$ 0 0 Usikose kuangalia kipindi cha Mizani ya Wiki hii leo saa mbili na nusu usiku kupitia Azam 2 ambapo baadhi ya wabunge na wanaharakati wajitokeza kupongeza kikao cha bunge kilichomaliza hivi karibuni na kuharishwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa