyo alipomtembelea Masauni ofisini kwake jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora, akifungua rasmi warsha ya siku moja, ya wadau wa ujenzi, kujadili mapitio ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lisu kunogesha tamasha la uamsho dar

Na Salesi MalulaMwimbaji John lisu anatarajia kunogesha Kongamano kubwa la Uamsho linalotarajia kutikisa Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake ambapo mhubiri maarufu kutoka Sweden mwinjilisti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA UVISHWAJI PETE WAKINA MAMA WALEZI WA SOS YAFANYIKA ZANZIBAR

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuwasalimia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya Uvishwaji Pete wakinamama wa SOS Tanzania Bara na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA SEKONDARI IWAWA MKOANI NJOMBE YANUFAIKA NA KOMPYUTA 10 TOKA VODACOM...

Meneja wa Vodacom Tanzania PLC,Mkoa wa Njombe,Benedict Kitogwa(kushoto)akiwasisitiza walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari Iwawa iliyopo mkoani humo kuzitumia vizuri na kuzitunza kompyuta 10...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 16 HADI 23 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Ikiwa zimesalia siku 10 kuelekea Mashindano ya Taifa Cup kwa timu za kikapu nchini, tayari timu zimeshawasilisha  maombi ya ushiriki wao.Timu hizo kutoka sehemu mbalimbali nchini zimeweza kutuma maombi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MANISPAA YA DODOMA AMALIZA HOFU YA WAFANYABIASHARA 2,500

NA RAMADHANI JUMA,OFISI YA MKURUGENZIMKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi amemaliza hofu ya kuhamishwa iliyokuwa imetanda kwa wafanyabiasha takribani 2,500 wa Soko la Sabasaba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AWASILI DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Desemba, 2017 amewasili Mkoani Dodoma ambako pamoja na mambo mengine atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA AONGOZA KIKAO CHA BAADHI YA MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU, MKUU WA MKOA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (katikati) na Mkurugenzi wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Pastoralist Women Council, Manda Ngoitika baada ya kikao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AWASILI DODOMA LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dkt. Binilith Satano Mahenge alipowasili Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Novemba 7,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AFUNGUA JENGO LA UMOJA WA MATAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua ofisi ya Umoja wa Mataifa na kusema uamuzi huo ni hatua muhimu ya kuendeleza mchakato wa Serikali wa kuhamia Dodoma. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Alhamsi, Desemba...

View Article

KUELEKEA 9 DISEMBA.....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IN LOVING MEMORY OF MAMA ROSE SHOMARI

It has been 12 years since you departed from us, in this day a memory of a life so beautifully lived and a heart so deeply loved. We will always remember you and the lessons of life you gave us. May...

View Article
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live




Latest Images