DULA MBABE, KIVU WATAMBINA KUONYESHANA KAZI KESHO MWANANYAMALA, KHALEED...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Abdalah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe (kushoto) akitunishiana Misuli na mpinzani wake Abdi Kivu anayataraji kuzichapa nae kesho katika ukumbi wa Mwananyamala...
View ArticleDC Kishapu awataka wananchi kuchukua tahadhari na baa la ndege waharibifu wa...
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Nyabaganga Taraba amewataka wananchi wilayani humo kuchukua tahadhari na baa la ndege waharibifu wa mazao mashambani aina ya kwelea. Amesema tayari baadhi ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI MASAUNI AONGOZA BONANZA LA VIKUNDI VYA MICHEZO, VIWANJA VYA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (aliyevaa kofia) akifanya mazoezi na vikundi vya michezo kutoka Zanzibar na Tanzania Bara kabla ya kufungua Bonanza kubwa la michezo...
View ArticleMAKAMU WA RAIS KUONGOZA KAMPENI YA KUNUSURU BONDE LA MTO RUAHA MKUU MKOANI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza Kampeni ya kunusuru Bonde la Mto Ruaha Mkuu lililopo Iringa kutokana uharibifu mkubwa unaendelea, huku...
View ArticleMAMA MAGUFULI ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTOA MISAADA KWA...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkabidhi Mkurugenzi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road Dkt. Julius Mwaisalage misaada ambayo ametoa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa wagonjwa waliolazwa...
View ArticleBONANZA LA MICHEZO LA WALIMU NA WADAU WA MICHEZO KUFANYIKA MEI 20 MWAKA HUU...
BONANZA la Michezo la siku sita litakalohusisha walimu wa michezo na wadau mbalimbali linatarajiwa kufanyika Mei 20 mwaka huu kwenye viwanja vya Halmashauri ya Korogwe .Bonanza hilo limefadhiliwa na...
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA NA UTATA WA SUALA LA URAIA PACHA
Na Mwandishi wetu, Vijimambo BlogNianze kwa kukusabahi wewe msomaji wangu, nikitumaini upo mzima wa afya kwa uwezo wake Mola. Nakukaribisha tena katika makala nyingine, na hii ya leo itazungumzia suala...
View ArticleWANAWAKE WA MTWARA WAPATA MBINU ZA KUJIAJIRI KUPITIA TAASISI YA MANJANO...
Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara, ndugu Joel Chidabwa akiwatunukia vyeti wahitimu wa mafunzo ya ujasiriamali na matumizi ya vipodozi kwa wanawake wa mkoa wa Mtwara. Ndg. Chidabwa alifunga rasmi mafunzo...
View ArticleVice President awards the Manufacturer of the Year
The President’s Manufacturer of the Year Awards (PMAYA) 2016 winners have been finalized yesterday in Dar es salaam during the prestigious awards ceremony which was graced by the Vice President of...
View ArticleBARABARA YA VIGWAZA-BUYUNI-MWAVI YAHARIBIKA VIBAYA/RIDHIWANI AAHIDI KUSIMAMIA...
Na Mwamvua Mwinyi,ChalinzeMVUA kubwa iliyoambata na upepo mkali,imekata mawasiliano ya miundombinu ya barabara eneo la Buyuni, na kusababisha wakazi kutoka kata ya Vigwaza na Mwavi jimbo la...
View ArticleHAPPY BITHDAY BLOGGER CATHBERT ANGELO KAJUNA
Leo Aprili 10 ni siku ya kuzaliwa kwa Blogger Cathbert Angelo Kajuna mmiliki wa Kajunason Blog (www.kajunason.com), ambaye ameyaandika haya katika ujumbe wake mfupi "Namshukru sana mwenyezi Mungu kwa...
View ArticleIGP MANGU AKABIDHIWA KOMBE LA UBINGWA WA MICHEZO YA MAJESHI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akikabidhiwa kombe na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Ali Mussa baada ya timu ya mpira wa miguu ya Polisi Tanzania kuchukua ubingwa katika Michezo ya...
View ArticleMICHUZI TV: BARABARA YA UMOJA WA MATIFA BAADA YA MVUA YA LEO
Msamalia akiipiga kibega gari iliyokuwa imezimika ghafla kwenye maji yaliyotuama katika Barabara ya Umoja wa Mataifa, Upanga jijini Dar es salaam mchana wa leo. Hali hii imefikia hivyo, kufuatia mvua...
View ArticleKIFIMBO CHA MALKIA CHATEMBEZWA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI
Kifimbo cha Malkia wa Uingereza maarufu (Qeens Baton) chatembezwa katika maeneo mbalimbali ya Daraja la Nyerere jijini Dar es salaam, Uongozi wa Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamaii (NSSF) uliupokea...
View ArticleBenki ya NMB yadhamini mkutano wa mwaka wa TEF
Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa na Serikali wa NMB –Richard Makungwa (kulia) akimpongeza mwenyekiti wa jukwaa la wahariri TEF- Teophil Makungwa mara baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya...
View ArticleWATATU WAITWA MAREKANI KWA TUHUMA ZA BIASHARA HARAMU YA DAWA ZA KULEVYA
Waziri wa Katiba na Sheria amewasilisha maombi ya kuwasafirisha washitakiwa watatu akiwemo Ally Hatibu Hassan maarufu kama Shkuba kwenda nchini Marekani kwa ajili ya kujibu tuhuma za kusafirishaji...
View ArticleWANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA...
Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akitoa taarifa ya utekelezaji wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya UKIMWI kwa kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Bw. Wambura...
View Article