KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WATUMISHI WA NEMC.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais Profesa Faustin Kamuzora akiongea na Watumishi wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) alipokutana nao kuongea mambo mbalimbali ya Kiutumishi, Ofisi hiyo...
View ArticleAirtel Tanzania PLC undertakes strategic efficiency enhancement exercise
Airtel Tanzania PLC has embarked on a strategic efficiency enhancement exercise aimed at making the company more flexible and agile and to innovate and respond better to the market demands. “This...
View ArticleUTAFITI WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI WA AWAMU YA PILI KUFANYIKA MWEZI...
Na: Veronica Kazimoto.Utafiti wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini Tanzania wa awamu ya pili unatarajia kufanyika mwezi Agosti mwaka huu.Akizungumza wakati wa mafunzo ya wadadisi yanayoendelea kufanyika...
View Article‘COCA-COLA BILA SUKARI’ YAZINDULIWA KUKIDHI MAHITAJI YA SOKO MWANZA
Kampuni ya Coca-Cola leo imezindua katika soko la Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla, soda mpya ya “Coca-Cola Bila Sukari”. Uzinduzi wa soda hii mpya umefanyika katika kiwanda cha Nyanza Bottlers...
View ArticleBenki ya KCB Tanzania yaendelea kuwapatia ushauri wa kibiashara wanachama wa...
Benki ya KCB Tanzania inaendelea kuwapatia wanawake wajasiriamali waliopitia mafunzo ya ujasiriamali ya KCB 2jiajiri ushauri wa kibiashara kwa vitendo ofisini kwa wafaidika wa 2jiajiri. Maafisa watatu...
View ArticleBAKWATA YAITAKA SERIKALI KUMCHUKULIA HATUA MTU MMOJA ANAYEJIITA MTUME MKOANI...
Baraza la ulamaa limetoa wito kwa vyombo vya dola kumchukulia hatua stahiki mtu aliyejitokeza katika mkoa wa pwani na kudai yeye ni Mtume. Akisoma wito huo, kwa niaba ya Mufti wa Tanzania, Sheikh...
View ArticleKUTOKA MAHAKAMA YA KISUTU:KESI YA MADAI BAINA YA DKT WILLIAM MORRIS DHIDI YA...
Na Karama Kenyunko, blog ya jamii.Mlalamikaji katika kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk.William Morris dhidi ya Mchungaji Joseph Mwingira na Philis Nyimbi amewasilisha maombi katika Mahakama ya Hakimu...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MKE WAKE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Harisson Mwakyembe akilia juu ya jeneza la Mke wake Marehemu Linah Mwakyembe wakati wa kuaga mwili huo nyumbani kwake Kunduchi, Jijini Dar es Salaam...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI AZINDUA TTCL PESA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amezindua huduma mpya ya fedha mtandao ijulikanayo kama TTCL PESA ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL. Uzinduzi huo...
View ArticleTamasha la tisa la muziki wa Kigogo: Muendelezo wa utambuzi kwa urithi wa...
Wilayani Chamwino mkoani Dodoma maeneo karibu na Ikulu kunatarajia kuwa na burudani ya aina yake kwa wakazi wa kijiji hicho na maeneo yanayokizunguka, ambapo linatarajia kufanyika Tamasha la 9 la...
View ArticleMDAU ABUNI MCHEZO WA KARATA WA ALBASTINI MTANDAONI
Mtanzania Augustino Mponzi anayeishi jijini Dallas, Texas, Marekani, amebuni mchezo marufu wa karata uitwao ALBASTINI kwa njia ya mtandao. Mchezo huu unaweza kuchezwa kwa kutumia simu ya mkononi...
View ArticleWIZARA YA MAMBO YA NJE YANADI MIRAANI FURSA ZA BIASHARA KATIKA SOKO LA AFRIKA...
Kituo Kikuu cha Mabasi, DodomaBw. Justin Kisoka, Mtumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ambaye amebobea katika masuala ya uchumi akitoa somo namna vijana wa Kitanzania...
View ArticleWANANCHI WATAKIWA KUTUMIA NISHATI YA BIOGAS ILI KURAHISISHA MAISHA
Wananchi wametakiwa kutumia Gesi Bayogesi kwani inapunguza gharama za watumiaji wa vyanzo vingine vya nishati ,pia gesi hii inasaida kutunza mazingira . Hayo yamebainishwa leo na Mratibu wa Ubunifu...
View ArticleMEYA WA JIJI LA DAR AFANYA ZIARA KITUO CHA MABASI UBUNGO
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na wafanyabiashara wa Stendi ya Mabasi Ubungo,wajumbe wa Kamati ya Fedha na uchumi ya Halmashauri ya Jiji alipofanya ziara ya kushtukiza...
View ArticleKIWANDA CHA KUZALISHA HOJA NI WATENDAJI WA HALMASHAURI; DKT NCHIMBI.
Watendaji wa halmashauri za wilaya na manispaa wamekuwa ni kiwanda cha kutengeneza hoja za mkaguzi na Mthibiti Mkuu wa hesabu za Serikali kwa kukosa umakini, uaminifu, uwajibikaji na kutokuzingata...
View Article