Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 374 | 375 | (Page 376) | 377 | 378 | .... | 3272 | newer

  0 0

   Taswira za barabara ya Kivukoni Drive jijini Dar es salaam inayoendelea kukarabatiwa na kujengwa njia ya mabasi yaendayo haraka. Hapa ni nje ya Mahakama Kuu


  0 0

  SSRA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA SEKTA YA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII NCHINI

  Ms. Sarah  Kibonde Msika, mkuu  wa mawasiliano  uhamasishaji  wa  mamlaka  ya usimamizi  na udhibiti  wa sekta  ya Hifadhi ya  jamii (SSRA) akizungumza na  wanahabari  leo mjini Iringa 
  Meneja wa NSSF  mkoa  wa Iringa Bw Marko Magheke akihojiwa na wanahabari  kuhusu warsha hiyo mjini Iringa leo 
  Washiriki  wa  warsha  ya  NSSRA  wakiwa katika  ukumbi wa  mikutano wa VETA mjini Iringa leo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

  0 0

  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,  Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia
  Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma leo Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum  la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  0 0

  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Philip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari
   Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Phillip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali mapema leo asubuhi ndani ya Ofisi za Makao makuu ya chama hicho,huku akiwaonesha picha iliyotumika kwenye moja ya gazeti la kila siku hapa nchini,kwamba baadhi ya Wapinzani wamekuwa wakitumia vibaya nafasi za kutafuta uongozi kwa kuwadhalilisha watoto kupitia umaskini wao walionao ikiwemo sambamba na watu wengine,jambo ambalo si haki na si sawa. 
   Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Phillip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali mapema leo asubuhi ndani ya Ofisi za CCM mkoa wa Iringa,mara baada ya kuwasili mkoani humo.Mangula amesema kuwa amekuja Iringa kuratibu na kuhakikisha kuwa chama chake kinamaliza kampeni zake za uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kwa utulivu na amani,akaongeza kuwa ingawaje wana taarifa ya baadhi ya watu wamejiandaa kufanya fujo,lakini kwa bahati nzuri wameyapata majina ya watu hao,"Majina hayo yako ishirini ntayataja hapo baadae ili wananchi kwa ujumla wajue taarifa hizo ambazo zinapaswa kupingwa na kulaaniwa kwa namna yoyote ile" alisema Mangula kwa msisitizo..
  Pichani kati shoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Phillip Mangula akipokelewa na Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Mjini Ndugu,Hassani Mtenga na wanachama wengine,alipokuwa akiwasili kwenye Ofisi za CCM mkoa wa Iringa, mapema leo .PICHA NA MICHUZIJR-IRINGA.

  0 0


  0 0
 • 03/03/14--06:22: UJUMBE WA LEO


 • 0 0


  Each year, bright, optimistic Africans leave home to earn an education or seek a better economic life abroad for themselves and their families. With fewer opportunities in their home country, many never return home.
  The African Diaspora is broadly defined by the African Union Commission as "peoples of African origin living outside the continent, irrespective of their citizenship and nationality and who are willing to contribute to the development of the continent and the building of the African Union."
  Globally, Africans in the diaspora are spread out across the continents. In North America, there are 39 million from the African Diaspora; 113 million in Latin America; 13.6 million in the Caribbean; and 3.5 million in Europe, the World Bank estimates.'
  The African Diaspora is not a monolithic group -- some were born and reared outside of their home country; many migrated to Europe, the United States and other parts of the world at a young age; while others arrived to attend college.
  No matter how they arrived in their adopted country, diasporans bring a distinct perspective to the discourse on Africa because they have experienced both worlds and can serve as a bridge in fostering greater understanding between the continent and their adopted country.
  Read this: Africa's most exciting photographers
  My personal story is that I have lived most of my life as an African diasporan. I was born in the Democratic Republic of Congo. Yet, in my father's pursuit to attain a higher education and better career opportunities, my family moved to Japan, the United States, and then Liberia. I returned to the United States for my undergraduate and post-graduate degrees, and remained in the States to build my career.
  We live in an interconnected world. My life embodies this interconnection. I love my adopted country of America and all that it has to offer; and Africa is where my roots are and where my heart and passion live. With this duality, I try to marry these worlds the best way that I can in my daily life.
  The organization that I lead, The Africa-America Institute (AAI) has served as a bridge between continents for 60 years. As African nations were gaining independence from colonial rule in 1953, AAI was founded to build human capacity on the continent by providing opportunities for African students to pursue academic degrees at top universities in the United States.
  After receiving their degrees, more than 90% of our alumni returned home to become leaders in the public, non-profit, and private sectors in Africa, where they contributed to strengthening the foundation for African development.
  With 23,000 AAI alumni worldwide, we proudly count prominent alumni such as Wangari Maathai, the late Kenyan environmental and women's rights activist and Nobel Laureate; Prime Minister H.E. Nahas Angula of Namibia; and President Joyce Banda of Malawi, among other distinguished African leaders.
  Today, AAI offers rigorous professional development and leadership training programs through our African partner institutions to women and men who exhibit talent and leadership in key fields -- and who display a deep commitment to advancing to Africa's development.
  Indeed, Africans in the diaspora have so much to offer the continent, boosting one of the world's fastest-growing economic regions -- six of the 10 fastest growing markets in the world are in sub-Saharan Africa.
  By and large, the three "Ds" about Africa -- death, despair and disease -- still prevail in the minds of many people in the Western world. African diasporans, especially young people, can become the face of a "new Africa" -- educated, optimistic, and actively working to transform and shape Africa's future.
  Secondly, diasporans can help shape foreign policy. Since many in the African Diaspora still maintain strong connections to the continent, diasporans can help influence foreign policy priorities by offering informative analysis of on-the-ground realities in African nations and sharing under-reported success stories of progress taking place, as well as solutions to development challenges.
  Lastly, diasporans can bring their talent, energy, skills and technological know-how to furthering economic progress in Africa. Many Africans in the diaspora want to eventually go back home after living abroad. However, one of their biggest challenges is finding suitable employment once they return.
  The demand for talent is high in Africa, yet the wide skills gap is a sobering reality. A McKinsey Global Institute Report estimates that 122 million people will be added to Africa's labor force between 2010 and 2020, creating a burgeoning labor force of more than 500 million across the continent.
  Skilled professionals from the African Diaspora are recognizing the tremendous opportunities that exist in Africa and are repatriating home in greater numbers to fill top positions at multinational corporations and organizations on the continent. They are also investing in Africa's emerging markets and launching African-led businesses and enterprises to create well-needed jobs and spur economic growth.
  Harnessing the talents and expertise of the African Diaspora can help to bolster Africa's workforce development. Recognizing this tremendous asset, AAI hosted a Talent Summit where mid-career professionals from the diaspora learned about the challenges and opportunities of launching a career in Africa or at leading Africa-focused organizations in the United States. Attendees left the summit armed with information to plan a possible career transition.
  Mobilizing the full participation of Africans in the diaspora is a win-win for Africa, and can foster stronger connections between continents to accelerate Africa's social and economic development.

  0 0

  Kwa masikitiko makubwa sisi wafanyakazi wa University of Dares Salam Business School (UDBS)  tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu  Dr. Wilson Joseph Mboya (pichani) kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 3 march 2014. 

  Msiba upo nyumbani kwake chuo kikuu Dar es Salaam jirani na UDASA Club. Marehemu anatarajiwa kuzikwa nyumbani kwao Mbeya. 

  Utaratibu  wa kuaga mwili wa marehemu utafanyika kesho tarehe 4 March 2014 Nyumbani kwake kuanzia saa sita mchana. 
  Nyote mnakaribishwa kumsindikiza mwenzetu katika safari ya milele. 

  Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. 
  Jina lake lihimidiwe

  Amina


  0 0

  Newdeal Africa  now  has  a  special  permit  to  organise ‘A  day  in  Parliament’- Guided tours of Parliament which  takes visitors into both the Commons and Lords chambers and historic Westminster Hall.
  This tour offers a unique combination of one thousand years of history, modern day politics, and stunning art and architecture.

  The tours start by following the route taken by The Queen at the State Opening of Parliament; from The Queen’s Robing Room, through the Royal Gallery and Prince’s Chamber, into the majestic Lords Chamber.

  Tours then move on through Central Lobby, Members’ Lobby and one of the voting lobbies before entering the Commons Chamber, scene of many lively debates.

  Passing through St Stephen’s Hall, the tours end in 900 year old Westminster Hall, a place where many historic trials have taken place and where Nelson Mandela and Barack Obama have addressed Parliament in more recent years. There  is  a  chance  to  attend  the  Prime  Ministers’  question  Time.

  We  will  then  go  the  famous  Tower  of  London to  visit and  see  the  crown jewels of  H.M  THE QUEEN  and  there after  return  to  have  dinner in  the  private  members  room in  the  house  of  Commons .

  There are a few places left to join the tour. Are you a Tanzania student in the UK in   any higher learning institution?.If interested please send your details before the 15th  march 2014 to  newdealafrica@yahoo.co.uk  or  swahilidiaries@yahoo.co.ukor  call +44 7960811614

  Should  you  need  more  information  ,please  do  not  hesitate  to  contact  me.

  Ayoub  mzee

  Coordinator

  Newdeal Africa

  TEL.+447960811614


  www.newdealafrica.co.uk


  0 0

  Msanii S2R akiwa na mdundo toka Benamo Recs anadrop wimbo "Baby Gal" ikiwa ni ngoma aina ya dancehall, vocal zimesimamiwa Noizmekah studios Arusha, bofya HAPA kuisikiliza/download na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na S2R kwa nambari +255 785 317 976 

  0 0

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David A. Misime - SACP

  Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.

  Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma linashikilia arobaini na tano kwa makosa mbalimbali ya uhalifu katika msako wa wahalifu uliofanyika tarehe kati ya tarehe 27/02/2014 hadi 01/03/2014.

  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David A. Misime - SACP amesema tarehe 27/02/2014 walikamatwa jumla a watuhumiwa 42 kwa makosa mbalimbali ikiwemo pombe ya moshi lita 11 na nusu, mitambo ya gongo miwili, machicha ya kutengenezea gongo lita 50 na bangi misokoto 50 kufuatia msako uliofanywa na mtandao wa Polisi wanawake TPF-Net.

  Kamanda Misime aliongeza kuwa katika tarehe 01/03/2014 alikamatwa Shafii s/o Husein, miaka 25, kabila Mrangi, muuza matunda na mkazi wa Chang’ombe Manispaa ya Dodoma akiwa na jumla ya Noti bandia 24, kati ya hizo noti 23 zote zinafanana zenye namba BU 7273435 na noti moja ina namba BE 9463738 za elifu kumi zinazoonyesha kuwa na thamani ya 240,000/= akijaribu kuziingiza katika mzunguko wa fedha kwa njia ya M- Pesa.

  Pia Kamanda misime alisema kuwa alikamatwa Haroun s/o Dotto, miaka 22, kabila Mgogo, Mkulima na mkazi wa kijiji cha Matumbulu Manispaa ya Dodoma akiwa amepanda bhangi kiasi cha robo heka katika shamba la mahindi, Wilaya ya Chemba amekamatwa mtu mmoja akiwa amelima Bangi kiasi cha nusu hekari lililoharibiwa baada ya kukamatwa.

  Aidha Kamanda Misime alisema msako bado unaendelea katika Wilaya zote Mkoa wa Dodoma. pia amewashukuru wananchi kwa jinsi wananyoendelea kutoa ushirikiano na jeshi hili lililofanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao. 

  Vile vile amewataka wafanyabiashara kuwa makini na kutoa taarifa mapema dhidi ya wahalifu wanaosambaza fedha bandia katika biashara ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria.

  0 0

  Na Mwandishi Wetu
  Vipindi vya televisheni vya shindano la Maisha  Plus kuanza kuonyeshwa leo usiku  katika kituo cha televisheni, TBC1.

  Akizungumza na wanahabari jijini Dar, Mratibu wa Mashindano hayo, Masoud Ali ‘Kipanya’ alisema vipindi hivyo vitaonyesha hatua za awali ambazo ni usaili na mpaka kupatikana kwa washiriki 30 waliobahatika kuingia kijijini.

  “Tutaanza kuwaonyesha kipindi chetu kuanzia leo hii saa nne na dakika tano usiku, kipindi kitaanza kwa kuonyesha hatua za mwanzo kabisa za mashindano haya,” alisema Kipanya.

  Alifafanua akisema kuwa vipindi 10 vya mwanzo vitaonyesha mchakato mzima wa upatikanaji wa vijana 18 kutoka Tanzania watakao ungana na vijana wengine 12 kutoka Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi zitakazotoa washiriki watatu kwa kila nchi.

  Usaili wa mwaka huu ulikuwa tofauti na miaka mingine ambapo orodha ya washiriki 40 ilitengenezwa na ikagawanywa katika makundi mawili ambapo kundi la kwanza lilikwenda mkoani iringa kuishi kwenye vijiji vya huko na kushiriki shughuli za kijamii.

  Kundi la Pili litaenda visiwani Zanzibar ambalo pia litashiriki utamaduni wa kila siku wa kimaisha wa visiwani humo ambapo ni washiriki tisa tu katika kila kundi watachukuliwa na watachujwa kutokana na jinsi walivyoyamudu maisha ya huko.

  “Vijana wakiwa huko katika vijiji vya kweli watakuwa wakishiriki shughuli za kilimo, usafi, za kiafya na nyinginezo kabla hawajaingia katika kijiji cha Maisha Plus”, alifafanua Kipanya.


  Baada ya kundi la kwanza na la pili kutoa washiriki tisa kila kundi, washiriki 18 watakuwa wameshapatikana, na sasa nchi za zikishapata washiriki wake 12, idadi ya washiriki 30 itaingia kijijini cha Maisha Plus katikati ya mwezi huu.

  0 0


  0 0
 • 03/03/14--23:30: kumbukumbu
 • Marehemu Maria G. Mpango
  Ni mwaka mmoja sasa toka ulipotangulia mbele za haki tarehe 04/03/2013. Siku zote tutakumbuka kwa upole, ukarimu, ucheshi na upendo wako kwa wote waliotuzunguka. 
  Daima unakumbukwa na baba yako mpendwa Bw. George Mapango, Baba zako wakubwa kwa wadogo na wadogo zao wote,Mama zako wadogo dada zako Mariam (Chuma), Eva (Hawa) na dada zako wengine wote, Kaka zako Patrick (Saidi), Jackson (Kibabu) na Richard, shemeji yako Deogratias Sakawa, watoto wako Precious, Priscilla-Gloria na Jasmine bila kuwasahau majirani wa Ocean Road Flats, ndugu, jamaa na marafiki. Misa itakuwa kesho Jumatano Machi 5, 2014 katika kanisa la Mtakatifu Joseph - Saa 12 asubuhi, saa 7 mchana na jioni.
  Pumzika kwa Amani. 
  Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa jina la Bwana Lihilidiwe. 
  Amina.

  0 0

  Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya vitabu kwa mmoja wa Mwanafunzi mwenye mtindio wa Ubongo wanaosoma Shule ya Msingi Tabata jijini Dar.Farida Foundation imetoa vifaa mbali mbali vya kusomea kwa watoto hao wenye mtindio wa Ubongo waliopo kwenye Shule hiyo.Taasisi hiyo ya Farida Foundation imekuwa ikisaidia Walemavu wa aina zote watoto, vijana na watu wazima waliopo Tanzania nzima mpaka sasa imeshasaidia walemavu zaidi ya 40 kuwapatia Huduma ya chakula malazi baiskeli za kutembelea na vifaa vya shule.
  Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo akiwa na mmoja wanafunzi wa Shule ya Msingi Tabata,ambaye ni mlemavu wa mtindio wa ubongo.
  Sehemu ya vifaa hivyo vilivyotolewa kwa ajili ya matumizi ya Wanafunzi hao.

  0 0


  0 0


  0 0

  Baadhi ya shule za msingi na sekondari katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, zikiongoza maandamano ya wananchi kuhamasisha kulinda na kuhifadhi maliasili za nchi katika kuadhimisha siku ya wanyamapori duniani, tarehe 3 Machi 2014.
  Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Bakari Chande Nalicho (wa kwanza kulia), wawakilishi wa WWF-Tanzania Rodney Ngalamba na Nalimi Madata, mkurugenzi halmashauri wilaya ya Tunduru John Kamwela na afisa maliasili wilaya ya Tunduru Japhet Mnyagala, wakipokea maandamano ya wananchi katika kuadhimisha siku ya wanyamapori duniani, mjini Tunduru, mkoani Ruvuma.
  Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Bw. Bakari Chande Nalicho, akizungumza na wananchi wa wilaya hiyo (hawapo pichani) juu ya utunzaji na uhifadhi maliasili ikiwemo wanyama pori kama tembo, katika maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani tarehe 3 Machi, 2014.
  Baadhi ya wananchi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, wakimsikiliza kwa makini mkuu wa wilaya hiyo (hayupo pichani), Bw. Bakari Chande Nalicho,alipokuwa akitoa hotuba yake katika maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani, taehe 3 Machi, 2014.
  Kikundi cha uchumi na sanaa Mkanyageni – KIUM, kikitoa burudani katika mkutano wa wananchi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma katika maadhimisho ya siku ya wanyamapori duniani.

  0 0

   Mwandishi wa habari, Ndg Francis Dande (wa kwanza kulia) akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa pensheni wa PPF jana  mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo uliandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF ulilenga Kuwapa elimu waandishi na wadau wa habari nchini juu ya huduma nyingine zinazotolewa na Mfuko huo wa PPF.
  Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Runinga cha ITV, Bi Fatma Almasi Nyangasa akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa Pensheni wa PPF jana mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo uliandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF.

  BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

  0 0


older | 1 | .... | 374 | 375 | (Page 376) | 377 | 378 | .... | 3272 | newer