Mwana FA awataka wanaume kubadili mtazamo kuhusu fistula
Msanii mahiri wa kizazi kipya Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA (pichani) ambae ni Balozi wa Chapa Vodacom amesema hadhi na heshima ya mwanaume katika jamii itakuwa na uzito mbele ya uso wa jamii...
View ArticleUHURU WA VYOMBO VYA HABARI UWE NA MIPAKA
Na Zawadi Msalla-MAELEZO Dodoma Vyombo vya Habari nchini vimeaswa kutumia uhuru wake vizuri bila kusababisha madhara ndani ya nchi kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi za Afrika. Akichangia hotuba ya...
View ArticleUTAMBULISHO WA USIKU WA HIP HOP & FAINALI ZA VODACOM MIC KING KWA WANAHABARI
Meneja Matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho (wa pili kushoto) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho huo. Wengine pichani kutoka kushoto ni DJ John Dilinga (JD), Prodyuza Ally...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA USIMAMIZI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa 14 wa baraza la usimamizi wa Mawasiliano Afrika, uliofunguliwa leo...
View ArticleMkurugenzi Mkuu wa Helvetic Solar Eng. Patrick Ngowi atembelea IPP media
Mkurugenzi Mkuu wa Helvetic Solar Contractors Eng. Patrick Ngowi akiwa na mwenyeji wake Mkurugenzi Mkuu wa IPP Media Bi. Joyce Mhavile alipofika katika ofisi hizo mapema leo kwa ajili ya mazungumzo na...
View ArticleAfande mpinga kazi kwako
Kamanda Mpinga unaiona hii ya leo karibu na New Msasani Club Barabara ya Mwai Kibaki Road jijini Dar es salaam? Huyo dereva sio tu aliamua kupita katikati ya foleni bali pia alikuwa katika mwendo wa...
View ArticleBandari ya Dar es Salaam ni kichocheo cha uchumi – Benki ya Dunia
Na VOATanzania na mataifa jirani ya Afrika Mashariki yanatajwa kuwa yanaweza kuboresha pato la ndani la mwaka – GDP – kama yatachukua hatua za kuboresha ubora wa bandari ya Dar es Salaam.Kwa mujibu wa...
View ArticleSERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI: GOOD NEWS FOR TANZANIA
HUDUMA MPYA YA KIFURUSHI NEW DOOR TO DOOR SERVICETUNACHUKUA MZIGO MLANGONI KWAKO UK NA TUTAUFIKISHA MLANGONI KWAKO DARUKILIPA HAPA UK HAULIPI TENA DAR, SISI TUTAKULETEA MZIGO NYUMBANI KWAKO!Baada ya...
View ArticleWakazi wa Tanga sasa kulipia maji kupitia Vodacom M-Pesa na Airtel Money
Zaidi ya wananchi 700,000 waishio katika manispaa ya Tanga sasa hawatahitaji tena kupanga foleni ili kulipia ankara za maji. Hii inafuatia ushirikiano baina ya Vodacom Tanzania na mamlaka ya maji safi...
View ArticleOBAMA KUTEMBELEA TANZANIA MWEZI UJAO
Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama.Kuanzia tarehe 26 Juni hadi 3 Julai, Rais Obama na Mkewe wanatarajia kutembelea nchi za Senegal, Afrika ya Kusini na Tanzania. Katika ziara yake hiyo, Rais atawekea...
View Articlesafu mpya ya globu ya jamii: Miondoko ya kumeremeta kwenye mnuso
Tegemea kupata makala hii kila saa mbili asubuhi kila siku..
View ArticleAfrica Center and U.S. Embassy Sponsor Symposium on Natural Resources and...
Program Manager at the Africa Center for Strategic Studies (ACSS) Regional Office for East Africa Mr. Bradley Anderson, giving remarks when recently attended a full-day program discussing Natural...
View ArticleMESSAGE ON THE INTERNATIONAL DAY FOR BIOLOGICAL DIVERSITY
Secretary-General of the United Nations,Ban Ki-moon As the international community strives to accelerate its efforts to achieve the Millennium Development Goals and define a post-2015 agenda, including...
View ArticleAirtel yazindua ofa kabambe kupiga simu kwenda nje ya nchi
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Beatrice Singano (kushoto) na Meneja Biashara za Kimataifa wa Kampuni hiyo, Prisca Tembo (wa pili kutoka kulia) wakizindua huduma mpya ya...
View ArticleHAYAWIHAYAWI, SASA YAMEKUWA! USIKU WA HIP HOP, THE VODACOM MIC KING KURINDIMA...
Wakali tisa wa Hip Hop wanaowania gari aina ya Toyota FunCargo (new model), katika pozi mbele ya gari lao.ILIPANGWA, ikapangika. Baada ya kusubiririwa kwa muda mrefu, hatimaye msimu mpya wa shoo ya...
View ArticleNyerere remembered as pioneer of democracy in Africa
By Hassan Abbas, Addis Ababa As the African Union (AU) celebrates its 50 Years Golden Anniversary and its brain child, the governance assessment Mechanism (APRM), marks 10 Years of its existence,...
View Article