WANAFUNZI NA WALIMU 70 WAPATIWA MAFUNZO YA UKOCHA JIJINI ARUSHA
baadhi ya wanafunzi wakifanya mafunzo ya ukocha kwa vitendo yaliokuwa yakiendeshwa na kituo cha International Insparation kanda ya kaskazini kwenye viwanja vya sheikh Amri Abeid jijini Arusha.picha ya...
View ArticleMkurugenzi wa Kitengo cha Sheria akutana kwa mazungumzo na Katibu Mtendaji wa...
Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju akimkaribisha Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ushauri kuhusu Masuala ya Rushwa ya Umoja wa...
View ArticleMAAFISA MAGEREZA WALIOPANDISHWAA VYEO LEO
Jenerali wa Magereza John Casmir Minja akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza waliopandishwa vyeo mbalimbali katika ukumbi wa Bwalo Kuu la Magereza Ukonga. Zoezi la...
View ArticleTanzania yapokea shilingi bilioni 314 kutoka Benki ya Dunia
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapokea shilingi bilioni 314 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia miradi ya Umeme, Gesi, Bajeti ya Serikali pamoja na kuwajengea uwezo wa kuendesha...
View ArticleMAALIM SEIF AFUNGUA MSIKITI LEO HUKO MWERA
Viongozi wa misikiti wametakiwa kutunza nidhamu katika nyumba hizo za ibada, na kuachana na tabia ya kugombaniana uongozi, ili kuepusha migogoro isiyokuwa ya lazima. Wito huo umetolewa na Makamu wa...
View ArticleMWAKILISHI WA FIFA ATEMBELEA WIZARA YA HABARI,VIJANA,UTAMADUNI NA MICHEZO
Ofisa Maendeleo wa Kusini mwa Afrika wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Ashford Mamelodi (kushoto) akisistiza jambo jana alipotembelea wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo....
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA WAFANYABIASHARA NA WENYE...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Shirikisho la Wafanyabiashara na wenye viwanda la Uturuki (TUSKON) Bw. Rizanur Meral na ujumbe wake leo April 19, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam....
View Articlewadau boston waamriwa kubaki ndani wakati gaidi akisakwa
Tumefungiwa ndani, hakuna kutoka nje! Wanasema kuwa hakuna kufungua mlango hata kama ni polisi, wanasema kuwa jamaa anataka kuua watu! Chini ni Tangazo la gaidi wanayemtafuta! Nilikuwa nawaona hapa...
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA YASAINI MKATABA WA MABILIONI KUTOKA BENKI YA DUNIA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapokea shilingi bilioni 314 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia miradi ya Umeme, Gesi, Bajeti ya Serikali pamoja na kuwajengea uwezo wa kuendesha...
View ArticleKATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika mazungumzo na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe Diana Melrose aliyemtembelea leo April 19, 2013 ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam....
View ArticlePOLISI MKOA WA DODOMA WANAWASHIKILIA WATU SITA KWA VITENDO VYA USHIRIKINA
Jesli la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu sita ambao wanajihusisha na vitendo vya kishirikina kwa kujifanya wanaagua na kufichua watu wachawi katika vijiji mbalimbali. Wanaenda mbali zaidi na...
View ArticleBanana na Maunda
Banana Zahir Ally Zorro na dada yake Mauda wakitumbuiza usiku huu katika uzinduzi wa umoja wa wafanyabiashara ya wenye viwanda wa Tanzania na Uturuki katika hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini...
View ArticleSAFARI LAGER YASHEREHEKEA USHINDI WAKE NA WAHESHIMIWA WABUNGE MJINI DODOMA
Mgeni Rasmi kwenye hafla ya Kupongeza Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Anne Makinga (katikati) akiwa amenyanua juu...
View Articlehii ni hatari sana
Hivi karibuni,kamera ya Globu ya Jamii ilimnasa mtu huyu anaedaiwa kuwa ni omba omba akiwa amekaa katikati ya Barabara ya Bagamoyo katika eneo la Victoria jijini Dar es Salaam,akijaribu kuomba wenye...
View Article