Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza na ujumbe wa watu wa Misri ulioongozwa na Waziri wa Maji wa nchi hiyo Dk.Mohamed Saad (kushoto) walipofika ofisini kwake kwaajili ya mazungumzo mbalimbali kuhusu sekta ya maji na umwagiliaji hassa suala la maji ya mto Nile ambayo chanzo chake ni ziwa Victoria. Magembe aliwataka kuimarisha Ushirikiano wa nchi hizo kwenye mambo yote wanayokubaliana na kwayale wasiokubaliana kuendelea na majadiliano. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Waziri wa Maji wa Misri Mohamed Saad (katikati) akizungumza na watendaji wa Wizara ya Maji nchini kulia ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof.Jumanne Maghembe kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhandisi Bilinith Mahenge. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Wajumbe wa Serikali ya Tanzania wakinukuu mambo mbalimbali yaliyokuwa yakielezwa na ujumbe wa Wizara ya maji ya nchini Misri jijini Dar es Salaam leo. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Balozi wa Misri nchini Tanzania,Hossam Moharam (kushoto) akiwa sambamba ujumbe wa nchi yake uliofika nchini kwa majadiliano ya mambo mbalimbali ya sekta ya maji. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Ujumbe wa Wizara ya Maji ya nchini Misri ukifuatilia majadiliano. |