SERIKALI YAIONGEZEA OSHA WATUMISHI KUIMARISHA UTENDAJI
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Bi. Mary Maganga akihutubia katika Kikao cha Nne cha Baraza la Tano la Wafanyakazi wa OSHA kilichofanyika katika Chuo cha...
View ArticleRC MACHA AONGOZA SHEREHE ZA 'POLICE FAMILY DAY', AFUNGA MAFUNZO YA UTAYARI...
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha na maafisa wa Polisi Mkoa wa Shinyanga wakiwa wamepanda moja ya magari ya polisi maalum kwa shughuli za doria na kazi nyingine muhimu za ulinzi na...
View ArticleRC CHALAMILA ABIDHI MKONO WA KHERI YA EID UL-FITR KWA WATOTO WENYE UHITAJI - DSM
-Asema Rais Samia ametoa mkono wa kheri ya Eid Ul-Fitr kwa watoto wenye uhitaji kutoka katika makao mbalimbali ndani ya Mkoa huo.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekabidhi Sadaka...
View ArticleWaziri Jafo Ataka Wadau Kuiga Mfano wa iTrust Finance katika Kudhamini...
Na Mwandishi WetuWAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amewataka wadau na wafanyabiashara nchini kujitokeza na kuiga mfano wa kampuni ya huduma za kifedha, iTrust Finance Limited, kwa...
View ArticleMKAZI WA MBAGALA AIBUKA MSHINDI WA GARI JIPYA KUPITIA PROMOSHENI YA YAS YA...
Kampeni ya Magift ya Kugift kutoka YAS na Mixx by YAS imeendelea kubadilisha maisha ya Watanzania, ambapo siku ya tarehe 28 Machi, ilibadili maisha ya ndugu Ramadhani Abdallah Mwinchande, mkazi wa...
View ArticleZAIDI YA WANANCHI 9,450 KUNUFAIKA NA HUDUMA YA MAJI WILAYA YA KOROGWE
Na Oscar Assenga, TANGAZAIDI ya Wananchi 9,450 wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga wanatarajiwa kuondokana na changamoto ya upatkanaji wa maji baada ya Serikali kuzindua mradi wa Kitaifa wa Ujenzi wa...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM MKOA TANGA ASISITIZA AMANI SHEREHE ZA EID ELFITR
Na Ashrack Miraji Michuzi BlogMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, ndugu Ostadh Rajabu Abdullaman, amesisitiza umuhimu wa kuitunza amani katika taifa letu, huku akitoa wito kwa...
View ArticleWANANCHI BABATI WALIA WIZI WA MIFUGO.
Na John Walter -BabatiWananchi wa Tarafa ya Mbugwe, wilayani Babati, mkoani Manyara, wameeleza kilio chao mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo, wakilalamikia wizi wa mifugo...
View ArticleUWEKEZAJI SAHIHI NA AKIBA ENDELEVU: NGUZO YA MAFANIKIO KWA WANANCHI WA MWANZA
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mwanza.Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeendelea kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali katika Mkoa wa Mwanza, hatua inayolenga kuwawezesha kujenga misingi...
View ArticleWANAKWAYA SITA WAFARIKI DUNIA WAKIENDA KUINJILISHA INJILI..
NA WILLIUM PAUL, SAME. WATU sita ambao ni Wanakwaya wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) usharika wa Chome wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wamefariki dunia huku wengine 23 wakijeruhiwa...
View ArticleTRA Yatoa Msaada kwa Vituo vya Kulelea Watoto Yatima na Wanaoishi Katika...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeonesha mshikamano na jamii kwa kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu. Vituo vilivyonufaika na...
View Articleasilimia 60 ya taka zinazozalishwa mijini zinaweza kuchakatwa au kutumika tena
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TVTAKRIBANI kiasi cha tani millioni 7 za taka ngumu huzalishwa hapa nchini kwa mwaka ambapo wastani wa asilimia 45 hadi 50 tu hukusanywa na kutupwa dampo na vilevile...
View ArticleKAYA 980 KUUNGANISHWA NA MTANDAO WA GESI ASILIA – TPDC
-Serikali kupitia TPDC imetenga Shilingi Bilioni 5.3 kwa ajili ya mradi huu-Gesi asilia ni rafiki wa mazingira, nafuu na salama -Wananchi wa Kata ya Mnazi Mmoja, Lindi wapewa elimu kuupokea...
View ArticleTEA NA WFP WAHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Mnamo tarehe 27 Machi 2025, Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) iliungana na Ubalozi wa Uingereza pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa – Mpango wa Chakula Duniani (World Food Programme - WFP) katika...
View ArticleWASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA...CCM TUKO TAYARI
Na Mwandishi WetuMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze...
View ArticleKIKWETE AONGOZA MAMIA YA WANANCHI WALIOJIAJIRI KUJIUNGA NA KUJIWEKEA AKIBA NSSF
*Ni katika muendelezo wa kampeni ya elimu kwa umma kuhusu Skimu ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii kwa Wananchi Waliojiajiri Chalinze mkoani Pwani *NSSF yaahidi kufikisha elimu ya hifadhi skimu kwa wananchi...
View ArticleRC DKT BALITDA AWATAKA WANANCHI KUENDELEA KUTENDA MATENDO MEMA
Na Oscar Assenga, TANGA.MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian leo ameungana na Waislamu mkoani Tanga kushiriki katika ibadaa ya Eid-alfitr iliyofanyika kwenye Msikiti wa Ijumaa Jijini Tanga...
View ArticleWAKALA WA VIPIMO TANZANIA WAFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA MABUCHA
Wakala wa Vipimo Tanzania wamefanya ziara ya kushtukiza katika mabucha mbalimbali kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu matumizi sahihi ya mizani, kuhakikisha vipimo vinazingatiwa ipasavyo, na...
View ArticleRais Samia ahutubia Baraza la Eid El Fitr Jijini Dar es Salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika...
View ArticleNELSON MANDELA NA TMA KUWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA HALI YA HEWA KUPITIA...
Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini Dkt. Ladislaus Chang’a (kushoto)...
View ArticleKafulila- Deni la Taifa ni Himilivu kwa Uchumi wa Tanzania
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya...
View ArticleKIKUNDI CHA TEAM MARCH CHATOA VIFAA KWA WATOTO NJITI NA AKINA MAMA...
Team March wakimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. John Luzila vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (‘pre-mature’) pamoja na vifaa vya...
View ArticleETDCO YATOA MKONO WA EID EL FITRI KITUO CHA KULEA WATOTO IGAMILO
Kampuni Tanzu ya TANESCO inayojishughulisha na Ujenzi pamoja na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji Umeme (ETDCO) imetoa msaada wa vitu mbalimbali katika Kituo cha Kulea Watoto...
View ArticleMENEJIMENTI YA SUA YAWAFUTURISHA JUMUIYA YA CHUO HICHO
FARIDA MANGUBE, MOROGORO Menejimenti ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) imeandaa futari maalum kwa Wanajumuiya wa Kiislamu wa Chuo hicho ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mshikamano na mahusiano...
View ArticleKAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE: A VISION OF UNITY AND PROSPERITY FOR TANZANIA'S...
With Tanzania gearing up for the 2025 general election, Chama Cha Mapinduzi (CCM) introduces its powerful slogan, Kazi na Utu, Tunasonga Mbele. This message speaks to the values of hard work and...
View Article