RC Rukwa aitahadharisha Manispaa ya Sumbawanga kutumia vizuri Bilioni 1.1 za...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewataka wale wote wanaohusika na usimamizi wa fedha za ukarabati wa moja ya shule Kongwe nchini, kuhakikisha kuwa fedha hizo zinatumika kama...
View ArticleJAFO ATOA AGIZO KWA MAAFISA WA ELIMU KUBORESHA MAZINGIRA YA SHULE
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo ameagiza maafisa elimu nchini kuboresha mazingira ya shule za msingi na sekondari katika halmashauri zao wanazoziongoza ili ziwe na mandhari ya...
View ArticleMASTER MIYAZATO WA OKINAWA GOJU RYU KARATE AMPANDISHA NGAZI SENSEI FUNDI...
Sensei Fundi Rumadha amefanya na kufaulu vizuri mitihani wake wa kupanda ngazi toka Dan ya tatu "Sandan" kwenda ngazi ya nne "Yondan"Â chini ya waamuzi (masters) toka Okinawa wakiongozwa na Sensei...
View ArticlePROF. MBARAWA: FIDIA ZITALIPWA KWA WANAOSTAHILI KISHERIA
Serikali imesema itawalipa fidia kwa mujibu wa sheria wananchi wote waliopisha ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali ya nchi. Amesema hayo Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame...
View ArticleBANK OF AFRICA YAKABIDHI GREDA KWA MTEJA WAKE
BANK OF AFRICA imekabidhi rasmi mtambo wa ujenzi (Greda jipya aina ya JCB) lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 300 kwa kampuni ya Dezo Civil Contactors Limited, kwa ajili ya kutekeleza miradi...
View ArticleESRF YAANDAA MKUTANO KUJADILI BIASHARA NA UWEKAZAJI KATI YA TANZANIA NA CHINA
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe Dkt. Philip Mpango akisoma hotuba kwa niaba ya Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano wa 6 wa mwaka wa ESRF unaozungumzia...
View ArticleTAHMEF YATOA HUDUMA BURE YA UPIMAJI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI WILAYANI...
TAHMEF (Tanzania Health and Medical Education Foundation) ni shirika lisilo la kiserikali (NGO), lililozinduliwa rasmi tarehe 8 Julai 2016 na Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, watoto na...
View ArticleBENKI YA NMB YASHINDA TUZO YA BENKI BORA YA MAENDELEO AFRIKA 2017
BENKI ya NMB PLC imeshinda tuzo mbili katika sherehe za utoaji wa tuzo wa benki bora duniani zilizofanyika Jijini London, Uingereza. NMB Imetajwa kwa mara ya kwanza kuwa ni Benki Bora ya Maendeleo...
View ArticleRC Gambo awataka watendaji kutatua kero za wananchi
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho M. Gambo awaagiza viongozi wa serikali ya kijiji , kata, tarafa, Halmashauri na wilaya  kuhakikisha wanatenga muda wa kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua ikiwa ni...
View ArticleIGP SIRRO AFANYA MABADIRIKO YA KAWAIDA KWA MAKAMANDA WA POLISI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saimon Sirro, Â amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga.Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Kamanda...
View ArticleRatiba ya msiba wa marehemu Professor Henslay William Kabisama
Ndugu, Jamaa, Marafiki, wanafamilia na wote tuliopatwa na msiba huu wa marehemu Professor Henslay William Kabisama uliyotokea huko Ontario, California, Marekani, mnaarifiwa kwamba familia itawasili...
View ArticleBADO WIKI 6 TU KWA ILE BASH YA OLD SCHOOL REUNION KUBAMBA COLUMBUS OHIO
HOTELS IN COLUMBUSHampton Inn Columbus I-70 E/Hamilton Road2093 S Hamilton Rd, Columbus, OH 43232hamptoninn3.hilton.com(614) 552-2400Holiday Inn Express & Suites Columbus Southeast4041 Hamilton...
View ArticleMWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB) YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidWATEJA wanne wa Mwalimu Commercial Bank PLC wamejishindia zawadi za IPAD na vocha za manunuzi baada ya kuibuka washindi kwenye Droo iliyochezeshwa na benki hiyo kufuatia...
View ArticleRC NCHIMBI : WATUMISHI PUNGUZENI KULALAMIKA
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi amewataka watumishi kupunguza malalamiko na kuelekeza nguvu zao katika kuhudumia wananchi kwa mambo yanayoonekana kwa macho.Dkt Nchimbi ameyasema hayo katika...
View ArticleDARAJA LA FURAHISHA MWANZA LAKAMILIKA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa amesema ujenzi wa Daraja la waenda kwa miguu lililopo eneo la Furahisha na barabara ya kutoka Furahisha hadi Pasiansi yenye urefu wa KM...
View ArticleMAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI MAREHEMU LINAH...
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Viongozi mbalimbali wa Serikali,ndugu jamaa na Marafiki katika kutoa heshima za mwisho mbele ya mwili wa Marehemu Linah George Mwakyembe,mapema leo...
View ArticleMAMLAKA ZA AJIRA NCHINI ZAAGIZWA KUREKEBISHA TAARIFA ZA WATUMISHI WA UMMA...
Mamlaka za ajira katika utumishi wa umma nchini zimeelekezwa kufanya marekebisho ya taarifa za watumishi wa umma wanaotarajiwa kustaafu ili waweze kupata stahili zao kwa wakati kama inavyostahili....
View ArticleBENKI YA NMB YAWALETEA WATEJA WAKE HUDUMA YA TRADE FINANCE ILI KUENDELEZA...
Benki ya NMB imekuja na huduma yake ijulikanayo kama Trade Finance yenye lengo lakuendana na mabadiliko na kuendeleza Uchumi wa Viwanda nchini.Trade Finance ni utaratibu wa Benki ambao unamwezesha...
View Article