Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZALISHAJI WA MAZAO YA CHAKULA NA BIASHARA UMEONGEZEKA KWA KASI-NAIBU WAZIRI...

Na Mathias Canal, DodomaSerikali imesema kuwa utekelezaji wa mpango wa Kilimo Kwanza umekuwa na mafanikio katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara nchini ambapo uzalishaji wa jumla wa mazao ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA UDALALI YA MSAMA AUCTION MART YAENDELEA NA ZOEZI LA KAMATA KAMATA...

Kampuni ya Udalali ya Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeendelea na zoezi la ukamataji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO NOVEMBA 8,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI MSITOE MATAMKO YASIYOTEKELEZEKA- WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Mawaziri na Naibu Mawaziri wajiepushe na utoaji wa matamko yasiyotekelezeka ili kuepuka mikanganyiko Serikalini.Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumanne, Novemba 7,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA ZOEZI LA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA WAFANYIKA MKOANI MTWARA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara leo amezindua rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu kwa wananchi wa mkoa huo tayari kuanza rasmi kwa zoezi la usajili kwa wananchi ikihusisha kuchukuliwa picha, saini na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM KUTOKA...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka Serikali ya Norway kwa Serikali ya Tanzania, Balozi Arild Oyen ambaye alifika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA Yafuta Usajili wa Dawa zenye madhara kwa Binadamu

Na. Prisca Libaga-MAELEZO, Arusha.Mamlaka ya chakula na dawa TFDA imezifutia usajili dawa mbalimbali za kutibu magonjwa ya binadamu na kuziondoa kwenye soko pamoja na kusitisha matumizi yake kutokana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA

 Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Kongwa, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Watendaji mbalimbali wa halmshauri ya wilaya ya Kongwa katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake kongwa Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAZIA LA MASHINDANO YA RIADHA YA KIGAMBONI MARATHONI LAFUNGULIWA LEO JIJINI...

 Mratibu wa Shindano la Kigamboni Marathoni,Dimo Debwe Mitiki akiwaonesha wana Habari Zawadi zitakazogawiwa kwa washindi wa mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Desemba 2 mwaka huu katika fukwe za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT:BOMU LA MKONO LAUA WANAFUNZI SITA NA KUJERUHI 24 MKOANI KAGERA

Na Editha Karlo wa blog ya jamii,KageraWANAFUNZI sita wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Kihinga wilaya ya Ngara mkoani Kagera wamefariki na wengine 24 kujeruhiwa baada ya kulipukiwa na bomu la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITABU KICHOZUNGUMZIA UCHUMI WA DALADALA NCHINI CHA ZINDULIWA DAR

 Mwandishi na Mtunzi wa Kitabu cha Taken For Ride, Dkt. Matteo Rizzo  akitoa ufafanuzi juu ya kitabu hicho kinachozungumzia biashara ya Daladala nchini mpaka kufikia kwenye mradi wa mabasi yaendayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC yaridhia kuhamishwa vituo 21 vya kupigia kura Mbweni

Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani akiwa na kitabu cha wageni kwenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Malindi Estate ambayo ipo kwenye nyumba ya mmoja wa wagombea wa Uchaguzi Mdogo wa Madiwani Kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF IDD MGENI RASMI HAFLA YA UTIWAJI SAINI UJENZI WA BARABARA...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seuf Ali Idi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Abdujumbe mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Halmashairi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja wa Vodacom Tanzania na Easybuyafrica warahisishiwa huduma zao zaidi

Meneja Masoko wa huduma za kifedha wa Vodacom Tanzania PLC,Noel mazoya(kushoto)akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) jijini Dar es Salaam jana,Juu ya Ushirikiano wa kibiashara na kampuni ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YATOA SEMINA ELEKEZI KWA WAAJIRIRWA WAPYA 400

Naibu Mkurugenzi Rasilimali Watu wa Mamlaka hiyo, Bw. Ulimbakisya Masomelu akiwaeleza Waajiriwa wapya wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) juu ya kuwa waadilifu na kutekeleza majukumu yao kikamilifu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO NOVEMBA 8, 2017

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akisoma dua ya kuiombea nchi na Bunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma. Waziri wa Nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI WAPUNGUA KUTOKA ASILIMIA 5.3 HADI ASILIMIA 5.1

Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu Irenius Ruyobya wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya Mfumuko wa Bei wa Taifa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BCX YAZINDUA ‘UHURU PAY’

Abiria wanaotumia usafiri wa daladala jijini Dar es Salaam sasa hawatosumbuka tena kuhusu kutembea na fedha taslim mfukoni au usumbufu wa makondakta wa kutokua na chenchi, lakini pia wamiliki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA KILIMO AFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA MAZAO YA CHAKULA WAKATI...

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akisiitiza jambo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Mazao ya Chakula wakati na baada ya kuvuna lililofanyika katika Ukumbi wa Nkuruma, Chuo...

View Article

POLISI DAR YAFANIKIWA KUKAMATA WATUHUMIWA SUGU

View Article
Browsing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images