Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 49 | 50 | (Page 51) | 52 | 53 | .... | 3278 | newer

  0 0

  Ambassador Alfonso E. Lenhardt (left), recently met with Tanzania Police Force Superintendent Hamad Khamis Hamad (right), prior to his trip to the United States of America under the International Visitors Leadership Program (IVLP). Mr. Hamad's program is titled "Combating International Crime Issues," and will be held in Washington, D.C. and several American states from February 22 through March 16. 

   The program will include participation by senior African police officials from Tanzania, Burkina Faso, Chad, Djibouti, Mali, Niger, and Nigeria. Mr. Hamad also serves as Assistant to the INTERPOL chief at the National Central Bureau in Dar es Salaam, as a member of the National Anti-Human Trafficking Secretariat, and as desk officer for Anti-Human Trafficking and Violence against Women and Children. He has been employed by the Tanzania Police Force in the Ministry of Home Affairs since 1998.

  During their meeting, Ambassador Lenhardt lauded Mr. Hamad's leadership and presented him with a coin of excellence. He also underscored the United States' priority to partner with Tanzanians in strengthening law enforcement, combating human trafficking, promoting the rule of law, the professionalization of the Tanzania Police Force, as well as public information sharing and protection.

  The International Visitors Leadership Program is sponsored by the American people through the U.S. Department of State, and is intended to facilitate personal and professional contacts between the people of the United States and Tanzania.

  0 0


  0 0

  Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh Edward Lowassa leo amezungumza mambo kadhaa ambayo kimsingi yameitikisa na kuishtua jamii kwa kiasi kikubwa,amezungumzia suala la Elimu na mustakabali wake unavyokwenda hapa nchini,kama vile haitoshi akazungumzia suala la la baadhi ya watu kuleta mitafaruku ndani ya jamii kiasi hata ya kusababishauvunjifu wa amani katika nchi yetu,Bofya video hizo juu na chini kumsikiliza Mh Lowassa alichozungumza kwa kina mapema leo kwenye moja ya ofisi zake zilizopo Mikocheni,Jijini Dar.

  0 0

   Ankal na Wadau wako,

  Naomba mkae mikijua kwamba kuna Mchezo mchafu umeibuka jijini Dar es salaam hususan maeneo ya Jmall, mtaa wa  Samora na Morogoro Road ambapo watu wengi wa mataifa ya nje huja. 

  Kuna huyu bwana (alieshika passport ya mzungu nyekundu pichani)  ndio mtaalam mwenyewe.  Mzungu yuo kwa pembeni akishangaa. Wakikukuta huna kibali cha kukaa bongo wanakubeba kwenye Noah yao kisha wanakupeleka wanakojua wao na njiani wanalazimisha utoe pesa ndipo wakuachie.

  Tunaomba wanaohusika wamuwinde na kumchukulia hatua maana anachafua jina la nchi na jeshi la uhamiaji kwa ujumla. Inasemekana aliwahi kufanya uhamiaji kabla hajafukuzwa bila shaka kwa utovu wa nidhamu

  Mdau DownTown


  0 0


  Dar es Salaam February 21, 2013

  We regret to advise our esteemed customers and the public that our Chang’ombe Branch caught fire early today, 21 February 2013. We are working closely with Tanzania Police Force, Tanesco and Fire Brigade officers to ascertain the cause of the fire and the total loss arising from it. As a result, the Branch will remain closed until further notice.

  In the meantime, our Chang’ombe customers are advised to visit the Industrial branch or any other nearest branch for services. The Industrial Branch is located along Pugu Road, opposite Tanzania Cigarette Company (TCC). For further details, customers can contact us on telephone number 0768 980 933

  We sincerely apologise for the inconvenience caused by this unforeseen incident. We are working closely with relevant stakeholders to ensure that Chang’ombe Branch is operational again as soon as possible.


  For more information contact:

  Mwinda Kiula-Mfugale, 
  Head of Marketing, Communications and Corporate Affairs, 

  0 0

   Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI) Abdulswamad Said Ahmed,akitoa Ripoti ya Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii,pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) kwa Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Mjumbe wa Bodi  Bobby Myenna
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi  wa Jumuiya ya Wawekezaji  katika  sekata za Utalii, (ZATI) pamoja na jumuiya ya Makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akiagana na Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wawekezaji , (ZATI) Abdulswamad  Said Ahmed,baada ya mazungumzo na Bodi ya Wakurugenzi wa Wawekezaji katika sekta ya Utalii,pamoja na jumuiya ya makampuni ya Watembezaji Watalii Zanzibar (ZATO) Ikulu Mjini Zanzibar,Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu, Zanzibar.

  0 0

   Kamera ya Globu ya Jamii ililinasa tukio hili la Kuberemeta kwa wakazi wa Kijiji cha Mohoro Mkoani Lindi,huku wakitumia Usafiri maarufu wa Bodaboda.Walio kwenye Bodaboda ya nyuma ndio maarusi wenyewe (yaani Bwana Harusi na Bibi Harusi} wakati wakielekea mnusoni.

  0 0

   hivi ndivyo lionekanavyo Daraja la Mkapa lililopo Rufiji,Mkoani Pwani.


  0 0

  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampauni ya Bia Tanzania (TBL) Robin Goetzsche (wa tatu kushoto) akikabidhi funguo kama ishara ya kukabidhi basi la Taifa Stars kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Leodgar Tenga (wan ne kushoto) wakati Kilimanjaro Premium Lager ilipokabidhii basi hilo makao makuu ya TBL Jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kaviske, Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Kushilla Thomas, Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen, Mchezaji wa Taifa Stars aliyewawakilisha wenzake, Erasto Nyoni, Katibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah, Ofisa Mwandamizi wa Baraza la Michezo Tanzania, Chalukulu John na Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF Sunday Kayuni.
  Kocha wa Timu ya Taifa Kim Poulsen akishuka kutoka kwenye basi jipya la Taifa Stars lililolabidhiwa na Kilimanjaro Premium Lager.
  Washangiliaji mbalimbali wa Taifa Stars wakati Kilimanjaro Premium Lager ilipokabidhi basi jipya kwa Taifa Starsaifa katika makao makuu ya TBL Ilala leo.

  0 0
 • 02/21/13--13:48: libeneke mlima kitonga
 •  Bahati njema dereva wa roli hili aliwahi kupaki pembeni baada ya mitambo kukorofisha katika mlima maarufu wa Kitonga katika barabara ya Morogoro-Iringa. Vinginevyo ingekuwa foleni balaa. Ishukuriwe kwamba ulinzi shirikishi maeneo hayo yameweza kuleta amani maana enzi hizo vibaka wangeshaanza shughuli zao...

  Hili basi dogo limepata mushkeli katika mlima huo na fundi mitambo anapiga jalamba kurekebisha mambo wakati abiria wakisubiria. Picha na Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii.

  0 0
 • 02/21/13--14:14: Article 17
 • Banana Zorro & B. Band's Xclusive Show every Friday @ East 24 Bar & Grill.... Welcome to our beer house.

  0 0

   Mkuu wa wilaya ya Mtwara Bw. Wilman Kipenjama Ndile(kulia) akipokea msaada  unga na simenti kutoka kampuni ya Ophir Energy Plc vyote vikiwa na thamani ya Sh Mil 13 kwa ajili ya wathirika  wa mafuriko wilayani humo. Msaada huo ulikabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw Fidelis Lekule.

  Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw Wilman Kipenjam Ndile akitoa shukrani kwa kampuni ya Ophir Energy plc mara baada ya kupokea msaada wa chakula na saruji vyote vikiwa na thamani ya Sh Mil 13.2, kwa ajili ya waathirika  wa mafuriko wilayani humo. Shoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo Bw Fidelis Lekule(kushoto) na mwakilishi wa wahanga hao mlemavu wa macho Bw Mohammed Omari. Picha na Executive Solutions  0 0
 • 02/21/13--15:10: IN LOVING MEMORY

 • Second year death anniversary

   In Loving Memory of Miss Neema Edward Mkwelele (22) – BA (Hon) Broadcasting - 2010 – University College of Falmouth – UK.
  January 05, 1989 – February 21, 2011

   Please take your precious moment today to remember our beautiful and precious daughter, sister, granddaughter and a friend.  Remember her smile, which could light up a room.  Remember her fun loving spirit and her laugh.  Remember a special moment you shared with her in life.  Our daughter’s legacy lives on in these memories.  

  It is very hard to forget her.  In life we loved you dearly.  In death we still love you more.  In our hearts you have a special place.  No one else will ever fill it.  It broke our hearts to lose you.  But you did not go alone.  Even though we are still alive physically but part of us went with you. 

  The day our almighty GOD called you home will remain unforgettable day, a day of great painful to us – Isaiah 25:8.  We miss you Neema and your intelligence, it is yet very painful, and in every moment of every day we feel pain that is unexplainable.

  Mom, Dad and Mike your friend and your young brother remember you. 

  0 0
 • 02/21/13--19:00: CHEKA UNENEPE

 • LEO CHEKA NA KUNENEPESHWA NA RUSSELL PETERS MVUNJAMBAVU WA CANADA

  0 0
 • 02/21/13--19:00: Ngoma azipendazo ankal
 • Mzee mzima Barry White ankupa live 'Can't get enough of your love babe' cheki miondoko na mavazi ya enzi hizo... na nywele...

  0 0

  Hiki ni Kijiji cha Nyamwage mkoani Mkoani Pwani,ambacho hapo awali barabara yake ilikuwa ikipitika kwa shida sana na kupelekea Magari mengi kukwama hasa ifikikapo kipindi cha Masika.kutokana na kuharibika kwa barabara hiyo,kuanzia kijiji hiki mpaka Somanga,Mkoani Lindi.lakini sasa hivi eneo lote hilo liko vizuri kabisa na ujenzi wake umekamilika kwa tasimia kubwa tu na kubakia kipande cha kama kilometa  takribani ishirini tu kukukamilisha kabisa ujenzi wa barabara hiyo.
  Usafiri sasa hivi ni wa uhakika sana ukilinganisha na hapo awali.
  Hapa ndipo kinapoanzia kipande ambacho kipo kwenye matengenezo.
  Ujenzi ukiendelea katika kiande hicho cha kama kilometa ishirini kilichobakia.

  0 0

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, wakisiliza taarifa ya pamoja iliyokuwa ikisomwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
  Vikundi mbalimbali vya ngoma vikitumbuiza wakati Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, wakiwa wamesimama kupokea heshima wakati nyimbo za taifa zikipigwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
  Rais Emilio Mwai Kibaki wa Kenya aliyehitimisha ziara yake ya Kiserikali nchini jana Februari 21, 2013, akiagana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali aliye pamoja na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda pamoja na viongozi wengine katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. PICHA NA IKULU

  0 0

  Mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe. Chiku Gallawa akiwasisitiza viongozi wa dini kuwakumbusha waumini wao kudumisha amani na ushirikiano wa kindugu kwa wote bila kujali itikadi za kidini .
  Baadhi ya viongozi wa dini waliofika wakisikiliza kwa makini hoja za mkutano.
  Mhe. Gallawa akijibu hoja za wajumbe
  Mmoja wa viongozi wa Dini akitoa maoni yake juu ya nini kifanyike ili kudumisha amani mkoani Tanga na taifa kwa ujumla.
  Mmoja wa viongozi wa dini akitoa mapendekezo yake juu ya nini kifanyike ili kudumisha amani.

  Mkuu wa mkoa Tanga Mh. Chiku Gallawa amekutana na viongozi wa dini mbalimbali leo tarehe 21/02/2013 mjini Tanga kwa lengo la kusisitizia umuhimu wa kuwakumbusha waumini na wafuasi wa dini zao kudumisha amani na kuachana na dhana ya ubaguzi wa kidini. Mazungumzo hayo yamefanyika ikiwa ni pamoja na kutaka kufahamu ni nini hasa wananchi wanahitaji serikali ikifanyike ili amani izidi kujengeka .

  Akisisitiza hoja yake, Mhe. Gallawa amesema kuwa si muda muafaka kwa wananchi kuendelea kuilaumu serikali juu ya yale ambayo yanatokea bali wote kwa pamoja lengo liwe ni kuwajibika kwani serikali ni watu na watu wenyewe ni wananchi wote.

  ” Umefika wakati wa sisi wananchi kuelewa kuwa kila mwananchi katika mkoa wake ana wajibu wa kufanya katika kudumisha amani, si jambo la busara kukaa pembeni na kuisonda serikali kidole bali kushirikiana kwa pamoja kwa umoja wa kindugu kwa faida ya mkoa na taifa letu kwa ujumla. Wote tujifunze tuvumiliana na kuchukuliana kila mmoja na mapungufu yake”

  Aidha wakitoa maoni yao juu ya nini serikali ifanye katika suala zima la amani, viongozi wa dini wamesema kuwa serikali haina budi kuchukua jukumu la kuielimisha jamii maana halisi ya amani na umuhimu wake kwa taifa. Pia wamewaasa wananchi kuwa na nia ya kweli na kurudi kwenye maadili mema.

  Kwa upande mwingine serikali imeshauriwa kufanya uchunguzi wa kina kubaini kikundi chochote ambacho kinaonekekana kuwa chanzo cha uchochezi wa vurugu na kukichukulia hatua kali. Hali hii itaondoa wasiwasi na woga mkubwa ambao umetanda miongoni mwa wananchi na viongozi wa dini kwa ujumla.

  Vilevile viongozi wa dini wamevikumbusha vyombo vya habari kutokuwa chanzo cha kuchochea vurugu kwa kutoa taarifa zinazoamsha hisia za chuki miongoni mwa waumini wenye imani tofauti badala yake kuwa ni vyanzo vizuri ya kudumisha amani.

  0 0

  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na Dkt Idris Jala wa kitengo cha usimamizi na utekelezaji kiitwacho PEMANDU (Performance Management and Delivery Unit) cha Malaysia na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Februari 21, 2013. Katikati ni Dkt Philip Mpango, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango. PICHA NA IKULU.


  0 0

  Product: www.vinjari.co.tz (A Tanzanian Online Booking and Payment Site) Vinjari.co.tz established in September 2012 as a one-stop destination for travelers interested with Tanzania and those traveling within Tanzania. Vinjari offers a wide range of services from discounted hotel bookings, tour packages and a travel guide that includes attractions, events listing and eat out places. Unlike other travel sites, Vinjari is 100% Tanzania owned offering prices that include all fees and charges that can be paid for up front with Tanzanian payment channels (Vodacom MPesa, TiGo Pesa) and VISA card that are authorized to transact online. Come join us, as the brains behind VINJARI.CO.TZ shares with us their StartUP experience. Confirm your FREE TICKET & PIZZA: http://kinu.eventbrite.com/# More details at: http://www.kinu.co.tz/1st-startup-saturday-with-vinjari-co-tz-02-2013 DON'T FORGET YOUR BUSINESS OR SMART CONTACT CARD

older | 1 | .... | 49 | 50 | (Page 51) | 52 | 53 | .... | 3278 | newer