Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAFUNZI WA CHUO CHA UHAZILI TABORA AKUTWA AMEJINYONGA KWA KUTUMIA TAI

NA TIGANYA VINCENT - RS TABORAMWANACHUO mmoja Chuo cha Utumishi wa Umma –Tawi la Tabora kinachojulikana kama Uhazili  Raphael Kadesha (22)  amefariki dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia tai ya kuvaa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI

Ziara ya kutembelea nchi ya Israel iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania na kuhususisha viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza kuzaa matunda ambapo mtaalamu wa mfumo wa mawasiliano kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWESO AWATAKA WAKANDARASI KUWA WAZALENDO

Naibu waziri wa maji na umwagiliaji Jumaa Aweso amewataka wakandarasi nchini kuwa wazalendo katika kuhakikisha fedha zinazopelekwa kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maji zinafanya kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI JENISTA ATEMBELEA VITUO VYA HALI YA HEWA ARUMERU

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo wakati wa mkutano na baadhi ya Watendaji wa Serikali alipofanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STANDARD CHARTERED BANK MWENYEJI WA ‘ONE BELT- ONE ROAD’ (OBOR) AFRICA-CHINA...

   Mgeni Rasmi Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji, Mh. Charles Mwijage akihutubia waalikwa mbalimbali kuhusu fursa zinazopatikana katika uwekezaji. (OBOR Initiative) katika hafla ya chakula cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA JAPAN ATEMBELEA WIZARA YA MADINI

Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida,  Novemba 21, 2017 alitembelea Ofisi za Wizara ya Madini za jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Waziri wa Madini, Angellah Kairuki na Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAKONDA ATINGA OFISI ZA CLOUDS MEDIA GROUP KUWAPA POLE.

 Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar,ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda wamefika mjengoni Clouds Media Group kutoa pole  na kujionea athari zilizosababishwa na moto uliozuka jana asubuhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WILAYANI HANDENI WASHIRIKI UJENZI KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI...

 Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe na viongozi wengine wakishiriki kujaza zege kwenye ndoo kwaajili ya kumwaga kwenye jamvi la matundu ya vyoo. Mkurugenzi Mtendaji Bw. William Makufwe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA AAGIZA KUUNDWA KWA...

Na Hamza Temba – WMU..........................................................Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA WILAYA YA KISARAWE YATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 102 KWA...

NA VICTOR MASANGU, KISARAWEHALMASHAURI YA wilaya ya Kisarawe iliyopo Mkoani Pwani katika kuunga mkono juhudi za Rais wa awamu ya tano Dk. John Pombe Magufuli kuwa na uchumi wa viwanda imetoa kiasi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Applying Nuclear Medicine in Tanzania to Tackle Serious Diseases

According to estimates of Dar es Salaam’s Ocean Road Cancer Institute (ORCI), Tanzania registers about 50,000 new cancer patients every year. However, ORCI, which is the largest cancer referral...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA MCHUNGAJI GEITA AIBUKA MSHINDI WA KITITA CHA SHILINGI MILIONI 15/=TUSUA...

 Bi.Adivella Muhimba,Mkazi wa Mkoa wa Geita  akikabidhiwa kitita cha  shilingi Miliono 15/- fedha taslimu na Meneja wa kanda ya ziwa  wa Vodacom Tanzania PLC, Undule Mwamkamba ambazo amejishindia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO NA VYAMA VYA SIASA WATAKIWA KUSHIRIKIANA ILI...

Na Clarence Nanyaro – NECMwenyekeiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Semistocles Kaijage amewataka wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi nchini Kuwashirikisha Viongozi wa Vyama vya siasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MENEJA WA NYANZA CORMERCIAL FARM APIGWA FAINI YA SH MILIONI 534 AU KIFUNGO...

Na Karama Kenyunko, blogu ya Jamii. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu meneja wa Nyanza Commercial Farm, Dilipkumar Pater, kulipa faini ya Sh milioni 534 ama kutumikia kifungo cha miaka 20...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAIWA SUGU WA KAMPUNI YA TTCL KUPELEKWE MAHAKAMANI- NAIBU WAZIRI MHANDISI...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii. NAIBU Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amefanya ziara makao makuu ya kampuni ya simu Tanzania (TTCL) na kuwataka kuwachukulia hatua wadaiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE ATUMA SALAMU ZA POLE KWA KITUO CHA RADIO NA TELEVISHENI CHA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA SABINUS KWEKA

30/12/1935                                                                                          22/11/2004SABINUS        PETER    KWEKABaba yetu mpendwa, leo umetimiza mwaka wa 13 tangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MASAUNI, KAMISHNA JENERALI WAKAGUA MPAKA WA TANZANIA KENYA...

 Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dk, Anna Makakala, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima (katikati)  wakiangalia jiwe la mpaka...

View Article

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KESHO KUWASILI MKOANI RUVUMA KWA ZIARA YA SIKU TATU

Waziri mkuu Mh.KASSIM MJALIWA kesho anatarajia kuwasili mkoa RUVUMA majira ya saa saba mchna kwa ziara ya siku tatu ambapo ataanzia katika wilaya ya NAMTUMBO pamoja na TUNDURU hayo yamesemawa na mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWIJAGE AWATAHADHARISHA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOWAKWAMISHA WAWEKEZAJI

Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Charles Mwijage akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Jengo la usambazaji wa Vifaa vya ujenzi na Saruji linalojengwa na umoja wa Wafanyabiashara wa Kichina Barani...

View Article
Browsing all 110181 articles
Browse latest View live




Latest Images