Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110026 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAHENGE: SITAKI KUSIKIA TATIZO LA UPUNGUFU WA CHAKULA WALA NJAA DODOMA

Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Binilith Mahenge amesema Mkoa wa Dodoma hauna sababu zozote za kukumbwa na tatizo la upungufu wa Chakula wala Njaa kwa wananchi wake kwa kuwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NYUZZZZZ.....: MUIGIZAJI WA FILAMU ELIZABETH MICHAEL "LULU"...

 Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa ni mwenye huzuni sana wakati akiwa katika Mahakama Kuu Dar es salaam kabla ya kusomewa hukumu ya kutumikia kifungo cha miaka miwili jela. Na Karama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBIO ZA TIGO DODOMA HALF MARATHON ZAFANA

 Wafanyakazi wa Tigo walioshiriki katika mbio ndefu za Tigo Dodoma Half Marathon wakiwa na bango linalosema 'Tumekusoma' kabla ya kuanza kwa mbio hizo ndefu jijini Dodoma leo. Tumekusoma ni kampeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi Wa Wizara Ya Maliasili Na Utalii Wahimizwa Kutoa Ushirikiano ili...

Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii katika Idara ya Utalii wameombwa kumpa ushirikiano Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Deograsius Mdamu, ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ufanisiKauli...

View Article

NAIBU SPIKA ACHANGISHA MILIONI 150 KWA AJILI YA HOSPITALI YA WILAYA YA NMTUMBO

Shilingi milioni 150 zimeshangishwa ikiwa fedha taslimu na ahadi kwa ajili kujenga chumba cha upasuaji na wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya namtumbo mkoani ruvuma.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDARA YA UTALII YAMTAKIA MAISHA MAPYA ALIYEKUWA MKURUGENZI MSAIDIZI WA IDARA...

Kaimu Mkurugenzi wa Idara Utalii, Bw. Deograsius Mdamu (kushoto) akimkabidhi moja ya zawadi ya saa ya mezani yenye picha ya aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi wa kusimamia Sehemu ya Maendeleo ya Utalii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE:WATANZANIA JITOKEZI KUMSHANGILIA BONDIA WETU IBRAHIM CLASS

Na Anitha Jonas WHUSM.Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi kumshangilia bondia Ibrahim Class katika pambano lake la kutetea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungungumza na Mbunge wa Urambo Tabora, Magreth Sitta, nje ya Jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 13, 2017.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KAMA...

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa wamebeba shehena ya Mzigo wa ndizi kwa ajil iya kupeleka Kigamboni kama walivyokutwa na mpiga picha wetu kando kando wa barabara ya kuelekea katika kivuko cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IDARA YA MAAFA YAWAJENGEA UWEZO WAJUMBE WA KAMATI YA SHERIA NDOGO YA...

Ofisi ya Waziri Mkuu imeendesha warsha ya siku moja kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Sheria Ndogo inayohusu Dhana, Sheria na Mfumo wa Usimamizi wa maafa kwa lengo la kuwajengea uwezo wa masuala ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI WAZUNGUMZA NA WATUMISHI WA...

  Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Suzan Mlawi akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo waliopo katika kituo cha Dar es Salaam leo ambapo amewataka kufanya kazi kwa bidii...

View Article

"UWANJA WA NDEGE WA CHATO KUSAIDIA USAFAIRISHAJI WA BIDHAA ZA MADINI"-NAIBU...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA KILIMO YATUPIA JICHO MIRADI YA KILIMO ZANZIBAR

 Katika jitihada za kuchagiza maendeleo ya kilimo Visiwani Zanzibar, Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imefanya ziara katika miradi mbalimbali ya kilimo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA CHINA NCHINI...

  Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Balozi mpya wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Balozi Wang ke (kulia) alipotembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma.Naibu Spika wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchango wa Asasi za Kiraia kwenye Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi

                    Mkurugenzi wa Taasisi ya Demokrasia na Utawala Bora Vijijini ADLG iliyopo Jijini Mwanza, Jimmy Luhende akichangia mada kwenye Mkutano wa Sekta ya Uziduaji 2017 uliofanyika Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TABOA, UWADAR Wakanusha Taarifa ya Mgomo Inayosambaa Mitandaoni

Na.Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Chama cha Wamiliki wa Mabasi Yaendayo Mikoani (TABOA) na Umoja wa Wasafirishaji Abiria Jijini Dar es Salaam (UWADAR) wamekanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEKH NURDEEN KISHK AISOGEZA JAMII KARIBU KWA KUFUNGUA KISHK TV ONLINE

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Mkurugenzi wa taasisi ya AL Hikma Nurdeen Kishki amesema kuwa kwa sasa waumini wake pamoja na jamii inayozungumza  wanaweza kupata mawaida yake, hadhara, hotuba  na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

"IMEBUMA KATIKATI YA BARABARA"

Wasamalia wakiipiga kibega gari iliyokuwa imebuka katika makutano ya barabara ya Morogoro na Sam Nujoma eneo la Ubungo, na kupelekea adha ya kupita kwa Mabasi ya Mwendo kasi.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI KAMILI: Lulu kutumikia miaka miwili jela

 Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.Leo Novemba 13, 2017 Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam, imemuhukumu msanii maarufu wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta kutumikia kifungo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makumbusho ya Taifa yaandaa onesho la picha zilizopigwa miaka iliyopita

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMakumbusho ya Taifa kwa kushirikiana na Raia wa Denmark, Jesper Kirkanes wameandaa onesho la picha mbalimbali za maisha ya Watanzania zilizopigwa miaka 50...

View Article
Browsing all 110026 articles
Browse latest View live




Latest Images