wanafunzi wa kidato cha tatu walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT...
Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Bi Hawa Bayumi akiongea na wanafunzi wa kidato cha tatu kutoka shule mbalimbali walioingia kwenye fainali za mashindano ya ICT nchini yanayosimamiwa na UCSAF...
View ArticleMFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI MACHI 2017 UMEONGEZEKA HADI KUFIKIA...
Na Dotto MwaibaleMFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Machi, 2017 umeongeza hadi kufikia asilimia 6.4 kutoka asilimia 5.5 mwezi Februari 2017.Hayo yamebainishwa katika taarifa iliyotolewa na Ofisi ya...
View ArticleMbunge wa Mtama Mh Nape akutana na wazee maarufu wa jimbo lake kuzungumzia...
Mbunge wa jimbo la Mtama,Mh Nape Nnauye akiwasili katika kikao ,kati yake na wazee Maarufu wa Kata ya Mtama na Majengo A, kilichofanyika kwenye ukumbi wa kanisa katoliki kijiji cha Majengo A huku akiwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA AKUTANA NA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA JIJINI DAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa nyumbani kwake mjini...
View ArticleFursa ya watanzania kumiliki Vodacom: Zimebaki siku 9 tu, nunua hisa zako sasa!
Watanzania na taasisi mbalimbali za kitanzania mmebakiza muda wa siku 9 tu kuwa miongoni mwa wamiliki wa kampuni yetu nunua hisa zako sasa! Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti...
View ArticleFUNERAL PROGRAMME of Sir Andy Chande
The family of Sir JK Chande (ANDY) wishes to announce the sad demise of their beloved JK Chande who passed away on Thursday 6th APRIL 2017 in Nairobi.The funeral cortege will leave from their residence...
View ArticleWAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI MSAIDIZI WA PEMBEJEO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Msaidizi wa Pembejeo wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Bw. Shenal Nyoni ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili kwa kuongeza gharama...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN AKUTANA NA Ujumbe wa Shirika la Maendeleo la...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Alvero Rodriguez Mratibu wa Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Nchini pia Mwaklilishi Mkaazi wa Shirika la...
View ArticleJESHI LA ZIMAMOTO NA UOKAJI KUZINDUA KLABU ZA ELIMU YA UZIMAJI MOTO SHULE ZA...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali(hawapo pichani) wakati wa mkutano wa kueleza mipango mbalimbali ya...
View ArticleLHRC YAWANOA VIONGOZI WA DINI KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Na Dotto MwaibaleBARAZA la Uongozi la Dini na Amani Tanzania (IRCPT), limesema ipo haja mchakato wa Katiba Inayopendekezwa kufikia tamati kwa kuwa ina mambo ya msingi kwa Watanzania.Mkurugenzi wa...
View ArticleMakampuni ya simu yaungana kutoa huduma za kifedha
Kwenye muungano huo ambao unaitwa Taifa Moja, makampuni matatu makubwa ya kutoa huduma za simu za mkononi ya Tigo Tanzania, Airtel Tanzania na Zantel, wateja wanaweza kutuma pesa na kupokea kutoka...
View ArticleHuduma za Benki ya NMB Zasogea Mtaani Kwako
UPATIKANAJI wa huduma za Benki ya NMB umezidi kuboreshwa na sasa umesogezwa zaidi mtaani kwako. Mteja wa NMB na asiyekuwa mteja kupitia huduma ya NMB Wakala sasa anaweza kuweka kutoa fedha na hata...
View ArticleSERIKALI YAZINDUA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA HOSPITALI NCHINI
Serikali ya awamu ya tano nchini imezindua rasmi usambazaji wa vifaa vya hospitali kwa halmashauri zote nchini katika kutekeleza mkakati wa kuboresha huduma za afya nchini kwa kuhakikisha wananchoi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AZINDUA KIKOSI KAZI CHA UOKOAJI WA MFUMO-IKOLOJIA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amezindua Kikosi Kazi Maalum kwa ajili ya kuokoa mfumo wa ikolojia katika bonde la mto Ruaha Mkuu ambalo lipo katika hatari ya...
View ArticleTIB CORPORATE YAWAKUTANISHA WADAU WA MAENDELEO JIJINI MWANZA
Mkuu wa kitengo Cha masoko na mahusiano ya Benki ya TIB CBL , Bi Theresia Soka akiwasilisha mada juu ya huduma zinazopatikana katika benki hiyo kwa washiriki wa jukwaa la biashara lililofanyika...
View ArticleYANGA WATOA TAMKO JUU YA KAMATI YA SAA 72, YAIONYA KUTENDA HAKI RUFAA YA SIMBA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.WAJUMBE wa kamati ya Utendaji wa Yanga wameweka wazi maamuzi yao ya kutakuwa na imani na maamuzi na utendaji wa kamati ya saa 72 kwa rufaa mbalimbali zilizowakilishwa...
View ArticleSERIKALI YAANDAA MUSWADA WA SHERIA KUSIMAMIA NA KUDHIBITI BIASHARA YA VYUMA...
Na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.Serikali kupitia Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeandaa Rasimu ya Muswada wa Sheria itakayoweka bayana taratibu na mfumo wa usimamizi na udhibiti wa bishara...
View Article