EU YASAIDIA BILIONI 19 KUKUZA SEKTA YA MIWA NCHINI
Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe Dk. Wiliam Mgimwa akitiliana saini na Balozi wa EU Mhe. Filiberto Sebregondi.Na Frank Mvungi na Eleuteri Mangi-MAELEZO SERIKALI ya Tanzania imetiliana saini mkataba na...
View ArticleSERIKALI KUWASHUGHULIKIA WACHOCHEZI WA KIDINI NCHINI- WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali ina kazi kubwa ya kushughulika na kundi dogo linalojihusisha na lugha za uchochezi wa kidini ambao unachangia kudhoofisha amani ya nchi. “Tunajua nia yao ni...
View ArticleSafari Lager yakabidhi vifaa vya michezo kwa timu zitakazoshiriki mashindano...
Meneja Mauzo Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wa Mkoa wa Morogoro, James Gomile(kushoto) akimkabidhi Vifaa vya michezo,Nahodha wa timu ya Chuo cha SUA, Calvin Mjema wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa...
View ArticleMultichoice Tanzania yajikita katika kusambaza Digitali katika shule za...
Meneja Uhusiano wa MultiChoice Tanzania, Barbara Kambogi akiwakaribisha wageni wanahabari katika hafla mchapalo ya kusheherekea Africa Day na Dstv ambapo amesema DStv inatoa nafasi kwa wateja wake kuwa...
View ArticleMiundo Mbinu mibovu ya dampo la Pugu Kinyamwezi yakwamisha zoezi la uzoaji...
Picha juu na chini ni Foleni ya magari ya takataka zaidi ya 30 yaliyokwama katika dampo la Pugu Kinyamwezi kwa takribani siku tatu kutokana na ubovu wa miundo mbinu huku taka zikiendelea kuoza ndani ya...
View ArticleCertified Fiber Optic Technician Training at SUZA
The State University of Zanzibar (SUZA) in partnership with the African Development Resources Center would like to invite you in the four days hands on workshop on Certified Fiber Optic Technician. The...
View ArticleSuperstar, Mzungu Kichaa, performs for the first time in the UK on Sunday the...
Mzungu Kichaa means “the crazy white man”, a name that raises many questions if you aren’t familiar with the artist. Mzungu Kichaa is considered a pioneer of Tanzanian Bongo Flava, one of the biggest...
View ArticleArticle 5
Taasisi ya kuhamasisha maendeleo na mawasiliano katika jamii yenye makao yake mjini Musoma mkoani Mara yaJAMII INFORMATION NETWORK inatarajia kufanya Kongamano kubwa litakalo wahusisha Wanafunzi zaidi...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria kikao cha SADC jijini CAPE TOWN
Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya SADC Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete(Watatu kushoto) akiongoza kikao maalum cha Kamati ya Ulinzi na Usalama ya SADC kilichofanyika jijini Cape Town Afrika...
View ArticleINNOCENT MELLECK NA HANIFA HUSSEIN WAMEREMETA
Mdau Innocent Melleck na mai Waifu wake Hanifa Hussein wakikata ndafu wakati wa tafrija ya ndoa yao iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Sunset (Tembo Hall),Mbezi Beach jijini Dar es Salaam....
View ArticleTFDA YATOA UFAFANUZI WA USALAMA WA SODA KWA WANYWAJI
Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni taasisi iliyoundwa chini ya Sheria ya Chakula Dawa na Vipodozi Sura ya 219, ili kudhibiti ubora na usalama wa vyakula, dawa, vipodozi, na vifaa tiba kwa lengo la...
View Articlewizara ya mambo ya ndani ya nchi yakutana na idara zake mjini morogoro
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdulwakil watatu kutoka kulia waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wakuu wa wizara hiyo, Makamishna, Maafisa Bajeti na...
View ArticleMjue Fauja Singh, mwanariadha mzee kuliko wote duniani mwenye miaka 102
kusoma habari zake zaidi bofya hapa
View ArticleNgoma azipendazo ankal - Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Bob Marley
Nesta Robert "Bob" Marley, OM (6 February 1945 – 11 May 1981) was a Jamaican singer-songwriter and musician. He was the rhythm guitarist and lead singer for the ska, rocksteady and reggae bands The...
View ArticleRai Kutoka Kwa Mwanamuziki Mahiri Nchini Chemundugwao Kwa Serikali Juu ya...
CHE MUNDUGWAO--- MIMI NASHANGAA SANA JUU YA SERIKALI PALE BIFU ZINZPOKOTEZEA KWA RUGE BASI UHINGILIA KATI KUTAFUTA SULUHU KWA KWELI KUNAACHA MASWALI MENGI. KWA MTAZAMO WA KIUNGWANA NI NI JAMBAO JEMA...
View ArticleKutoka maktaba ya globu ya jamii
Septemba 1973 jijini Algiers, Algeria: Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika mazungumzo na Rais wa Uganda Field Marshal Iddi Amin Dadah pembeni mwa mkutano wa nchi zisizofungamana na upande wowote....
View ArticleNiko tayari kuzungumza na lady Jay Dee na Naibu Waziri Makala - RUGE
Lady Jay DeeNa Mwandishi WetuIKIWA ni siku moja tu tangu Naibu Waziri wa Habari Michezo Vijana na Utamaduni Amos Makala kutangaza hadharani kulivalia njuga suala la mzozo kati ya Mkurugenzi wa wa...
View Article