Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INDIA KUIKOPESHA TANZANIA DOLA MILIONI 500 KUJENGA MIRADI YA MAJI KATIKA MIJI...

Na Benny Mwaipaja, Dar es SalaamSerikali ya India imeahidi kutoa mkopo nafuu wa Dola za Marekani milioni 500 kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa maji katika miji 17 nchini kupitia Benki ya Exim ya...

View Article



RC RUVUMA AMSIMAMISHA KAZI MKANDARASI

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINE MNDEME amemsimamisha kazi Mkandaras RUKOLO kwa kushindwa kutimiza majukumu yake kwa wake hali inayopelekea wakazi wa wilaya ya songea kupata shida wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MAJI NA UMWAGILIAJI YATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU

Wizara ya Maji na Umwagiliaji imetekeleza agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa kufika Tunduru na kulipatia ufumbuzi tatizo la maji katika mji huo, alilolitoa siku chache zilizopita wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MNUSO WA KUAGA MWAKA WAANDALIWA LEICESTER, UINGEREZA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT. JUMA MALEWA AONGOZA KIKAO KAZI CHA MAAFISA...

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Kikao kazi cha siku moja cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza, Kikao hicho kimefanyika leo Desemba 1, 2017 katika Ukumbi wa Bwalo Kuu la...

View Article


NAIBU WAZIRI WA MAJI AMEAMURU KUKAMATWA KWA MAKANDAR WILAYANI TUNDURU

Naibu waziri wa maji na umwagiliaji JUMAA AWESO ameagiza kukamatwa kwa mkanadarasi anayeitwa COSMAS ENGEERING kwa kushindwa kukamilisha maradi wa maji katika katika kijiji cha MILONDE wilayani TUNDURU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI NISHATI SUBIRA NA NAIBU WAZIRI MIFUGO NA UVUVI ULEGA WAZINDUA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.NAIBU waziri wa Nishati Subira Mgalu na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega wamezindua umeme wa nguvu za jua (Solar Power) katika Kisiwa cha Kwale uliojengwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MWANJELWA AIPONGEZA NFRA KUANZISHA MRADI WA KUONGEZA UWEZO WA KUHIFADHI...

Na Mathias Canal, NjombeNaibu Waziri Wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa amesifu juhudi za uongozi Wa Wakala Wa Taifa Wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kwa utendaji kazi kwa ubunifu kwa kuanzisha Mradi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YATOLEA UFAFANUZI KUHUSIANA NA UZINDUZI WA MKAKATI WA KONDOM

Kumekuwa na taarifa mbalimbali, hamaki na kejeli zinazoenea katika mitandao ya kijamii kuhusiana na taarifa iliyotolewa tarehe 27 Novemba 2017, Mnazi Mmoja kwenye uzinduzi wa Mkakati wa Taifa wa Kondom...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Samia Suluhu Hassan azitaka asasi za kiraia na madhehebu ya dini...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezitaka asasi za kiraia na madhehebu ya dini kuendelea kuongeza juhudi katika kuchangia masuala yanayohusiana na ukimwi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Open...

adaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)na wenzao wa Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wakifanya upasuaji kwa mtoto ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF IDDI MGENI RASMI BARAZA LA MAULIDI RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mgeni Rasmi katika Baraza la Maulidi ya Mtume Muhammad (S.A.W), Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi kuingia kwenye uwanja wa Shule ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Upasuaji wa Kihistoria, Aliyepandikizwa Figo Muhimbili Aruhusiwa

Dar es salaam, Tanzania. Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji wa kihistoria wa kupandikizwa figo leo ameruhusiwa kutoka katika hospitalini akiwa na afya njema.Bibi Prisca Mwingira ambaye amefanyiwa upasuaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AHUDHURIA MAULID YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD SAW...

MAKAMU wa Rais Mstaaf Dkt Mohammed Gharibi Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud, wakati akiwasili katika viwanja vya maisara kuhuhudhuria sherehe za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

StarsTimes kuonesha michuano ya Kombe la Dunia

Desemba Mosi ndiyo siku iliyokuwa ikisubiliwa ili kujulikana nani atakuwa kundi lipo wakati ratiba ya Kombe la Dunia iliyopangwa leo.StarsTimes kupitia channel ya World Football  imeonyesha moja kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO DECEMBER 2,2017

Kupata magazti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, JAPHET HASUNGA AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO YA MISITU...

Na Hamza Temba-WMU-IringaNaibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga amefungua Kituo cha Mafunzo ya Misitu na Uchakataji wa Magogo ambacho kimeanzishwa katika Mji wa Mafinga, Wilaya ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EfG YAZINDUA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DAR ES SALAAM

Na Dotto MwaibaleSHIRIKA la Equality for Growth (EfG) lenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam, jana limezindua siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kama taifa na kuungana na mataifa mengine...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA UKIMWI CHA SHUKA KWA ASILIMIA 3.5 MKOANI GEITA

Na Faudhia Sharifu,GeitaJumla ya watu 1,412 sawa na asilimia 3.5 wameathirika na virusi vya ukimwi Mkoani Geita uku wanawake wakiwa ni 828 na wanaume wakiwa Ni 584.Akizungumza kwenye maadhimisho ya...

View Article
Browsing all 110089 articles
Browse latest View live




Latest Images