Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 417 | 418 | (Page 419) | 420 | 421 | .... | 3286 | newer

  0 0

  ''Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Mhe. Balozi Daniel Ole Njoolay anayofuraha kuwaalika Watanzania wote waishio nchini Nigeria na nchi za Ghana, Liberia,Sierra Leone, Benin, Ivory Coast,Mali,Senegal,Burkinafaso,Togo,Gambia,Guinea Conakry,Guinea Bissau na Mauritania kwenye maadhimisho ya sherehe za Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.

  -Tarehe 25/04/2014 kutakuwa na maaonyesho ya Utalii na fursa za Uwekezaji zilizopo Tanzania, na jioni kutakuwa na tafrija fupi katika Hotel ya Sheraton-Abuja.

  -Tarehe 26/04/2014,Mhe. Balozi atakutana na Watanzania wote katika Makazi ya Balozi yaliyopo 21 Yedseram Street-Maitama,Abuja.''

  Watanzania wote mnaombwa kufika bila kukosa.
  NB: Atakaye soma Tangazo hili amuarifu na mwenzake.

  0 0

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea kutoka kwa nahodha msadidizi wa timu ya soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, Frank William, kombe ala ubingwa wa dunia wa soka la watoto wa Mitaani wakati alipowaandalia chakula cha mchana kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11,2014.
  Wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia wakipata Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11, 2014.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Soka ya Tanzania ya Watoto wa Mitaani, waliotwaa ubingwa wa Dunia katika Chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwa ajili yao kwenye makazi yake mjini Dodoma Aprili 11, 2014. (Picha na Ofiai ya Waziri Mkuu)

  0 0


  Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Issa Faisal akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa michezo mkoa wa Kilimanjaro,kilichofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
  Mdau namba moja wa michezo mkoa wa Kilimanjaro,mkuu wa mkoa Leonidas Gama akizungumza jambo wakati wa kikao hicho.
  Wadau wakifuatilia hoja mbalimbali katika mkutano huo.

  BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

  0 0

   Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi kompyuta 5 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya shule ya sekondari ya Pangani wakati wa makabidhiano yaliyofanyika shuleni hapo leo mjini Kibaha ambapo pia mwakilishi huyo alikabidhi kiasi cha fedha Taslimu  shilingi milioni 10,000,000 kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabala katika shule hiyo.katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru.
   Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akikabidhi fedha taslimu shilingi milioni 10,000,000 kwa Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba kwa ajili ya kununulia vifaa vya maabara katika shule hiyo katikati ni Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru
   Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises za jijini Dar es salaam akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo mara baada ya makabidhiano.
   Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mh. Halima Kihemba wa tatu kutoka kushoto akiwa pamoja na wanafunzi wawakilishi wakati wa makabidhiano hayo, kutoka kulia ni Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprises,Mkuu wa shule hiyo Inocencia Mfuru na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Jenipher Omolo.
   Fatma Mohamed Meneja msaidizi wa kampuni ya RAN IT Solution Limited na Lugumi Enterprisesna ,Ellygood Sangawe Meneja wa kampuni hiyo Kanda ya Ziwa wakitembelea maabara ya shule hiyo.
   Mkuu wa shule ya sekondari ya Pangani ya Kibaha  Inocencia Mfuru akitoa maelezo kwa wageni hao wakati walipokuwa wakitembelea maabara.(PICHA NA FULLSHANGWE-KIBAHA)

  0 0

   Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (in a combat) together with Howard Buffett greets some of the staff of the Pasiansi Wildlife Training Institute upon their arrival at the institute yesterday.
   US Billionaire Howard Buffett planting a tree at Pasiansi Wildlife Training Institute. Behind him is the Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu.
  Howard Buffett smiles for having his tree planting exercise done at the institute.
   Howard Buffett listening to the Principal of Pasiansi Wildlife Training Institute Lowaeli Damalu when he visited the institute science laboratory. Right is the Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu and left is the Acting Director of Wildlife Paul Sarakikya.
  Howard Buffett greets Commander Venace Tossi when they met at Pasiansi Wildlife Training Institute.


  0 0

  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, akizungumza na ujumbe kutoka African Medical Research Foundation (AMREF) ukiongozwa na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo hapa nchini Dr. Festus Ilako. Mama Salma alikutana na ujumbe huo ofisi za WAMA tarehe 11.4.2014.
  Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya kushawishi wake wa Marais wa Afrika katika kutetea haki za wanawake na watoto ili kupunguza vifo vya akina mama na watoto “ Stand Up for African Mothers”. Anayekabidhi tuzo hiyo ni Mkurugenzi Mkazi wa AMREF hapa nchini Dr. Festus Ilako. Sherehe hiyo ilifanyika kwenye ofisi za WAMA tarehe 11.4.2014.
  Mke wa Rais Mama Salma Kkwete akiongea na ujumbe kutoka AMREF mara baada ya kumkabidhiwa tuzo ya “Stand up for African Mothers” tarehe 11.4.2014. PICHA NA JOHN LUKUWI

  0 0

  Baadhi ya Wakazi wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Bongo Movie(Steve Nyerere) na Single Mtambalike wakiwa pembeni ya Mkurugenzi wa Msama Promotions Limited Bw Alex Msama kwa ajili ya kumpa pole na kumfariji mara baada ya kupata ajali wakati akitokea Dar Es Salaam kuja Dodoma, ajali iliyotokea Ipagala Mwisho Kilometa chache tu kufika Dodoma Mjini.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog.

  Mkurugenzi wa Msama Promotion, Bw Alex Msama amepata ajali leo, eneo la Ipagala mwisho wakati akitoka Dar Es Salaam kuelekea Mkoani Dodoma, ajali hiyo imemuhusisha Dereva wa Bodaboda na gari la Bw Msama kugongana, Katika Ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.

  Akiongea na Mtandao wa Lukaza Blog, shuhuda ambae hakupenda jina lake kutajwa alisema "Gari la Bwa Msama lilikua likitoka Njia ya Morogoro Dodoma akielekea Dodoma Mjini wakati akiwa anaendesha gari, kuna bodaboda alikuwa akitokea Mjini Dodoma mara akaingia barabarani bila kuangalia mbele yake ndipo alipogongana na gari la Bw Msama".

  Mara baada ya ajali hiyo kutokea ,walifanikiwa kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupata Matibabu zaidi. Baada ya kufikishwa katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma walipokelewa vizuri na kupelekwa chumba cha X-ray kwaajili ya kuangaliwa na mara baada ya kumalizika kwa vipimo vya X-ray walipelekwa Wodi namba moja kwa ajili ya uangalizi wa madaktari na manesi.

  Hali ya wagonjwa wote inaendelea kuwa nzuri mara baada ya kupatiwa matibabu ya haraka na kupatiwa vipimo. Wagonjwa wote wamelazwa Wodi namba 1 katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma.

  0 0
 • 04/11/14--20:00: ngoma azipendazo ankal
 • Sikiliza nyuzi bin nyuzi za watu wazima Carlos Santana na Eric Clapton katika ngoma ya "JinGo (Jin-Go-Lo-Ba)"

  0 0

  Bondia Mustafa Dotto (kushoto)  akitunishiana misuli na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kabla ya kuzipiga katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi katikati ni Promota Jay Msangi 
  Bondia Ibrahimu  'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam 
  Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi
   Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba. kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran. Picha zote na Super D

  0 0

  Katibu Mkuu wa CCM;Ndugu Kinana na Wananchi wakishiriki ujenzi wa Ghala la kuhifadhi mazao na mashine ya kusaga nafaka katika kijiji cha cha Kidahwe,Kigoma Vijijini.Ghala hilo  linalenga kusaidia katika kuhifadhi mazao ya wakulima na kijiji hicho baada ya kuvuna ili kusubiri soko na bei nzuri ya mazao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.Usimikaji wa mashine katika ghala hilo utawasaidia  pia wakulima kuchakata mazao yao (hasa mahindi na muhugo) na kuuza unga badala ya mahindi.Gharama za mradi huo ni shiliingi milioni 104,800,000/=.
  Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki ujenzi wa Ghala la kuhifadhi mazao na mashine ya kusaga nafaka katika kijiji cha cha Kidahwe,Kigoma Vijijini.Ghala hilo  linalenga kusaidia katika kuhifadhi mazao ya wakulima na kijiji hicho baada ya kuvuna ili kusubiri soko na bei nzuri ya mazao kwa mfumo wa stakabadhi ghalani.Usimikaji wa mashine katika ghala hilo utawasaidia  pia wakulima kuchakata mazao yao (hasa mahindi na muhugo) na kuuza unga badala ya mahindi.Gharama za mradi huo ni shiliingi milioni 104,800,000/=.
  Baadhi ya Wazee wa kijiji cha Nkungwe wakifuatilia yaliyokuwa yanazungumwa na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana katika kijiji cha Nkungwe,kuhusiana na tatizo la ufumbuzi wa mradi wa maji.
  Mjumbe wa NEC,Balozi Ally Karume akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana mara baada ya kukagua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nkungwe,Kigoma vijijini.Mradi huo umeshindwa kukamilika kutokana na ukosefu wa fedha,lakini pia Kinana amewahidi wananchi kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo na hatimaye mradi huo kukamilika na kuwasaidia wananchi mbalimbali wa maeneo hayo.
  Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi mbalimbali (hawapo Pichani),wakati alipokuwa akiwasili katika kijiji cha Nkungwe kukagua mradi wa maji ambao umeshindwa kukamilika kutokana na ukosefu wa fedha. Kinana amewaahidi wananachi kulitafutia ufumbuzi suala hilo ili mradi huo ukamilike na kuanza kutoa huduma kwa wananchi.
  Ujenzi wa tanki hilo la maji kama lionekanavyo pichani.
  Ndugu Kinana (wa tatu kulia),akishiriki kufukia mabomba ya mradi wa maji katika kijiji cha Nkungwe,Kigoma vijijini.Mradi huo ukikamilika unatarajiwa kusaidia vijiji zaidi ya 30.
  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisoma orodha ya vijiji vitakavyopatiwa umeme na maji katika wilaya ya Kigoma Vijijini. Kikiwemo Kijiji cha Mahembe ambacho tayari kimepata umeme.
  Katibu wa NEC-CCM wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (katikati) akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Mahembe, Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  KWA PICHA ZAIDI BOFYA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM

  0 0

  Mfalme  (King) Mswati II akimkaribisha Dkt. Stergomena L. Tax, Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi Kusini mwa Afrika  (Southern African Development Cooperation - SADC) wakati wa Ziara ya kikazi ya Katibu Mtendaji nchini Swaziland. Katika Ziara hiyo, viongozi hao walisisitiza umuhimu wa kutumia uhimilivu wa kisiasa uliofikiwa katika Kanda ya SADC kama muhimili muhimu katika kuongeza kasi ya kuendeleza maeneo yatakayochochea  maendeleo ya kiuchumi, ikiwa ni pamoja na miundombinu, uendelezaji na uwezeshaji wa uzalushaji na biashara miongoni mwa Nchi Wanachama.

  0 0


  0 0
 • 04/11/14--23:34: Mercedes Benz C200 for sale
 •  Mercedes Benz C200 for sale. Model GF-202020. Year of manufacture is 1999, imported from Japan in 2010. Silver colour, saloon (closed top), petrol, engine capacity is 1990 cc. Serious prospective buyers call 
  0754 269 269 for more details.


  0 0

  Finance Minister Hon. Saada Mkuya Salum speaks during the signing ceremony of CRDB Bank's  landmark $75 million loan agreement signing ceremony with the International Finance Corporation (IFC) aimed at providing support to small businesses, particularly those owned by women, as well as to farmers and agribusiness in Tanzania held at the IFC headquarters in Washington DC on Friday April 11, 2014 in the sidelines of the World Bank-IMF Spring Meeting.

  0 0


  Kwa mara nyingine napenda kuwashirikisha mtandao wa kitanzania ulio na nia ya kuwakomboa wafanyabiashara wadogo,wa kati na wakubwa katika kuwafikia wateja wao kwa ukaribu zaidi. Pia  kupitia mtandao huu utaweza kutangaza chochote unachopenda umma ujue kwani tumethibitika kuwafikia watanzania wengi kwa siku pia hata watembeleaji wengi zaidi toka nchi za nje.

  Timu ya  KAJO ITECH Kwa umakini mkubwa itaendesha mtandao huu wa CHOCHOTE pia kufanikisha kuwa ndio suluhisho kwa watanzania wengi kupata chochote wanachotaka kwa wakati iwe ni AJIRA,NYUMBA,VIFAA VYA UMEME,SCHOLARSHIP,VIFAA VYA UREMBO ,VIWANJA,FURNITURE,SIMU ,MAGARI NA VINGINE VINGI

   . ILI KUFAIDI HAYA YOTE uanchotakiwa kufanya ni kutembelea website hii link;www.chochote.co.tz  na utaweza kufungua akaunti  yako  na kuanza kuweka matangazo yako BUREE KABISA kwa chochote unachotakiwa kuuza au kununua. 
   Pia like facebook yetu ambayo ni https://www.facebook.com/chochotetz
  KWA MAELEZO ZAIDI piga simu no;0712579102 au tuma email;info.chochote.co.tz

  0 0

   WAKATI TUKIELEKEA KATIKA SIKUKUU YA PASAKA NA KUHAKIKISHA KWAMBA WATU WOTE WANANYUKA PAMBA KALI (MAVAZI),DUKA LAKO PENDWA LENYE VIWALO VIKALI NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LIFAHAMIKALO KAMA J&M VIRGO,LIMESHUSHA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA KABISA.

  HIVYO FIKA DUKANI KWAO PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA,JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA ILI UWEZE KUJIPATIA PAMBA KALI ZA KINA BABA NA KINA MAMA,POCHI BABKUBWA,MOKA ZA KISASA KWA KINA BABA NA MICHUCHUMIO MIKALI KWA KINA DADA.

  KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO


  0 0
 • 04/12/14--01:50: Article 16

 • 0 0

  Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group, speaks during a landmark $75 million loan agreement signing ceremony with the International Finance Corporation (IFC) aimed at providing support to small businesses, particularly those owned by women, as well as to farmers and agribusiness in Tanzania held at the IFC headquarters in Washington DC on Friday April 11, 2014 in the sidelines of  the World Bank-IMF Spring Meeting.
  The IFC, a member of the World Bank Group, on Friday April 11, 2014 signed a landmark $75 million loan agreement with the CRDB Bank that will help provide much needed support to small businesses, particularly those owned by women, as well as to farmers and agribusiness in Tanzania. 
   In Tanzania, there is a significant financing gap for SMEs, and women-owned businesses are particularly disadvantaged with only 15% reporting having access to a bank loan. 
   Access to finance is critical to helping them to grow their businesses and contribute to economic development. IFC and CRDB Bank will partner to focus on undeserved SME and retail market segments, as well as agribusiness producers and exporters. 
   Jean Philippe Prosper, IFC Vice President for Sub-Saharan Africa, said: “IFC is committed to partner with CRDB Bank to reach out to undeserved communities in Tanzania. This is the beginning of IFC’s collaboration with CRDB Bank and we hope to work more closely to support economic development and promote job creation in the country.” 
   “Working with IFC, we intend to strengthen our reach to SMEs and further promote agri commodity export. As a market leader in Tanzania, we have a mandate to support these market segments and are grateful to launch the collaboration with IFC,” said Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group. 
   The investment will promote financing for women-owned businesses, as well for farmers, capitalizing on CRDB Bank’s position as a leader in financial inclusion in Tanzania. 
  IFC also plans to provide advisory services in the field of trade and warehouse financing to strengthen CRDB’s operations. 
   The signing ceremony took place in Washington DC during the World Bank-IMF Spring Meeting and was observed by the Finance Minister Hon. Saada Mkuya Salum, and other top officials from Tanzania's finance sector.
   The comprehensive investment package consists of a $40 million loan targeting SMEs, particularly those owned by women, including $6 million through IFC’s Global SME Finance Facility; a $10 million trade line through IFC’s Global Trade Finance Program and $25 million through IFC’s Global Warehouse Finance Program to support the agricultural commodity business, including $10 million from the Global Agriculture and Food Security Program’s (GAFSP) private sector window.
  Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group (second left), and Mr. Jean Philippe Prosper, IFC Vice President for Sub-Saharan Africa, signing the landmark $75 million loan agreement at the IFC headquarters in Washington DC on Friday April 11, 2014 witnessed by the Chairman of the board of Directors Mr Martin  J. Mmari (left) and IFC's  Principal Operations Officer, Ms. Wendy Teleki (second right), and the Head of Blended Finance Ms. Kruskaia Sierra Escalante.
   Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group (second left), and Mr. Jean Philippe Prosper, IFC Vice President for Sub-Saharan Africa, shake hands after signing the landmark $75 million loan agreement at the IFC headquarters in Washington DC on Friday April 11, 2014


   Finance Minister Hon. Saada Mkuya Salum, speaks after the signing ceremony, flanked by  the Chairman of the board of Directors Mr Martin  J. Mmari (third left),  Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group (second right), IFC's Senior Investment Officer - Financial Markets, Mr Kariuki Thande (right) and CRDB's Deputy Managing Director  Mr. Saugata Bandyopadhyay (left)

  Finance Minister Hon. Saada Mkuya Salum, the Chairman of the board of Directors Mr Martin  J. Mmari (third left),  listen to Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group (second right). Right is  IFC's Senior Investment Officer - Financial Markets, Mr Kariuki Thande (right) and CRDB's Deputy Managing Director  Mr. Saugata Bandyopadhyay (left)
  Tanzania Government officials, CRDB top brass in a Group photo with IFC's officials after the signing ceremony.
  For more photos CLICK HERE  0 0

   Wiki kama hii, miaka 20 iliyopita, nchi ya Rwanda ilishuhudia kuanza kwa mauaji ambayo kwa siku 99 zilizofuata, yaliacha historia mbaya na ambayo itaendelea kukumbukwa na vizazi vijavyo.
  Ndani ya siku 100, watu wanaokadiriwa kufika milioni 1 waliuawa katika mauaji ya kimbari.
  Miaka 20 baadaye (mwaka huu), dunia nzima imeungana na Rwanda kukumbuka kile ambacho wengi wanaona kuwa kilitokea na kuachwa kuendelea kutokana na Jumuiya ya kimataifa kutoingilia kati na kutoa msaada muafaka kwa wakati muafaka.
  Kumekuwa na matukio mbalimbali kukumbuka mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo yamefanyika duniani kote, Kutoka Kigali Rwanda mpaka hapa Dar-Es Salaam na hata huko Washington DC.

  Hii ni sehemu ya ripoti ya Kwanza Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).
  Hii ilikuwa ripoti ya Aprili 12, 2014

  0 0

  Edward Moringe Sokoine (1 August 1938 – 12 April 1984) was Prime Minister of Tanzania from 13 February 1977 to 7 November 1980 and again from 24 February 1983 to 12 April 1984.

  Edward Moringe Sokoine had a developmental conception of the village. Sokoine saw the village as a harbinger of self-reliant, national development and the peasant as an agency of change. He was a person of unimpeachable personal integrity.

  In 1938, Sokoine was born in Monduli, Arusha Region, Tanzania. From 1948 to 1958, he had his Primary and Secondary Education in the towns of Monduli and Umbwe. In 1961, he joined the Tanganyika African National Union (TANU), after he took studies in administration in the Federal Republic of Germany (1962–1963). 

  When he returned from Germany, he became District Executive Officer of the Masai District, then he was elected to the National Assembly for the Masai Constituency. In 1967 he became Deputy Minister of Communication, Transportation and Labour.

  The next step in his career was the promotion to the Minister of State in 1970. In 1972, he switched to the post of the Minister of Defence and National Service of Tanzania. In 1975, he was elected to the National Assembly again, this time for Monduli. Two years later, he became a member of the Central Committee of the ruling partyChama Cha Mapinduzi (CCM).

  In the same year (1977) began his first term in office as Prime Minister of the United Republic of Tanzania. This term lasted till 1981. After a year-long break, he became Prime Minister again in 1983. He stayed just one year in office, till his death in April 1984, in a car accident.

older | 1 | .... | 417 | 418 | (Page 419) | 420 | 421 | .... | 3286 | newer