BEBE COOL & SAUTI SOL RELEASE NEW AUDIO 'MBOZI ZA MALWA'
East Africa’s music giants Bebe Cool (Uganda) and Sauti Sol (Kenya) are thrilled to announce the release of their new collabo titled ‘MBOZI ZA MALWA’, luganda for conversations that usually take place...
View ArticleMila potofu – Kikwazo Matibabu kwa watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi
Makamu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu ya Halotel Pham Dinh Quan (kulia) akiwaongoza wafanyakazi wenzake kutoa zawadi kwa mmoja wa mama wa watoto wenye vichwa vichwa vikubwa na mgongo wazi...
View ArticleNGORONGORO CRATER YAENDELEA KUPATA UMAARUFU
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwasili katika eneo la Miti mitatu ndani ya Ngorongoro Crater.Watangazaji Baby Kabaye na Hassan Ngoma ,wakifanya mahojiano na Naibu Waziri...
View ArticleSERIKALI MKOANI SIMIYU YAOMBA KIKUNDI CHA ULINZI CHA KIJESHI KUIMARISHA...
Na Stella Kalinga, SimiyuSerikali mkoani Simiyu imeomba kuwepo kwa kikundi cha ulinzi cha kijeshi katika Wilaya ya Busega ili kusaidia mapambano dhidi ya vitendo vya uhalifu ikiwemo uvuvi haramu na...
View ArticleKajala aendesha droo ya kwanza ya Ijue Nguvu ya Buku ya BIKO - yampatia Sh...
Msanii nyota wa filamu Tanzania, Kajala Masanja, kulia akishiriki katika droo ya kwanza ya bahati nasibu ya Ijue Nguvu ya Buku inayoendeshwa na Kampuni ya Biko ambapo ilimpata mshindi wake wa kwanza wa...
View ArticleTAMASHA LA BURUDANI LA "NYANZA FESTIVAL" LAAHIRISHWA HADI APRILI 29, 2017
#BMGHabariLile tamasha la burudani la Nyanza Festival 2017, lililopaswa kufanyika hii leo April 16,2017 katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza limeahirishwa kwa kile kinachodaiwa kwamba ni...
View ArticleDC SANGA AVITOLEA POVU VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (AMCOS), AVIPA MWEZI...
Na Mwamvua Mwinyi,MkurangaMKUU wa wilaya ya Mkuranga,mkoani Pwani, Filberto Sanga,ametoa mwezi mmoja kwa vyama vya ushirika vya msingi vya korosho(AMCOS), ambavyo vimehusika kufanya ubadhilifu wa fedha...
View ArticleTAMASHA LA PASAKA LILIVYOFANA UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, waandaaji wa tamasha hilo, Alex Msama (wa nne kushoto), akimkabidhi Tuzo aliyomtunuku Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Mgeni rasmi wa tamasha hilo, Waziri...
View ArticleSAMIA : VIJANA WANA KASI YA 4G WAPEWE NAFASI YA KUKIONGOZA CHAMA
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongea na wanachama wa tawi la Muungoni mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa...
View ArticleWakazi wa Mbagala wakunwa na Taifa Moja concert
Wakazi wa maeneo ya Mbagala na viunga vyake jana jumapili walipata burundani ya aina yake iliyoongozwa na wasanii kutoka kundi la Wasafi Classic Harmonize pamoja na mwenzake Rich Mavoko. Tamasha hilo...
View ArticleUKARABATI WA KIVUKO CHA MV PANGANI WAFIKIA HATUA ZA MWISHO
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu ametembelea na kukagua kivuko cha MV PANGANI II ambacho kinafanyiwa ukarabati na Kampuni ya Songoro Marine Boatyard ya jijini...
View ArticleWLAC WAANZISHA MABONANZA KUHAMASISHA JAMII KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC) Abia Richard, akizungumza wakati wa Tamasha la Vijana la kupinga Ukatili wa Kijinsia lililofanyika kwenye Viwanja vya Mwembe...
View ArticleHUU NDIO UHALISIA WA MAISHA YA UGHAIBUNI NINAO UFAHAMU MIMI
Na Mwandishi wetu, Vijmambo Blog.Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia siku nyingine tena na nimatumaini yangu upo vizuri tu na mchaka mchaka wa kila siku.Leo napenda...
View ArticleMTWARA KUJENGA KITUO CHA USHONAJI KUSAIDIA AJIRA KWA VIJANA
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Katika Bajeti ya mwaka wa fedha 2017/18, Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imejipanga kujenga Kituo cha Ushonaji chenye lengo la kukuza sekta ya viwanda na kutoa ajira kwa...
View ArticleMother & Child Gala kufanyika April 22, 2017
Mother & Child Gala inatarajiwa kufanyika April 22, 2017 pale katika ukumbi wa Danken House Mikocheni. Ni Kwa ajili ya Wamama, mama wadogo, Shangazi, walezi Na watoto wa miaka 8-12 wa kike Na wa...
View ArticleDORIS MOLLEL FOUNDATION, CBA BANK WAKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA MKOA WA...
Mkuu wa Wilaya Morogoro, Regina Chonjo (wa pili kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel, Doris W. Mollel (wa pili kulia), baada ya kupokea msaada ya vitanda vitatu vya...
View ArticleSIKU YA MATEKA WA KIPALESTINA, 17 APRIL
Wapalestina kila mwaka hunaadhimisha siku ya mateka inapofika tarehe 17 April kila mwaka, kufuatia kupitishwa kwa Azimio la Bunge la Palestina mwaka 1974 katika vikao vyake vya kawaida, kwamba siku ya...
View Article