Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akizungumza na  wafanyabiashara wa Stendi ya Mabasi Ubungo,wajumbe wa Kamati ya Fedha na  uchumi ya Halmashauri ya Jiji alipofanya ziara ya kushtukiza katika  kituo cha mabasi ubungo jana,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji. 
 Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akiwasikiliza Askari  Polisi wa Ubungo alipofanya ziara ya kushtukiza jana katika kituo cha  mabasi yaendoyo mikoani. katikati Mwenye Shati jeupe ni Diwani wa kata  ya segerea ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya fedha na uchumi ya  Halmashauri ya Jiji, Patrick Asenga.wa kwanza kushoto ni Meneja wa Kituo  cha mabasi ubungo Iman Kasagara.![]()
  Meneja wa Kituo cha mabasi Ubungo , Iman Kasagara  akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya Mstahiki Meya wa  Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita na Kamati ya fedha na Uchumi  walipofanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha mabasi Ubungo.
 Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita  akizungumza na waandishi wa habari jana alipofanya ziara ya kushtukiza ya  kutembelea kituo cha mabasi ubungo.  
 Mbunge wa Jimbo la Ubungo, ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Madiwani la  Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari  jana kwenye ziara iliyofanywa na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam  na Kamati ya fedha ya jiji.