Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SHINYANGA ATEMBELEA VITUO VYA HUDUMA YA MTOTO VYA MAKANISA YENYE USHIRIKA...

Mkuu huyo wa wilaya amefanya ziara hiyo leo Jumamosi Disemba 2,2017 kwa ajili ya kujionea stadi za maisha na miradi mbalimbali inayofanywa na watoto wanaopata huduma katika vituo hivyo.Vituo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMFARIJI MOHAMMED CHILAMBO AMBAYE NYUMBA YAKE ILICHOMWA...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwafariji Katibu wa CCM wa Kata ya Mnacho , Mohammed Chilambo (kushoto kwake) ambaye nyumba yake imechomwa moto kwa sababu zinazodaiwa kuwa za kisiasa katika kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Global complacency threatens the lives of children and adolescents as world...

NEW YORK/DAR ES SALAAM, 02 December 2017 – In 2016, 120,000 children under the age of 14 died of AIDS related causes, and 18 children were infected with HIV every single hour. If current trends...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

Baba  tunakumbuka umefikisha miaka 30 tangu ulipotwaliwa siku ile ya tarehe 2 desemba 1987. Unakumbukwa na mke wako Margaret. watoto wako Emily. Leonard. Martha. Enid. mMtilda na Sia. Pia unakumbukwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COUNCIL OF EAST AND CENTRAL AFRICA FOOTBALL ASSOCIATIONS (CECAFA) UPDATES

The CECAFA Congress convening here at Four Point Hotel in Nairobi City this Saturday December 2nd 2017 has elected the five new Executive Committee members to run the region’s top football office for...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkutano wa 47 wa Kimataifa wa kuwaandaa Watafiti Chipukizi wa Bara la Afrika...

Na Othman Khamis AmeRais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Muhamed Shein alisema Kiwango duni cha uwajibikaji katika misingi ya kuendesha Utawala Bora Kisiasa na Kiuchumi miongoni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AONGOZA ZIKU YA KIMATAIFA YA WATU WENYE ULEMAVU...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi kinachojishughulisha na kutengeneza viatu wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI MGENI AFUNGUA MASHINDANO YA NANE YA MABUNGE YA JUMUIYA YA...

 Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya usajili wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Nane ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa hafla iliyofanyika leo katika ukumbi...

View Article


Michuzi TV: RC Paul Makonda akizungumza kwenye Dar Freshers Party Mlimani City

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA ATANGAZA DISCOUNT YA 20% HADI 70% KWA WANANCHI WOTE WATAKAOFIKA...

Maelfu ya Wanafunzi waliojitokeza katika hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa Vyuo vikuu Mwaka wa Kwanza DAR FRESHERS PARTY 2017,iliyofanyika jana nje ya Mlimani City katika viunga vya kupaki Magari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WATAKIWA KUJITOKEZA KUSAIDIA KITUO CHA ELIMU YA WATU WAZIMA KIGAMBONI

 Mratibu wa Elimu Kata ya Kigamboni Angelina Gaswaswa akipokea maelezo kutoka kwa Mmoja wa waratibu wa kituo cha kutoa elimu ya watu wazima  Mastidia Mbeo.Mratibu huyo wa Elimu amewaomba Wadau...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Meya wa jiji la Dar Mwita ahudhuria mkutano wa kujadili utawala bora Nchini...

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita leo ameondoka jijini hapa kuelekea Chicago Nchini Marekani kuhudhuria mkutano wa Mameya kutoka sehemu mbalimbali duniani utakaofanyika Desemba 4 hadi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUVUMA ALANI UKABILA UNAOJITOKE...

Mwenyekiti anayemaliza muda wake wachama cha mapinduzi mkoa wa ruvuma ODDO KILLINI MWISHO amesema chama hicho katika mkoa wa ruvuma kimekubwa na ukabila kwa baadhi ya ujumbe wa chama hicho,baada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI

  Mjumbe wa Kamati Kuu yaTaifa ya  CCM,  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA...

  NA K-VIS BLOG/Khalfan Said.WAKATI Mwaka 2017 ukifikia ukingoni taasisi mbaliombali nchini zimeanza kuwakusanya watumishi wake na kufanya tathmini ya utendaji na kujadili namna ya kuzikabili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARY MAJALIWA: WAZAZI WEKEZENI KWENYE ELIMU YA WATOTO

MKE wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa amewaomba wazazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wahakikishe wanatumia sehemu ya kipato chao katika kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao.Amesema elimu ndiyo jambo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JAFO-KUMSOMESHA MTOTO NI IBADA KUBWA KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo akizungumza wakati Mahafali ya Shule Mikocheni Islamic ambapo aliwaasa wazazi kuwekeza katika kuwapatia watoto elimu ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MWANJELWA AWATAKA WAJUMBE MKUTANO MKUU CCM MKOA WA MBEYA KUCHAGUA...

Na Mathias Canal, Mbeya.Naibu Waziri Wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa Leo Disemba 3, 2017 amewasihi Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kuchagua viongozi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA CHAMA CHA UHUSIANO WA UMMA TANZANIA

Na Anitha Jonas – WHUSMIdara ya Habari Maelezo pamoja na Chama cha Uhusiano wa Umma Tanzania (PRST) wametakiwa  kuungana kwa pamoja na kuandaa Kanuni za Maadili ya Taaluma ya Mawasiliano kwa Umma kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, JAPHET HASUNGA ATOA MIEZI MITATU WANANCHI WALIPWE...

Na Hamza Temba, Mbarali - Mbeya.Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga ametoa miezi mitatu kwa uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA kukamilisha malipo ya fidia ya...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images