Wagonjwa 316 wapata huduma za madaktari bingwa mkoani Kigoma
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya wakina Mama,Dk. Mrema (wa pili kutoka kulia) akimsikiliza kwa makini mmoja wa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo kwa lengo la kupatiwa ushauri na tiba sahihi,wakati...
View ArticleUWF yatoa zawadi kwa mshindi wa nne na watano wa shindano la mwanamakuka 2013
Mshindi wa nne wa shindano la Mwanamakuka 2013 bi Maajabu Rajab akipokea hundi yake kutoka kwa Mkurugenzi wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB),Bi Magreth Chacha kwenye hafla fupi iliofanyika kwenye...
View ArticleKinana awapongeza vijana wa ifakara kwa uchapaji kazi,awaasa kutobweteka.
Mmoja wa wanachama wa chama cha CHADEMA akikabidhi kadi yake kwa Ndugu Kinana na baadae kukabidhiwa kadi ya chama cha CCM,akiwa ni mwanachama mpya aliyejiunga na chama hicho.Baadhi ya Wanchi wa eneo la...
View ArticleMipango ya Kutumia Mfumo Wa Kieletroniki Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015...
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Tanzania Bw Damian Lubuva--Tume ya uchaguzi ya Tanzania imesema ina mipango ya kutumia mfumo wa kieletroniki kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 inatekelezwa.Akiongea...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA TFF LEO
AS FAR RABAT YA MOROCCO SASA KUTUA DAR ES SALAAM SAA 7 LEOTIMU ya AS FAR Rabat ya Morocco itakayoikabili Azam kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho inatua nchini leo (Aprili 17 mwaka huu) saa 7.30 mchana...
View ArticleArticle 22
Register through COICT website HereFor Enquiries email us HereMIKONO BUSINESS CONSULT | Ohio street | P. O. Box 77326, Dar es salaam, TZTelephone: +255717109362 | Fax: | Email: info@mikono.biz | Web:...
View Articlekumbukumbu
MRS ELIZABETH CHISENGA TSEREMama yetu mpendwa, Leo tarehe 17 April imetimia miaka 8 tangu uitwe mbele za haki.Unakumbukwa sana na wanao Patrick,Francis na Assumpta pia wakwe zako Tumaini,Agnes na Chris...
View ArticleKUTOA TAARIFA ZA SIRI KATIKA MAWASILIANO YA ELEKTRONIKI NI KOSA LA JINAI -...
Serikali imeona kuzuka kwa tabia ya uvunjaji wa kanuni ya utunzaji wa siri za taarifa za mawasiliano binafsi ya watumiaji wa huduma za simu za mkononi. Taarifa hizo zimefikia hatua ya kuchapishwa...
View Articlekumbukumbu
Marehemu Anthony Njeje.Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipokwenda kwenye makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa tarehe 17.04.2008. Baba, hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima. Tunakukumbuka...
View ArticleKCMC'S Shine A Light group launch official website
This is a group founded by KCMC (Kilimanjaro Christian Medical University College)students in 3 years ago aimed at helping children who are less fortunate (orphans ,street children etc ) achieve their...
View ArticleMiss Dar Indian Ocean 2013 kufanyika April 30
Warembo wa Kitongoji cha Dar Indian Ocean (Redd's Miss Dar Indian Ocean) wakiwa kwenye picha ya Pamoja wakati wakiwa kwenye maandalizi ya kuingia kwenye kinyang'anyiro chai kitakachofanyika April...
View ArticleMikutano ya kipupwe yaanza rasmi mjini Washington DC
Mikutano ya kipupwe imeanza rasmi mjini Washington DC kuanzia tarehe 15/4/2013 na kuhudhuriwa na nchi wanachama zaidi ya 188. Kila kunapokuwa na mikutano ya kipupwe maelfu ya wafanyakazi wa Serikali,...
View ArticleGolden bush yakipiga na Moro Star Veterans huko mji kasoro bahari
Kikosi kizima cha Golden bush kilikuwa Morogoro mwishoni mwa wiki kupambana na wazee wenzao Moro Star Veterans wakiongozwa na Nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Mecky Maxime na wachezaji...
View ArticleMstahiki Meya Jerry Silaa azindua kambi ya Starkey itakayotoa huduma Bure na...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akilakiwa na uongozi wa Starkey alipowasili katika shule ya Buguruni Viziwi kuzindua kambi ya Starkey itakayokuwa inatoa huduma ya...
View ArticleBREAKING NYUZZZZ...........: BI KIDUDE AFARIKI DUNIA
TAARIFA YA UHAKIKA KABISA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII HIVI PUNDE,INAELEZA KUWA MKONGWE WA MUZIKI WA MWAMBAO HAPA NCHINI,KIDUDE BINT BARAKA MAARUU KAMA BI. KIDUDE,AMEFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA.BI....
View ArticleRais Mstaafu,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akutana na Waandishi wa Habari Jijini...
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) aliowaita leo nyumbani kwake Mikocheni...
View Article