Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA WA CHINA AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA

Na Mary Gwera, ZanzibarJaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim H. Juma ashauri juu ya uwezekano wa kuwa na Kanuni za pamoja za Sheria ya Biashara na Uwekezaji ‘Trade Investment Regulations’ kati ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo achangia Milioni Moja kusaidia ujenzi wa kituo cha Afya cha Waislamu

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amechangia shilingi milioni moja kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kusaidia ujenzi wa kituo cha afya cha Waislamu kinachoendelea kujengwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI JIJI LA ARUSHA WAPATIWA MKOPO WA MILIONI 605

Na Mahmoud Ahmad,Arusha.Jumla ya Shilingi milioni 605 zimetolewa kama mkopo wa kuwanufaisha wajasiriamali walioko kwenye vikundi vya kinamama na vijana pamoja na walemavu waliopo katika Halmashauri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU CHUO CHA UFUNDI CHA...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya watu wenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU YAWAWEZESHA WANANCHI WA VIJIJI VYA...

  Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia kutoka Idara Kuu ya Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Sylivia Siriwa  akizungumza na wanakijiji wa vijiji vya Chilonwa na Msanga wakati wa Semina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAVE THE CHILDREN YATOA MSAADA WA GARI,PIKIPIKI KUENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA...

Shirika la Kimataifa la Save The Children limetoa msaada wa gari aina ya Toyota Landcruiser katika Halmashauri ya Mji Kahama mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kusaidia ufuatiliaji wa matukio ya ukatili na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA USAJILI WA GAZETI NA VIJARIDA YAZINDULIWA

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma katikati kushoto akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Bodi ya Idara ya Habari Maelezo ya Usajili wa Gazeti na Vijarida katika Ukumbi wa Baraza la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano  Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO.

 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA HER INITIATIVE 'PANDA' WATOA SEMINA SHAWISHI KWA WANAFUNZI WA VYUO...

  Mchekeshaji na Mshindi wa Big Brother Afrika 2014,Idrisa Sultan akizungumza leo katika semina ya kuwashawishi wanafunzi wa vyuo vikuu jijini Mwanza iliyofanyika katika Darasa la M12 katika Chuo Kikuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO DECEMBER 3,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 11 YA CHUO KIKUU ARDHI (ARU) YAFANA DAR ES SALAAM

Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa ARU, Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya jijini Dar es Salaam leo Disemba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali haitawafumbia macho Wezi wa kazi za Sanaa:Dkt Mwakyembe.

Na Shamimu Nyaki-WHUSMSerikali imesema itaendelea kuwachukulia hatua wote watakaobainika kusambaza kazi za sanaa kinyume na utaratibu ili kuondoa kero ya muda mrefu ya wizi wa kazi za Sanaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA MWITA ASHANGAA WATU WA KISIWA CHA MAYOTTE WAKIZUNGUMZA KISWAHILI

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa watu 10 kutoka Kisiwa cha Mayotte kilichopo Nchini Ufaransa.Ujumbe huo ulikuwa umeambatana na wabunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS APIGA KURA KWENYE UCHAGUZI MKUU WA CCM MKOA WA KUSINI UNGUJA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kusini Unguja na Mjumbe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA KINONDONI CUF AJIUZULU UBUNGE NA KUJITOA UANACHAMA WA CUF.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA AGPAHI LIKISHIRIKIANA NA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA WAENDESHA...

Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Health Care Initiative (AGPAHI) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Tanga wameendesha zoezi la upimaji vya virusi vya Ukimwi kwa wakazi wa Jiji hilo huku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya Uchaguzi yatangaza uchaguzi mdogo majimbo 3 na kata 6

Hussein Makame-NECTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mdogo katika majimbo ya Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini na kata sita za Tanzania Bara ambao utafanyika tarehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWESO AKERWA NA WAKANDARASI WASIO NA UWEZO

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso amesema kuwa anakerwa na wakandarasi wasio na uwezo, ambao wamekuwa wakitekeleza miradi bila kuzingatia mikataba, ama kutoikamilisha kwa wakati au...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA AAGIZA NDANI YA SIKU 30 KUJITOKEZA WAMILIKI WA MAGOGO...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Dk. Hamisi Kigwangalla (MB) ametoa muda wa siku 30 kwa wahusika ambao ni wamiliki wa magogo yaliyokamatwa katika bandari ya Dar e s Salaam (TPA) ambayo yalikuwa...

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images