KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo pinda akijibu Maswali Bungeni mjini Dodoma Aprili 18,2013. Askari wa Bungeni (kulia) wakimwamuru Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lisu kutoka nje ya ukumbi wa Bunge baada ya...
View ArticleAmbassador of Republic of Korea pays a courtesy visit to Hon. Membe
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, welcomes H.E. Ambassador Chung Il (left), Ambassador of the Republic of Korea in Tanzania, who had paid a...
View Articletunakerwa na yanayotokea bungeni-Nape.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM kwenye uwanja a shule ya Msingi Gairo B, mjini Gairo mkoani Morogoro leo hii.========== ======== ========NA BASHIR...
View Articleujio mpya wa mwana-dada Nakaaya na singo yake ya utu uzima dawa mx.
Baada ya kimya kingi katika fani ya muziki, nimeamua kuirudia fani yangu na kutoka na miondoko ya kiafrica. Kibao cha kwanza nilichoamua kuanza nacho kinaitwa "Utu uzima dawa" ft Dunga kilichoandikwa...
View ArticleAS OLD AS MY TONGUE: the myth and life of Bi Kidude
In memory of Bi Kidude, we bring you the original version of ScreenStation's first independent feature length documentary. Shooting began in February 2003 and in 2013 we went back to update the story....
View ArticleMAZISHI YA BOB SEMBEKE MJINI MOSHI
Jeneza la marehemu Bob Sambeke likiwa nje tayari kwa ajili ya kuuaga mwiliJuu na chini ni Mtoto wa marehemu Jamal akifungua jeneza la marehemu baba yake BobWaombolezaji wakitoa heshima za mwishoWatoto...
View ArticleRAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MDOGO WAKE DKT. BILAL HUKO ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,akitia udongo katika kaburi la Marehemu Haji Gharib Bilali, Mdogo wake Makamu wa Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohammed...
View ArticleWachezaji wa Kiafrika wazidi kupata soko Barani Ulaya hivyo Watanzania...
Zaidi ya mawakala 15 tayari wamewasiliana na Kampuni ya Tanzania Mwandi kuwahitaji wachezaji mbalimbali kwaajili ya kuwapeleka kwenye klabu za barani Ulaya, Asia na Afrika ili kucheza soka la kulipwa....
View ArticleSafari Lager kusherehekea ubingwa wa bia bora afrika na wabunge mjini Dodoma
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Robin Goetzsche (wa tatu kushoto) akikabidhi Kombe la Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager kwa Ujumbe wa Kampuni hiyo...
View ArticleNews UPDATES: Boston Bombing Suspects, One has been shot dead and another is...
The dead suspect has been identified as Tamerlan Tsarnaev, 26, and the one still being sought is Dzhokhar Tsarnaev, age 19.
View ArticleBalozi kamala atembelea Mahakama ya Kimataifa ya Yugoslavia,pia akutana na...
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya,Dr. Diodorus Kamala akisalimiana na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Yugoslavia Mhe. Serge Brammertz wakati alipomtembelea ofisini kwake. Balozi...
View ArticleWakulima wa miwa waishitaki serikali kwa ccm,ccm yapanga kuonana nao jumatatu...
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wakulima wa Miwa sambamba na Uongozi wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa,kwenye mkutano wao uliofanyika kwenye ukumbi wa hotel ya Honolulu,Turiani...
View ArticleMkutano wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Tawala za Mikoa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiongoza kikao cha Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Tawala za Mikoa na Serikali za...
View ArticleUJUMBE WA MAKAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI YA BUNGE ZIARANI AUSTALIA
Kamishna wa Bunge la Tanzania Mhe Mau Daftari akikabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Katibu wa Bunge la wawakilishi la Australia Ndg. Bernard Wright Mara...
View ArticleBOMBA FM RADIO YATOA NAFASI MOJA YA KAZI KWA MTANGAZAJI
Kituo cha Bomba Fm Mbeya kimetangza ajira moja katika kituo hicho, ambapo mmoja kati ya watu watakao kuwa wakiwania nafasi hiyo ya ajira watashindana moja kwa moja kupitia vipindi viwili.Akitangaza...
View ArticleWATU MILIONI 14 WANUFAIKA NA HUDUMA YA MATIBABU YA MABUSHA NA MATENDE...
Dk. Mwele Malekela ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa NIMR akifungua Mjadala juu ya Utafiti wa udhibiti wa ugonjwa wa mabusha na matende kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika. Baadhi ya washiriki...
View Article