Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AZINDUA HOTELI YA FANTASY MSALATO, MJINI DODOMA

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Hoteli ya Fantasy iliyojegwa katika Kata ya Msalato, Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Mmiliki wa Hoteli hiyo Mhe....

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAHENGE ATOA NENO KWA WATUMISHI DODOMA

Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa DodomaMkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge amewataka watumishi wa Umma na Taasisi mbalimbali kwenye Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatimiza majukumu yao ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA TISA YA KIDATO CHA NNE KOM SEKONDARI 2017 YAFANA

Shule ya Sekondari Kom iliyopo mjini Shinyanga leo Jumamosi Novemba 11,2017 imefanya mahafali ya 9 ya kidato cha nne tangu kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2006. Mgeni rasmi katika mahafali ya tisa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA AFYA YAWATAKA WANAWAKE KUPIMA AFYA ZAO ILI KUPAMBANA NA MAGONJWA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mkurugenzi wa kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Neema Rusibamayira amesema kuwa anafurahishwa na jitihada zinazofanywa  na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO NOVEMBA 12,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

“Marufuku kuuza mbolea tofauti na bei elekezi,” – RC Wangabo

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameagiza kukamatwa kwa wafanyabiashara wote wanaouza wanaouza pembejeo kwa zaidi ya bei elekezi iliyotolewa rasmi na serikali kwani kufanya hivyo ni kukiuka...

View Article

TAARIFA KWA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masauni ahamasisha ujenzi wa nyumba za polisi Pemba, wadau wajitokeza...

NAIBU Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewahamasisha wadau mbalimbali wa maendeleo nchini na kufanikisha kupata vifaa vya ujenzi wa mradi wa awamu ya kwanza wa nyumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHANDISI MTIGUMWE ATEMBELEA KITUO CHA UKAGUZI WA MAZAO MPAKA WA HOLILI NA...

Na Mathias Canal, KilimanjaroKatibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew John Mtigumwe Leo Novemba 11, 2017 ametembelea Vituo vya ukaguzi wa mazao vilivyopo Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Wangabo asisitiza Unyenyekevu, Uadilifu na Uwajibikaji kwa watumishi

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesisitiza Uwajibikaji, na kujituma kwa watumishi wote wa serikali mkoani humo ili kuweza kupeleka mbele gurudumu la maendeleo na kuwatumikia wananchi ambao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HESLB yatangaza wanafunzi wengine 1,775 wa mwaka wa kwanza waliopata mikopo,...

Na Mwandishi WetuBodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha nyingine yenye wanafunzi 1,775 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"JAMBO MTOTO"

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsalimia Mtoto Ivan Bosco (miezi7) akiwa katika Viwanja vya Bunge na Mama yake Mariam Zablon kutoka Bukombe Mkoani Geita walipotembelea bungeni Dodoma Novemba 10, 2017...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zaidi ya wanafunzi 3000 wa vyuo vikuu kunufaika na mradi wa ”Mobile for change”

Meneja Ruzuku na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza mwishoni mwa wiki, wakati wa uzinduzi wa mpango wa kuwajengea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadhimisho ya Siku ya Jumuiaya ya Wahandisi wa mitambo ya Mawasiliano,...

Kaimu MkurugenziMkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamullungu akizindua siku ya Jumuiya ya Wahandisi wa Mitambo ya Mawasiiano , Uongozaji ndege na ufuatiliaji miendendo ya Ndege...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHANDISI MTIGUMWE AITAKA BODI YA KAHAWA KUONGEZA UZALISHAJI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe akikagua kiwanda kidogo cha uzalishaji wa kahawa katika Bodi ya Kahawa mara baada ya kuwasili Ofisi hizo kwa ziara ya kikazi.Na Mathias Canal,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA 120 KUTOKA NCHI MBALIMBALI BARANI AFRIKA KUHUDHURIA KONGAMANO LA...

JUMLA ya vijana 120 kutoka nchi mbalimbali barani Afrika, wanatarajiwa kuhudhuria kongamano la vijana viongozi, litakalofanyika kuanzia Novemba 15 hadi 17 mwaka huu Jijini Dar es Salaam.Kongamano hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANSAF YAISHAURI SERIKALI KUONGEZA MAAFISA UGANI KWENYE HALMASHAURI

NA KAROLI VINSENTSERIKALI imeshauriwa kuwaongeza Maafisa Ugani kwenye halmashauri mbalimbali nchini ili waweza kumsaidia  Mkulima  aweze kufanya Kilimo kwa Ufanisi .Ushauri huo umetolewa leo Jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC WANGABO ASIFU KIKUNDI CHA KINAMAMA KINACHOJISHUGHULISHA NA UJENZI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amesifu kikundi cha kinamama wanaojishughulisha na kazi za ujenzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi alipofanya ziara  kwenye ujenzi wa kituo cha afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TATU MZUKA IKISHIRIKIANA NA NAIBU WAZIRI MAVUNDE WAKABIDHI...

Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana Antony Mavunde  mwishoni mwa wiki amekabidhi matofali 3000 na mifuko ya saruji 100 katika Kata ya Makutupora kwa ajili ya kuanza awamu ya kwanza ya ujenzi wa Shule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO NPVEMBA 13,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images