FULLSHANGWEBLOG sasa yarudi tena hewani baada ya kupatwa na kwikwi kwa siku 2...
Tunawashukuru wadau wote wa Mtandao wa WWW.FULLSHAANGWEBLOG.COM kwa uvumilivu wenu baada ya mtandao wetu kutokuwa hewani kwa siku mbili kutokana na matatizo yaliyokuwa nje ya uwezo wetu. Mtandao wa...
View ArticleKuni zipo Sokoni
Pamoja na kwamba Serikali imekuwa ikipiga vita sana ukataji wa Miti hovyo,lakini imekuwa tofauti kwa aliepanga kuni hizi kwa lengo la kuziuza kama kamera yetu ilivyozikuta katika eneo la Bunju A,jijini...
View ArticleWATAKIWA KUUNGANISHA NGUVU ILI WAWEZE KUUSHINDA UHALIFU
Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha,Mrakibu Mwandamizi wa Polisi,Gilles Muroto akiongea na wananchi wa Mtaa wa Sanawari (hawapo pichani) uliopo kata ya Sekei halmashauri ya jiji la Arusha juu ya uanzishaji...
View ArticleKIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR CHAANZA RASMI LEO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (kulia)akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh Salmin nje ya Ukumbi wa Baraza la...
View ArticleMTANADO WA GLOBAL PUBLISHERS NAO WAPATA KWIKWI LEO
Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu. Ni maratajio yetu kuwa...
View ArticleAmerican People Partner with Tanzanians Leading Community Development Programs
U.S. Ambassador Alfonso E. Lenhardt, (in black suit at the center), pose in a group photo with awarded grantees after the Ambassador's Special Self-Help Fund grants presentation ceremony held yesterday...
View ArticleSERIKALI KUFUATILIA MAENDELEO YA MIRADI INAYOZINDULIWA WAKATI WA MBIO ZA...
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana nchini kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akisisitiza kwa wajumbe wa mkutano wa tathmini ya mbio za Mwenge mwaka...
View ArticleMAOFISA WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA
Baadhi ya maofisa kutoka Chuo Cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutoka Dar es Salaam wakipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Uzalishaji Bia wa Kiwanda cha Bia cha TBL Arusha, Ben Mwanri (wa pili kushoto),...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA (AU) NA RAIS WA BENIN,MHE. BONI YAYI,LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mgeni wake ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) na Rais wa Benin Mhe Boni Yayi Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 16, 2013.Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleMZEE MKAPA NA MZEE MSUYA WATOA MAONI YA KATIBA LEO
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akibadilishana mawazo na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Jan 16, 2013). Wajumbe wa Tume walikutana na...
View ArticleWaziri Simba akabidhi vyerehani kwa wajane jijini Dar leo
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba akimsikiliza Gavana wa Lions Ukanda wa Uganda na Tanzania, Joseph Kiwanuka, wakati alipomtembelea leo ofisini kwake akiwa na ujumbe wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA JENGO JIPYA LA HOSPITALI YA HINDU MANDAL JIJINI DAR ES...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akfungua rasmi jengo jipya la hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es salaam baada ya kufungua jengo lake jipya leo Januari 16, 2013. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na...
View ArticleWATATU WAJITOSA KUWANIA URAIS TFF
Wadau watatu wa mpira wa miguu wamechukua fomu za kuwania urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kufanya idadi ya waliojitosa katika uchaguzi huo utakaofanyika Februari 24 mwaka huu...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AWASILI ARUSHA JIONI YA LEO ,TAYARI KWA KUFUNGA MKUTANO WA...
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Magesa Mulongo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA)jioni ya leo,kesho atafunga mkutano wa...
View ArticlePROF. MAGHEMBE AKUTANA NA UJUMBE WA WIZARA YA MAJI NCHINI MISRI
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza na ujumbe wa watu wa Misri ulioongozwa na Waziri wa Maji wa nchi hiyo Dk.Mohamed Saad (kushoto) walipofika ofisini kwake...
View ArticlePresident Kikwete holds official talks with AU Chariman and President Yayi of...
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete (right), President of the United Republic of Tanzania today met with H.E. Bon Yayi, President of the Republic of Benin for official talks in the State House, in Dar es...
View ArticleAPRM: peoples’ views should prevail on future of Union
APRM Tanzania Executive Secretary, Ms Rehema TwalibThe African Union (AU) programme for governance assessment-the Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania chapter has urged for views of the people to...
View ArticleHalmashauri ya Ilala yatoa somo kwa halmashauri ya jiji la Mwanza
Mstahiki meya wa jiji la Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu ili kujionea mbinu za kisasa za...
View ArticleTHE MIC KING: SADAM OUT, WATATU DANGER ZONE!
MSHIRIKI wa Shindano la The Mic King lililoendelea kutimua vumbi kila Jumapili katika Ukumbi wa Dar Live Mbagala Zakhem jijini Dar, Sadam Rashid ‘KM 18’ ameliaga shindano hilo huku washiriki wengine...
View ArticleTPA yaongeza ufanisi kitengo cha upakuaji magari
Afisa Utekelezaji Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini katika Kitengo cha Magari Bandari ya Dar es Salaam, Principal Operation Officer and Head of Motor Vehicle Section Dar es Salaam Port),...
View Article