aliyekutwa akimiliki mali na kuishi maisha yasiyolingana na kipato chake...
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa, kesi dhidi ya Afisa Msaidizi wa Forodha wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Jennifer Mushi anayekabiliwa na mashtaka...
View ArticleTaasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Hospitali ya Saifee...
Madakatati Bingwa wa Upasuaji wa Moyo na Mishipa ya damu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Saifee ya nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kupandikiza mishipa ya damu...
View ArticleVigogo wanne Tanesco kizimbani kwa ubadhirifu wa fedha zaidi ya bilioni 2.7
Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Maofisa wanne wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco )na watu wengine wawili, leo Novemba 7, 2017 wamepandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...
View ArticleSERIKALI YAAGIZA MIKOA KUANDAA MAPOKEZI KWA WANAFUNZI WATAKAOJIUNGA KIDATO...
Na Fred KibanoWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani S. Jafo (Mb), ameiagiza Mikoa yote nchini kuanza mapema maandalizi ya kuwapokea wanafunzi wa...
View ArticleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWASIKILIZA MAWAZIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilichoanza leo Novemba 7, 2017 mjini...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA WADAU WA MASUALA YA AJIRA NA UKUZAJI UJUZI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisisistiza jambo kwa wajumbe wa Kikao cha wadau wa masuala ya Ajira na Ukuzaji Ujuzi...
View ArticleAZAM FC WAACHANA NA MSHAMBULIAJI WAO WA KIMATAIFA YAHYA MOHAMED
Uongozi wa klabu ya Azam FC imeamua kuvunja mkataba na mshambulizi wake, Yahaya Mohammed raia wa Ghana baada ya kuona ameshindwa kuwapatia kile ambacho wanakihitaji kwa muda wote aliokuwa ametumikia...
View ArticleTAMBWE, KAMOSOKU NA NGOMA MATARAJIO NI KUANZA MAZOEZI MEPESI WIKI HII- DR BAVU
Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi yake leo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Tz Prison Novemba 19.Mazoezi hayo yanayoendelea kwenye Uwanja...
View ArticleVijiji Vyote Visivyo na Umeme Kupata Umeme Ifikapo 2020/21
Na: Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma.Serikali imesema itahakikisha vijiji vyote visivyo na umeme vinapata umeme kupitia mradi wa kupeleka umeme vijijini awamu ya Tatu (REA-III) unaotegemewa kukamilika...
View ArticleSERIKALI YALIPA MADAI YA WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA TTCL SH. BILIONI 12.7
Benny Mwaipaja, DodomaSERIKALI imewalipa pensheni wafanyakazi 245 wa iliyokuwa Kampuni ya Simu ya TTCL, chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kiasi cha shilingi bilioni 12.7.Hayo yamesemwa Bungeni Mjini...
View ArticleWATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII WAJADILI MBINU ZA KUIMARISHA ARI YA JAMII...
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akitoa mada kwa wataalam wa Maendeleo ya Jamii kuhusu kuamsha ari ya wananchi kushiriki shughuli za maendeleo yao katika Mkutano Kazi wa mwaka...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA KYAKA-BUGENE WILAYANI KARAGWE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua rasmi barabara ya Kyaka-Bugene yenye urefu wa Km 59.1 eneo la Kayanga wilayani Karagwe mkoa wa Kagera leo Novemba 7, 2017....
View ArticleMAVUNDE AWAPA NEEMA WAJASIRIAMALI DODOMA MJINI
NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma mjini leo amefungua semina ya wajasiriamali wapatao 2000 wa Jimbo hilo. Semina hiyo imefanyika...
View ArticleVIAZI LISHE KUTOLEWA KWA WANAFUNZI SIKONGE MKOANI TABORA
Na Dotto Mwaibale, Sikonge TaboraWANAFUNZI wilayani Sikonge mkoani Tabora wataanza kunufaika na viazi lishe baada ya kupokea mbegu bora ya viazi hivyo, mihogo na mahindi ya Wema kutoka Tume ya Taifa ya...
View ArticleTIC yafanikiwa kupata uwekezaji kutoka kwa makampuni makubwa duniani ya...
Kituo cha uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanikiwa kupata uwekezaji kutoka kwa makampuni makubwa duniani ya Ferrostaal ya Ujerumani na Haldor Topsoe ya Demnmark, ambao unatarajiwa kuondoa kwa kiasi...
View ArticleSerikali Imetoa Hekta 271,882.86 kwa Ajili ya Shughuli za Vijana.
Na: Lilian Lundo – MAELEZO – Dodoma.Serikali kupitia Halmashauri za Wilaya katika mwaka 2016 imetoa jumla ya Hekta 271,882.86 za ardhi kwa vijana nchi nzima ili kufanya shughuli za uzalishaji mali na...
View ArticleZOEZI LA USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA LASHIKA KASI MKOANI SINGIDA
Usajili Vitambulisho vya Taifa mkoani Singida umezidi kushika kasi wananchi wakifika kwa wingi kupata huduma ya Usajili unaohusisha uchukuaji wa alama za Kibiolojia, picha na Saini ya Kielektroniki.Kwa...
View Article
More Pages to Explore .....