Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA OMAN YAVUTIWA NA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI TANZANIA

Na Eliphace MarwaBALOZI wa Oman Ali Al Mahruqi amesema Wafanyabiashara wa nchi hiyo wamevutiwa na na hatua mbalimbali znazochuliwa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kujenga mazingira bora kwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMEME USIKATIKE BILA SABABU MAALUM- SUBIRA MGALU

Na Teresia Mhagama.Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaagiza watendaji wa TANESCO kuhakikisha kuwa hawakati Umeme bila sababu maalum na hivyo kuwaondolea wananchi adha ya kukosa nishati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jamii yatakiwa kuweka mikakati ya kuhakikisha kila mama anajifungulia katika...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKATIKA kuhakikisha Vifo vinavyotokana na uzazi kwa kina Mama vinapungua,Jamii imehimizwa kumpeleka mzazi kwenda kwenye vituo vya Afya ambavyo vina wataalamu ,kwani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATASHASTA NDITIYE ATEMBELEA TUME YA...

Naibu Waziri, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Tume ya Taifa ya TEHAMA katika ziara hiyo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela...

View Article

DIAMOND ALIVYOTIKISA JIJI LA DUBAI

View Article


MICHUZI TV: WATUMIAJI WA AIRTEL MONEY SASA KUNUFAIKA NA GAWIO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amteua Bw. Edwin Rutageruka kuwa Mkurugenzi Mkuu TANTRADE

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Bw. Edwin Rutageruka

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWZZZZ: Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amejiuzulu

Spika wa bunge la Zimbabwe ametangaza leo kuwa Rais wa nchi hiyo  Robert Mugabe amejiuzulu.Spika  Jacob Mudenda alisema kuwa hatua hiyo ni ya kujitolea na amefanya hivyo ili kuweza kuwepo kwa...

View Article


NAIBU WAZIRI WA NISHATI ATEMBELEA BAADHI YA MIRADI YA TANESCO JIJINI DAR ES...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHIRIKA WA WACHINJA KUKU KISUTU WENYE MALENGO MAKUBWA YA UWEKEZAJI

Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini.SAUTI za kuku zinasikika hata ukiwa nje ya jengo dogo ndani ya Soko la Kisutu jijini Dar es Salaam, lakini ghafla zinakoma na zinasikika nyingine.Siyo kwamba kuku hao...

View Article

BALOZI WA OMAN NCHINI AMTEMBELEA NAIBU WAZIRI WA OFISI YA RAIS TAMISEMI MHE....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AMJULIA HALI MZEE SIMAI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo alimtembelea na kumjulia hali Mzee Abdulrazack Mussa Simai 'Kwacha' ambaye amelazwa MOI.Mzee Abdulrazack Mussa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapigwa msasa jinsi...

 Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pal Bhadreshwara akionyesha namna  ya kumpima mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram - ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Menejimenti ya TAA yakutana na Wajumbe wa TUGHE

Kaimu Mwanasheria wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Joachim Maambo akijitambulisha kwenye mkutano wa Menejimenti na Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTOWAFUMBIA MACHO WAFANYABIASHARA WA MBOLEA WANAOKWEPA BEI ELEKEZI

Na EmanuelMadafa,MbeyaSERIKALI imewataka wafanyabiashara wa mbolea nchini kuhakikisha wanafuata bei elekezi ya uuzaji wa mbolea iliyowekwa na serikali ili kumsaidia mfanyabiashara mdogo aweze kuuza kwa...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO NOVEMBA 22,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAMBA LA MIFUGO LA JK KUTUMIWA NA SUA SHAMBA DARASA KWA WANAFUNZI WAO ,...

Na John Nditi, MorogoroUONGOZI wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) umeingia makubaliano ya pamoja na Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne , Dk Jakaya Kikwete ili kulitumia shamba lake la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA WASOMI WANATAALUMA KUFANYIKA JUMAMOSI HOTELI YA LANDMARK UBUNGO...

Na Dotto MwaibaleWANAFUNZI waliohitimu vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini Jumamosi ya Wiki hii wanatarajia kufanya kongamono kubwa la kihistoria kujadili namna watakavyoweza kutumia taaluma zao kusaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NCC Yatakiwa Kuzingatia Ubora wa Miundombinu Nchini

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) limetakiwa kuzingatia ubora katika kutekeleza kazi zake ili kuokoa fedha zinazotolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali...

View Article
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live




Latest Images