Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Fransic Cheka (kushoto) akipambana na Bondia mwenzake,Thomas Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Fransic Cheka (kushoto) akimshambulia kwa makonde ya nguvu Thomas Mshali wakati wa mpambano wao uliofanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Cheka katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam jana. |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Shomari kimbau akiwa na Cheka baada ya kumvisha ubingwa wa IBF Africa aliokuwa akiutetea |
Image may be NSFW. Clik here to view. ![]() |
Kutoka kushoto ni Kocha wa mchezo wa ngumi Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' mdau ambaye ajajulikana jina Mtayalishaji wa mpambano kati ya Fransic Cheka Vs Thomasi Mashali,Adamu Tanaka 'Tunaluza' na MC wa mpambano huo COOL.Picha na Super D Blog |