Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 716 | 717 | (Page 718) | 719 | 720 | .... | 3348 | newer

  0 0


  0 0

  Katika maisha binadamu ana nyakati tatu, Wakati uliopita, wakati uliopo na wakati ujao. Wakati uliopita na ujao hana mamlaka nao bali wakati uliopo ndio hazina yake ya kujenga mustakabali wake ila kikwazo kikuu ni umri wake. Kuna umri anahitaji matunzo na ulinzi unaitwa utoto na kuna umri anahitaji heshima na matunzo  unaitwa uzee halafu kuna umri unaitwa mtu kamili ila kabla yake upo umri matata unaitwa FOOLISH AGE . Fuatilia hii kupitia mtandao .......

  Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo Foolish Age au Knunua na iwe yako kupitia mtandao.

  Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii


  Pia unaweza kuangalia au kununua filamu nyingine kupitia mtandao huo huo

  0 0

   Na Frank Shija.WHVUM

  Mkurugenzi wa Kampuni ya Mukandala Lufufu inayojishughulisha na kazi ya kutafsiri Filamu kwa Lugha ya Kishwahili Bw. Derick Mukandala maarufu kwa jina la Mzee Lufufu (pichani kulia) amekiri kuwa kazi yake anaifanya kienyeji ili hali akifahamu ni makosa.

  Kauli hiyo ameitoa leo katika kikao baina yake na Bodi ya Filamu ambapo alieleza kuwa amekuwa akifanya kazi hiyo kwa muda mrefu bila kuzingatia utaratibu huku akijua kuwa ni makosa kwa mtu kutumia kazi ya msanii mwingine bili idhini yake.

  “Nikiri tu kwamba nimekuwa nikifanya makosa kwa kutafsiri Filamu bila kuwa na idhini ya wahusika wa filamu hizo” Alisema Lufufu.


  0 0

  Meneja Masoko wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ilala George Venanty (wa pili toka kulia) akifafanua jambo kwa wafanyakazi wenzake wakati wa kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
  Muuza magazeti wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Ally Hamis (kulia) akifafanuliwa jambo na Meneja Biashara wa M-pesa Noel Mazoya kuhusiana na promosheni ya JayMillions wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipoenda mitaani kutoa elimu kwa wateja wa kampuni hiyo kuhusiana na promosheni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
  Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakipita katika mitaa ya Kariakoo kutoa elimu ya promosheni ya Jaymillions kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.


  0 0


  The Heineken team at the headquarters in Nairobi geared up for the immersion training led by the General Manager Mr.Uche Unigwe (holding Heineken bottle at the back row).   
  Jan 23, 2015 - Nairobi, Kenya– It is not uncommon for top performing employees in any company to be selected for training at company headquarters for a few days or weeks. However, Heineken East Africa is taking employee training to new levels as they are sending top performing commercial team members from the Kenya, Tanzania, and Uganda markets respectively to Lagos, Nigeria for six months to participate in full immersion training in Africa’s most populous country.
  The brewer’s main headquarter sits atAmsterdam in Netherlands but the training will take place in Nigeria as it is not only home to Heineken’s biggest operation in Africa but it is amongst the leading Operating Companies of Heineken worldwide. In particular, Nigeria is a source of various commercial best practices that are relevant to East African markets.
  According to Heineken East Africa General Manager, Mr. Uche Unigwe, this type of immersion training is critical to embedding One Heineken operating framework in East Africa which enables Heineken to deliver a world-class experience to their loyal consumers consistently.
  The immersion training will become a part of standard operating procedure for Heineken East Africa moving forward in which another set of employees will be selected every six months and sent to Lagos.
  While in Lagos, the commercial teams will manage key accounts as well as trade activations throughout Nigeria where the local operations have pioneered perfect execution. Additionally, it will allow the East African commercial team to monitor external business practices and set organisational benchmarks against the best, within and beyond the Heineken organisation.
  “Realistically we can only expect our people to deliver at a world class level if they have actually seen and worked in such an environment.  By sending our team to Lagos for six months they will return to
  East Africa with a broader vision as to not only what is expected but also what is possible and this enhanced point of view will ultimately benefit our partners, outlets, and our consumers” added Mr. Uche Unigwe.
  According to Musa Huko from Heineken Kenya he had never imagined this high level of training when he joined Heineken 3 years ago.“I am very thankful and optimistic about this opportunity not only to enhance my personal sales skills but also to use what I learn in Nigeria to better serve my home market Kenya” said Musah further stating, “I think one of the great aspects about working with Heineken is that the constant pursuit of excellence propels us to be better masters of our craft.” 

  0 0

  Watuhumiwa wawili katika tukio la Ujambazi lililotokea Mchana wa leo eneo la Darajani Jua Kali,Zanzibar wametiwa mbaroni baada ya kuzidiwa nguvu na wananchi wenye hasira wakati walipokuwa wakiwakimbia Polisi.


  Inadaiwa kuwa watuhumiwa hao walikua watatu na walitaka kuiba katika maduka na mawakala wa huduma za pesa yaliyopo eneo la Mnazi,baada ya kushtukiwa walikimbia na kufukuzana na Polisi hadi katika maeneo ya Darajani ndipo wananchi kwa kushirikiana na polisi wakawadhibiti na kuwakamata,hata hivyo mmoja alifanikiwa kutoroka na hadi sasa anasakwa na jeshi la polisi.

   Pia wapo baadhi ya wananchi wamelazwa hospitali ya Mnazi mmoja baada ya kupatwa na mshtuko kutoka na risasi zilizokuwa zikipigwa hewani na mmoja aligongwa na gari la watuhumiwa hao wakati wa kukimbizana na askari,Mmoja kati ya waliokamatwa na aliepata kipigo kikali anadaiwa kuwa ni jambazi sugu ambae alikuwa akitafutwa na Polisi kwa kipindi kirefu,ila kwa kuwa za mwinzi ni Arobaini,leo ndio katiwa nguvuni..

  Watuhumiwa hao walikuwa na gari aina ya Toyota Noah lenye namba za Usajili T 736 CGT na walikamatwa baada ya gari lao hilo kushindwa kuendelea na safari baada ya kuingia kwenye njia ambayo hairuhusiwi.
  Askari Polisi pamoja na raia waliokuwepo eneo la tukio wakiwa wamemzunguka mmoja wa watuhumiwa hao wa ujambazi baada ya kumtia mbaroni mchana wa leo,katika eneo la darajani Jua Kali,Zanzibar.
   mmoja wa watuhumiwa hao akiwa chini ya ulinzi ndani ya Gari la polisi.
  Mtuhumiwa mwingine ndani ya Gari.
  Hii ndio gari waliyokuwa wakiitumia Watuhumiwa hao.

  0 0

  Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akisalimiana na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.
  Balozi wa Tanzania kwenye Nchi za Nordic na Baltic, Mh. Dora Mmari Msechu (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati alipowasilisha Hati zake za Utambulisho tarehe 15 January, 2015.

  0 0

   Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Halima Dendegu akiwakaribisha wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyowasili mkoani humo kukagua miradi ya maji
   Mhandisi wa Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara John Msengi akiwasilisha taarifa ya mradi wa maji wa Nanyamba kwa wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.

   Mwenyekiti wa kijiji cha  Kibaoni kinachohudumiwa na Mradi wa Maji wa Nanyamba, Issa Bakari     akieleza jambo kwa wajumbe wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji iliyotembelea kukagua mradi huo.

   Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akipanda ngazi za tanki la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba.
   Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Amina Makilagi akivuka kidaraja kuelekea kukagua tanki lingine la maji la mradi wa Maji wa Nanyamba. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


  0 0

   Taswira mbalimbali za Utengenezwaji wa Video Mpya ya Yamoto Band "Nitakupwelepweta" sehemu mbalimbali jijini Dar es salaam. Vijana hawa ambao wako juu hivi sasa katika tasnia ya muziki nchini Tanzania na nchi jirani, sio tu wanafanya vyema katika kutawala anga bali pia wameleta aina mpya ya staili ya muziki ambao uko mbali na Bongo Fleva na umepokelewa kwa shangwe na wapenzi wa muziki. Wanaongozwa na Mkubwa Fela
   Mambo ya location
   Vijana wakiwajibika
   Adam Juma aki-shoot scene ya mgahawani
  Ngoma inaanza hapo hapo mgahawani

  0 0


  The EastAfrican newspaper has been banned from circulation in Tanzania, 20 years after it was launched to cover the region. 

   According to a letter sent to The EastAfrican bureau chief in Tanzania, the decision was apparently taken because the paper “has been circulating in the country without having registration, contrary to section 6 of the Newspaper Act number 3 of 1976”. 

   Reacting to the ban, the management of the Nation Media Group, which owns The EastAfrican, described the move as surprising and unwarranted. In a letter dated January 21, 2015 the weekly newspaper was directed to immediately stop publishing, printing and circulating in Tanzania ''until it has officially been registered by Registrar of Newspaper, Tanzania Information Services''. 

   Before the letter was issued, the newspaper’s Bureau Chief, Christopher Kidanka, was on Wednesday summoned and interrogated by the Director of Information Services, who also doubles as the Government’s spokesman, Mr Assa Mwambene.

  0 0

   Katibu Mkuu Ndugu Kinana sambamba na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Ujumbe wake ukipokelewa na vijana wa CCM jimbo la Donge wakiongozwa na Mbunge wao Mh.Sadifa Juma Khamis,mapema leo alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za CCM-Donge Mtambalike wilaya ya Kaskazini B.Katibu Mkuu Ndugu Kinana yupo katika ziara ya Visiwa vya Unguja na Pemba-Zanzibar akihimiza Uhai wa chama cha CCM na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010
   Pichani kulia ni Mbunge wa jimbo la Donge na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana Taifa (UVCCM) ,Mh.Sadifa Juma Khamis akimpokea Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kati mara baada ya kuwasili katika jimbo hilo Wilaya ya Kaskazini B,mkoa wa Kaskazini B Unguja kwa ziara ya siku moja.Ndugu Kinana aliwasili katika ofisi za CCM Donge Mtambalike na kupokea taarifa ya chama ya wilaya na utekelezaji wa Ilani,na pia alizungumza na  Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Wilaya.
   Mtunza fedha wa kikundi cha ushiriki cha akina Mama ,Saccos (kukopa na kuweka),Bi Mwatime Juma Omar akitoa ufafanuzi mfupi kuhusiana na ushirika huo kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana.
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana pichani wa pili kushoto na Mbunge wa Jimbo la Donge,Mh.Sadifa Juma Khamis wakikabidhi mifuko ya saruji kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya msingi ya Donge Mtambini,Bwa.Bakari Ame Hussein,Jumla ya mifuko  50 ya saruji ilitolewa na Mbunge Sadifa kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa skuli hiyo.
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana na Makamu wa Pili wa Rais-Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd wakitazama shughuli mbalimbali za vijana wa Mafunzo ya Amali katika fani ya ushonaji.
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia Wananchi na wafuasi wa CCM,katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Maskani ya CCM Kizota,jimbo la Kitope,Ndugu Kinana aliwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kuipigia kura na Waipigie kura ya ndiyo Katiba inayopendekezwa kwa kuwa ina mambo mengi mazuri yenye faida kwa Wanzibari.
  Mbunge wa Jimbo la Donge na Mwenyekiti wa Jumuia ya Vijana Taifa  (UVCCM),Ndugu Sadifa Juma Khamis akiwahutubia wananchi na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Maskani ya CCM Kizota,jimbo la Kitope.
  Baadhi ya Wafuasi wa chama cha CCM,wakisikiliza yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Maskani ya CCM Kizota,jimbo la Kitope
  Sehemu ya umati wa watu uliofika kwenye mkutano huo wa hadhara.
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd mara baada ya mkutano wa hadhara kumalizika,shoto nyuma ya Balozi ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.

  PICHA NA MICHUZI JR-MKOA WA KASKAZINI B-UNGUJA
  PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

  0 0

   Askari polisi wakiwa wamepakia kwenye gari miili ya majambazi wawili waliouwawa baada ya mapambano ya risasi baada ya kutaka kupora pesa katika duka la Mpesa/Tigo Pesa/Airtel Money mtaa wa Mkunguni jijini Dar es salaam usiku huu. Chini ni umati uliokusanyika sehemu ya tukuio.


  0 0

  Waziri wa maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba (katikati) akimsikiliza Mke wa aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini Bi.Gracia Machel (wa kwanza kushoto) aliyefika Wizarani hapo kujadili program maalum ya kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu. 

  Waziri wa maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini Bi.Gracia Machel (wa kwanza kushoto) aliyefika Wizarani hapo kujadili program maalum ya kuwasaidia watoto wa kike kupata elimu. Wengine kulia ni  wa kwanza kulia ni Kulia ni Naibu Katibu Mkuu , Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto , Nuru Millao na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto, Benedict Missani.

   Waziri wa Maendeleo ya  Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba ( katikati) na  Mke wa aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini Bi.Gracia Machel wa kwanza kushoto  wakiongea jambo   wakati Mama Machel alipofika wizarani wakati wa ziara yake nchini.  Kulia ni Naibu Katibu Mkuu , Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto , Nuru Millao.

   ==== =====  ======


  Mke wa aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini Bi. Gracia Machel yuko nchini katika ziara fupi kusaidia kumaliza tatizo la Ndoa za utotoni kupitia programu na miradi mbalimbali atakayoifadhili ili kuwawezesha watoto wa kike kupata elimu hatimae kujikomboa na umaskini.

  Katika ziara yake mama Machel, amekutana na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba ambapo, alitumia fursa hiyo kuipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto kwa jitihada kubwa inayofanya wizara hiyo kupambana na tatizo hilo la mimba za utotoni.

  Vilevile, aliitaka  Wizara ya  Maendeleo ya  Jamii, Jinsia na Watoto  na wadau mbalimbali hususan viongozi wa mila/jadi na dini  kushirikiana nae na kuwa mstari wa mbele katika kuleta mabadiliko chanya kupitia program hizo anazotarajia kuzianzisha, na  kuongeza kuwa, “Mkoa wa Mara ndio utakaokuwa wa kwanza kuanzishwa kwa program hiyo kwani bado mkoa huo una mila gandamizi. (mfumo dume)”,alisema Machel.

  Naye Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba akiongea katika kikao hicho, alieleza kuwa, ni kweli tatizo hilo lipo nchini lakini Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali yakiwemo Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Asasi za Kiraia na vyombo vya habari, wanapambana kikamilifu kumaliza tatizo hilo.

  Aidha, Waziri Simba alitumia fursa hiyo kumshukuru Mama Machel kwa jitihada anazozifanya kuwawezesha watoto wa kike kuondokana na umaskini.   


  0 0

  Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania linapenda kutoa taarifa kwa wananchi na Vyombo vya Habari kuhusu mgogoro wa eneo la TONDORONI lililopo katika Wilaya ya Kisarawe kama ilivyokaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari hapa nchini.

  Taarifa zilizotolewa na kukaririwa na baadhi ya Vyombo vya Habari kwamba Wanajeshi wametumia nguvu kuwatoa wananchi eneo la TONDORONI na baadhi yao kudai kupotelewa na mali zao siyo za kweli na ni za kuwapotosha wananchi kwa sababu wananchi hao walitaarifiwa kuondoka kupitia uongozi wa Wilaya na uongozi wa Vijiji vya MLOGANZILA na KILUVYA B. Aidha, walipewa muda wa kutoa vitu vyao na wao kuondoka.

   JWTZ linapenda kuwahakikishia wananchi kuwa hatua ya kuwaondoa wananchi wavamizi kutoka katika eneo la kambi ya Jeshi kwa uangalifu, umakini na kulikuwa na usimamizi wa hali ya juu na hakuna mali ya mwananchi iliyoporwa kama ilivyodaiwa. 

  Ifahamike kwamba; Jeshi linaona ni bora lilaumiwe kwa kuwaondoa wananchi waliovamia  maeneo hatarishi  ya jeshi ambayo hutumika katika mafunzo yanayohusisha risasi za moto,  zana hatari za kijeshi  na mabomu ambayo wakati mwingine hulipuka baada ya muda fulani kupita badala ya kuwaacha wakae katika maeneo hayo  kutokana na sababu za kisiasa au ushabiki mwingineo na hivyo kuwa katika hatari ya kuweza kuumia vibaya au kupoteza maisha yao na mali zao.


  0 0


  0 0  0 0

  Mbunge wa Monduli na waziri mkuu wa zamani Mh Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakimkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi  katika sherehe za miaka 20 ya shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai,leo Jumamosi,24 January Monduli Mlimani, kata ya Engutoto.
   Rais mstaafu wa awamu ya pili Al hadji Ali Hassan Mwinyi akizindua moja ya sanamu za kumbukukumbu ya waanzishi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai ambayo imeadhimisha miaka 20 toka kuanzishwa kwake,huko Monduli Mlimani, leo jumamosi 24 January.
   Mke wa mbunge wa Monduli mama Regina Lowassa akipanda mti wa kumbukumbu ya miaka 20 tokea kuanzishwa kwa shule ya sekondari ya wasichana ya Maasai wilayani Monduli leo jumamosi January 24.Anayeshuhudia ni mumewe Mh Edward Lowassa na mbunge wa Viti maalum(ccm) mkoa wa Arusha Mhe Namelok Sokoine.  0 0

  kaymu logo copy

  January 25 marks the 2nd anniversary of Kaymu, a leading online shopping community. It’s been two years and 34 countries for Kaymu so far, which launched in Nigeria and Pakistan simultaneously and has spread rapidly through Africa, Asia and most recently, in Europe. This year will see Kaymu launching in more countries in Asia and Europe.
  Kaymu’s business model and main aim is to empower local SMEs and make shopping accessible to everyone everywhere and in the process, drive the online shift in the countries it’s in. It has achieved many milestones in the last two years but has a lot of ground to cover as a start up.
  These two years have seen Kaymu change the lives of hundreds of thousands of people. Currently, there are over 100,000 sellers on board and there have been close to 900,000 buyers who have bought products from the Kaymu platforms. Roughly eight thousand transactions take place everyday, on the platform and there are several payment options including cash on delivery and SafePay, a mobile-money-based option that protects the buyer, so as to ensure that their payment is made only after they receive their goods.
  Kaymu Tanzania Country Manager, Erfaan Mojgani says “The significant growth of Kaymu over the past two years has been great motivation for us especially with our launch in Tanzania. The consumer demand for e-commerce has pushed Kaymu to grow and as 2015 goes on, we are looking to grow even further than we already have”
  He adds, “By entering Tanzania, one of East Africa’s largest countries, we are optimistic that Tanzanian citizens will continue to love and appreciate our presence and services, hence opting for Kaymu as the leading online shopping platform not only in Tanzania but globally.”
  Kaymu is present in three of the most prominent and populous emerging economies - Nigeria, Pakistan and Bangladesh - and is instrumental in accelerating the movement of commerce online. The combined population of all the countries Kaymu is currently in, is 1.134 billion and is focused completely on empowering SMEs in those countries and is, in a way, driving a revolution of sorts there by changing lives as a consequence.
  2015 is slated to be a year of even greater growth and progress for Kaymu and the focus is on developing the platform even further so as to help even more SMEs bring their businesses online and make shopping accessible to everyone.

  0 0

  The event is round the corner! catch the last weekend of sun before the rainy season at the beautiful Melia hotel. We have managed to get even a bigger discount:

  FLIGHTS
  FRIDAY SATURDAY SUNDAY FULL BOARD ROOM
  FRIDAY AND SATURDAY PARTIES AND SHOWS
  ALL DRINKS SATURDAY
  ALL CLASSES AND WORKSHOPS 
  ALL TRANSPORTATION WITHIN THE ISLAND

  PRICE: 470$ !!!!

  Basically everything 470$, children welcome. 

  For those who can't go away the full weekend come Saturday. 

  Don't miss out on our first latino party of the year :)

  0 0

  Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili. Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili.Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Meneja Mauzo na Uendeshaji Biashara wa TTCL, Benjamin Bizere Nkaka, Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Meneja Mauzo na Uendeshaji Biashara wa TTCL, Benjamin Bizere Nkaka, Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.

older | 1 | .... | 716 | 717 | (Page 718) | 719 | 720 | .... | 3348 | newer