BAKHRESA FOOD PRODUCT WAENDESHA WARSHA KUHUSIANA NA MBINU BORA ZA KILIMO KWA...
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Filberto Hassan Sanga akizungumza na wakulima,wasafirishaji wa matunda katika warsha ya siku moja iliyoanadaliwa na Bakhresa Food Product –kitengo cha kuchata matunda leo...
View ArticleTANZANIA NA SWEDEN ZAADHIMISHA MIAKA 40 YA USHIRIKIANO WA MASUALA YA UTAFITI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya ushirikiano wa masuala ya utafiti baina ya Tanzania na Sweden na namna...
View ArticleYANGA NA SIMBA ZAPIGWA FAINI, SIMBA YAPEWA ONYO KALI KWA KOCHA WAKE MSAIDIZI
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imepitia ripoti za michezo yote ya Ligi Kuu Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja Pili (SDL) na kufanya uamuzi...
View ArticleRUNGU LA ADHABU LATEMBEA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL) NA LA PILI (SDL)
Mechi namba 16 Kundi A (Friends Rangers 1 v African Lyon 1). Klabu ya African Lyon imepewa Onyo Kali kwa timu yake kuhudhuria kikao cha maandalizi ya mechi ikiwa na maofisa pungufu, kitendo ambacho ni...
View ArticleUYUI WAZIPOKEA KWA MIKONO MIWILI MBEGU BORA ZILIZOFANYIWA UTAFITI KUTOKA...
Wanakikundi cha Upendo kilichopo Kijiji cha Magiri Kata ya Magiri katika Halmshauri ya Wilaya ya Uyui mkoani Tabora wakiwa pamoja na watafiti kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH),...
View ArticleKOMBE LA SHIRIKISHO LA ASFC KUENDELEA KESHO KATIKA VIWANJA SABA
Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), inaendelea kesho Alhamisi Novemba 9, 2017 kwa michezo saba ambako Dar City itacheza na Majimaji Rangers ya Lindi.Mchezo...
View ArticleRC GEITA ASHIRIKIANA NA WANANCHI KUCHIMBA MSINGI NA UJENZI WA KITUO CHA AFYA...
Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi Mkuu wa Mkoa wa Geita amezindua kampeni ya ujenzi wa vyumba vya madarasa na ujenzi wa Zahanati Wilayani Chato ili kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa na Zahanati...
View ArticleH.E. PAUL KAGAME TOURS EAC PARTNER STATES STAND AT WTM IN LONDON
EAC Headquarters, Arusha, Tanzania, 8th November 2017: H.E Paul Kagame, President of the Republic of Rwanda on Monday 6th November, 2017, toured the EAC Partner States stand at the World Travel Market...
View ArticleSERIKALI KUPATA MABILIONI YA SHILINGI KUTOKANA NA ALMASI ILIYOKAMATWA UWANJA...
Na Humphrey Shao, Globu ya JamiiWaziri wa Madini, Angela Kairuki amesema kuwa serikali inataraji kupata mrabaha zaidi katika madini ya Almasi yaliyokamatwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleBENKI YA DUNIA YAIPATIA TANZANIA MKOPO NAFUU WA BILIONI 340 KUENDELEZA UTALII...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa pili kulia) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia katika nchi za Tanzania, Malawi, Burundi na Msumbuji, Bi. Bella Bird, wakisaini Mkataba...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA WILAYA YA MISENYI NA KUTEMBELEA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Wilaya ya Misenyi(hawaonekani pichani) wakati akielekea katika kiwanda cha Sukari cha Kagera...
View ArticleRC MPYA DODOMA DKT. MAHENGE AWATEMBELEA VIONGOZI WA BARAZA LA WAZEE DODOMA,...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Dkt. Binilith Mahenge amemtembelea na kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma Balozi Mstaafu Job Lusinde ambapo mwenyekiti huyo wa Wazee...
View ArticleRC Wangabo amuagiza RPC awapumzishe DTO na Msaidizi wa RTO kupisha uchunguzi
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa George Kyando kuwaweka pembeni Mkuu wa Usalama barabarani wa Wilaya Inspector Suleiman Africanus pamoja na Msaidizi...
View ArticleKATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO BW. DOTO JAMES AWATOA HOFU WATANZANIA...
Benny Mwaipaja, Dar es SalaamKATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James amewatoa hofu watanzania kuhusu ongezeko la Deni la Taifa akisisitiza kuwa Deni hilo ni himilivu.Bw. James amesema...
View ArticleMAVUNDE AMKABIDHI KITITA CHA MILIONI 60 MSHINDI WA DROO YA 14 YA TATUMZUKA...
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Mheshimiwa Anthony Mavunde leo amemkabidhi kitita cha shilingi Milioni 60 mshindi wa droo ya Tatumzuka Bwana Robert Changadiko ambaye alijishindia kiasi hicho...
View ArticleMfumo wa kutengeneza na kusambaza filamu za Kitanzania (Bongohoodz) wazinduliwa
Kampuni za utengenezaji filamu za Mashauri Studios na Novitech kwa kushirikiana na Clouds Plus pamoja na Shirikisho la Filamu Tanzania imezindua rasmi mfumo wa kutengeneza, kutangaza, kuonyesha na...
View Article
More Pages to Explore .....