Warembo wa Redd's Miss Mzizima wajipanga kufanya kweli Mei 17,ndani ya Hoteli...
Warembo wa Redd's Miss Mzizima 2013 wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya mazoezi yao ya kila siku kujiandaa kuwania taji hilo hapo Mei 17,2013 katika Ukumbi wa Hoteli ya Lamada,Ilala jijini Dar...
View ArticleKutoka maktaba ya Globu ya Jamii
Kumbe mambo ya vyama vya siasa kuwa na matawi ughaibuni hayakuanza leo. picha hii iliyopigwa jijini London May 9, 1959 inathibitisha hilo.
View ArticleDEREVA WA “BODA BODA” ARUSHA AKAMATWA NA SHORTGUN, RISASI SITA
Bunduki aina ya Shortgun Mossberg ikiwa na risasi sita ambayo ilikutwa kwenye begi la dereva huyo wa Boda boda aliyekamatwa na polisi tarehe 28.04.2013.Habari na picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la...
View ArticleYanga bingwa 2013
Nizar Khalfan akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga. Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akimtoka beki wa Coastal Union ya Tanga, Philip Mugenzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
View Articlenssf yanogesha tamasha la michezo la mei mosi
Mshambuliaji wa timu ya DHL, Regan Kimaro akimtoka beki wa timu ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Gasper Tumbeza (kulia) katika mchezo wa tamasha la michezo la Mei Mosi kwa Makampuni...
View ArticleBondia Fransic Cheka hana mpinzania hapa nchini,amtandika Mashali kwa KNOCKOUT
Bondia Fransic Cheka (kushoto) akipambana na Bondia mwenzake,Thomas Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar...
View ArticleMKUTANO WA WASAFIRISHAJI MAHUJAJI NA SHIRIKA LA NDEGE LA YEMEN WAFANYIKA...
MWENYEKITI wa Jumuia ya kusafirisha mahujaji ya Ahludaawa akichangia katika mkutano wa kuimarisha huduma za usafiri kwa mahujaji ulioandaliwa na Kampuni ya ndege ya Yemenia uliofanyika katika Hoteli ya...
View ArticlePreservation and Protection of Press Freedom Strengthens Democracy
By Ambassador Alfonso E. LenhardtOne of the benchmarks of a democratic society is the existence of a vibrant, free, and independent media. In every democratic nation, citizens must be able to debate...
View ArticleTamasha la Airtel Yatosha kufanyika Temeke Mbagala Mwishoni Mwa wiki hii
Ney, Mauture, Roma, Madee, na Fid Q kupamba jukwaa la Airtel yatosha BURE.Katika mfululizo wa matamasha ya Airtel Yatosha yanayoendelea mikoa mbalimbali nchini , Kampuni ya Airtel mwishoni mwa...
View ArticleDereva mwenye utaalam uliotukuka
Habari Ankal,Leo katika pita pita zangu za kila siku,nilibahatika kupita barabara ya Msasani ambapo ni karibu kabisa na kituo cha Daladala cha Tido na kukutana na kitu ambacho sikuweza kuamini baada ya...
View ArticleNey, Nature, Roma, Madee, na Fid Q kupamba jukwaa la Airtel yatosha BURE
Katika mfululizo wa matamasha ya Airtel Yatosha yanayoendelea mikoa mbalimbali nchini , Kampuni ya Airtel mwishoni mwa wiki hii itatoa burudani pamoja na utambulisho wa huduma ya Airtel Yatosha kwa...
View ArticleWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AHANI MSIBA WA TANDAU
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Waziri wa zamani wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Alfred Tandau, nyubani kwa...
View ArticleHOTUBA YA RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI 2013 JIJINI MBEYA
Kupata hotuba hii kwa maandishi BOFYA HAPA
View Articlekutoka maktaba ya Globu ya Jamii
Aliyekuwa katibu mkuu wa chama tawla cha TANU enzi hizo Bw. Oscar Kambona akirejea nchini mwaka 1992 akiwa na binti yake, Neema, baada ya kuishi uhamishoni jijini London, Uingereza, kwa takriban miaka...
View Article