Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 294 | 295 | (Page 296) | 297 | 298 | .... | 3278 | newer

  0 0


  Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, Mhe. January Makamba akiongea machache kuwashukuru Mbalozi wa wa Utalii wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumatano, Dec 11, 2013 kwenye Ubalozi wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani siku Bodi ya Utalii ilipotoa tuzo kwa mabalozi hao wanaotangaza Utalii wa Tanzania nchini Marekani.

  Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akiwashukuru mabalozi wa Utalii kabla ya kukabidhiwa tuzo zao kwa kazi nzuri wanaoifanya kwani sasa hizi Marekani ndiyo nchi inayoongoza kwa kupeleka watalii wengi nchini Tanzania.

  Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania National Parks, Bwn. Allan Kijazi akiongea machache kuelezea vivutio vingine vyilivyopo hifadhi za Taifa za wanyama pori na kuwashukuru Mabalozi hao kwa kazi nzuri ya kutangaza Utalii wa Tanzania.

  BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

  0 0

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni Mwenyeji Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William Ruto,Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.(picha na Freddy Maro)


  0 0

  Akizungumza wakati wa maonyesho hayo katibu wa tawi ndg Hassan Kapilima alisema umefika wakati kila mtanzania, taasisi na vyama mbalimbali vya siasa kutangaza utamaduni wa Tanzania ili kuweka kumbukumbu sahihi na taswila ya mtanzania ndani na nje ya nchi.
                                  KATIBU WA TAWI NDG HASSAN KAPILIMA
  Mgeni rasmi katika maonyesho hayo alikuwa mwenyekiti wa tawi Ndg Salim Mfungahema, mwenyekiti alifurahishwa na maonyesho hayo ambayo yaliudhuriwa na watanzania na wasio watanzania, katika taarifa yake fupi alipendekeza kuwepo na utaratibu wa kutangaza nchi na utamaduni wetu mara kwa mara katika maazimisho mbalimbali kama kuzaliwa kwa CCM, sherehe za muungano, mapinduzi ya Zanzabar na sherehe za mwaka mpya, Mgeni rasmi ndg Mfungahema alisema kwa kufanya hivyo tutapata watalii wengi nchini na kuliingizia taifa fedha nyingi za kigeni na kukuza uchumi wa nchi.


  Mwanautamaduni maarufu Moscow Bi Neema Mwambi akimpokea mwenyekiti wa tawi kwa furaha, mwenyekiti wa tawi Ndg mfungahema Salim alialikwa kuhudhuria maonyesho hayo.

  Mwenyekiti wa tawi Ndg Salim Mfungahema (wa tatu kutoka kushoto mwenye shati la kijani)akiwa kwenye picha ya pamoja na watanzania na wasio watanzania kwenye maonyesho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika jijini Moscow-Urusi. 


  0 0

  December 2013
  The year 2013 has been a great one for MultiChoice Africa which saw fantastic new channels launched on the DStv platform, great consumer campaigns and the introduction of innovative new technology.

  DStv audiences now get a better viewing experience with the expanded number of new channels across a range of genres.
   In 2013, MultiChoice Africa launched a total of 13 channels which include three M-Net Series Channels, M-Net Movies Zone, Fox, Ebony Life, Telemundo, Hip TV, Spice TV, CBS Action, CBS Drama, JimJam and MGM. One of the channels that have taken audiences by storm is the first telenovela-dedicated channel, Telemundo, a genre which has proven to be a hit with DStv subscribers. 
  TLC Entertainment, which used to be known as Discovery TLC is also keeping subscribers entertained with programming from the international queen of talk, Oprah Winfrey’s network, OWN. 

  As a business born and bred in Africa, celebrating Africa is a key priority for the business.  In partnership with Africa Magic, MultiChoice Africa celebrated a new milestone with the launch of the annual inaugural Africa Magic Viewers’ Choice Awards in March 2013.
    The awards recognize and reward proudly African film and television talent. There was also an exclusive broadcast of the 50th African Union celebrations held in Addis Ababa, Ethiopia, and was screened live on the DStv’s events channel.

   The company once again celebrated another successful season of Big Brother Africa, which broke a number of records especially on the show’s social media networks, Facebook and Twitter. The number of votes on this year’s Big Brother The Chase far exceeded that of previous seasons.

  Speaking during a dinner organized for members of the press by MultiChoice, MultiChoice Tanzania Public Relations Manager, Barbara Kambogi said, “Our media partners have played a significantly important role in assisting us to highlight and celebrate our achievements, key messages and our world-class content into the public spaces within Africa. MultiChoice would like to thank all our media partners for the constant support on all our initiatives and we hope that the relationship we share continues to grow. Let us keep working together to bring our people So Much More from DStv.


  0 0

   Je, Unataka piki piki?
  Naondoka Tanzania ndani ya wiki mmoja na ninahitaji kuuza pikipiki yangu Zongshen CC200, ina hali nzuri, na inafanyiwa service na matengenezo kila mwezi na fundi makenika wa Zongshen-Yamaha.
  Nauza kwa milioni 1.3 au kwa mwenye dau la kwanza.
  Nipigie kwa simu namba 0 718 22 456 0 , ili kulijaribu na kukubaliana. 
  Oscar.
   Want a motorbike?
  I am leaving Tanzania in one week and need to sell my Zongshen motorbike. CC200, in good condition, taken care by the Zongshen fundi.
  The offer is 1.3 million or the highest bid.
  Give me shout : 0 718 22 456 0


  0 0

   Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni wakiimba nyimbo za mataifa ya Tanzania na Korea Kusini wakati wa sherehe za uzinduzi wa maktaba katika shule hiyo huko Magomeni katika wilaya ya Kinondoni
   Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mzimuni nao wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa maktaba ya shule hiyo.
   Walimu ya Shule ya Msingi ya Mzimuni nao waliungana na wanafunzi wa shule hiyo kusherehekea uzinduzi wa maktaba ya shule uliofanywa na Mama Salma Kikwete 
   Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mzimuni pamoja na wananchi wa eneo hili wakati wa sherehe za uzinduzi wa Maktaba ya shule hiyo 
   Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa maktaba ya Shule ya Msingi ya Mzimuni iliyoko Magomeni. Kushoto kwa Mama Salma ni Mheshimiwa Balozi Young-Shim Dho, Mwanzilishi wa Step Foundation na Balozi wa Mradi wa Utalii endelevu kwa ajili ya kuondoa umasikini wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani ambaye ndiye aliyefadhili maktaba hiyo.
   Mama Salma Kikwete akiwafuatilia kwa karibu baaqdhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni waliokuwa wakitumia maktaba hiyo mara tu baaba ya kuizindua rasmi hapo
  PICHA NA JOHN LUKUWI

  0 0


  0 0

   Muwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi ameungana na     Wawakilishi wa  Mataifa mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao katika Umoja wa Mataifa, katika kusaini kitabu cha  Maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa  Kwanza wa Afrika ya Kusini Huru, Mzee  Nelson Mandela. 
  Kitabu hicho kimefunguliwa katika  Uwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya  Afrika ya Kusini katika Umoja wa Mataifa.  Katika Salamu zake,  Balozi Tuvako Manongi ameandika "  kwa niaba ya  Uwakilishi wa Kudumu wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, ninawasilisha salamu zetu za rambirambi kwa  serikali,  wananchi, familia na  wapendwa wa Marehemu Mhe. Mzee  Nelson Mandela.  
  Tunaungana nanyi katika kuombeleza msiba wa kiongozi huyo ambaye alijitolea katika  kuikomboa Afrika ya  Kusini. Mchango wake katika  kuwaunganisha wana wa afrika ya kusini  licha ya tofauti zao za kikabila ni  jambo lililoihamasisha dunia yote. Sisi katika  Tanzania tunajivunia sana  kumfahamu Madiba".


  0 0  0 0

  Konseli Mkuu wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania Dubai Ndugu Omar Mjenga wa Ubalozi wa Tanzania katika Falme za Nchi za Kiarabu (UAE) akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mzee Nelson Mandela ubalozi mdogo wa Afrika Kusini uliopo Dubai 

  0 0
 • 12/12/13--10:47: Article 6


 • 0 0


  0 0

  MWANASHERIA Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema  (pichani kulia) amesema

  wanashughulikia kisheria suala la Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe  (pichani chini) kudanganya bunge na kamati kuhusu majina ya watu walioficha mabilioni ya fedha Uswisi. 
  Jaji Werema, ambaye ni mwenyekiti wa Kamati ya bunge ya kuchunguza madai ya mabilioni hayo amesema ili kumalizia uchunguzi wa fedha hizo ameomba Naibu Spika wa bunge kuongezea kamati hiyo miezi sita. 
  Akitoa majumuisho ya taarifa ya utekelezaji wa shughuli za Kamati ya Bunge ya Katiba ,sheria na Utawala , Jaji Werema alisema alishangaa kitendo cha Mhe. Zitto kutaka suala hilo liangalie mfumo na siyo majina ya watu walioficha mabilioni hayo. 
  Jaji Werema alisema awali yeye alishauri kuangalia mfumo wa uwekaji wa fedha hizo lakini Mhe. Zitto alikataa na kusema anataka kutoa dukuduku kwa kutaja majina ya watu walioficha hizo. 
  Alisema mwezi Februari kamati ilikutana na Mhe. Zitto na kuwaeleza kuwa ana taarifa na nyaraka na kutoa masharti lakini aliondoka ka kwenda katika kambi ya jeshi kwa mafunzo ambako kamati ilimfuata lakini bado aliwataka kukutana Dar.
  Alisema Mei mwaka huu amekuwa akiichenga kamati hiyo hadi Oktoba ndipo alipokiri kwa kiapo maalum kuwa hakuwa na jina wala akaunti ya mtu yeyote ambaye ana fedha nchini Uswizi. 
  “Jambo la kushangaza ni leo kudai serikali haina dhamira na suala la walioficha fedha uswis?kwa kweli  Mhe. Zitto Kabwe ni mzigo na sasa tunaingia kufanya kazi hiyo ya uchunguzi kama serikali kwa kutafuta taarifa bila kumuonea mtu”alisema  Jaji Werema .

  0 0

  Katibnu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue
  Na Kiza Sungura
  - MAELEZO
  KATIBU Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue ameitakaTimu ya Wataalamu 14 Wazalendo wa Mkataba wa Maliasili wa Tanzania kutekeleza majukumu yao kwa makini kwa sababu mkataba huo unazingatia maslahi makubwa kwa nchi yao.
  Balozi Sefue ametoa wito huo jijini Da es Salaam wakati akizindua timu hiyo yenye jukumu la kutoa ushauri na elimu wa kitaalamu jinsi Tanzania itakavyonufaika na rasilimali zake.
  Alisema katika kutekeleza majukumu yao wahakikishe kuwa wanachukua kila maoni mazuri yatakayowasilishwa kwao na kuhakikisha kwamba yanaifikisha nchi katika kutumia vyema maliasili zake.
  “Jambo la pili nawataka muweke mbele maslahi ya taifa kwanza, si kwa maslahi ya taasisi mnazotoka.Mnatoka Serikalini, Sekta Binafsi, Taasisi za Elimu na Asasi za Kiraia, lakini kwa jukumu hili kuweni wazi na msifungwe na nafasi mlizonazo.Iwekeni Tanzania kwanza” alisema Balozi Sefue.
  Aliwataka kwa pamoja kuchukua sekta ya gesi na maliasili nyingine nchini na kuzifanya kuwa neema na sio ziwekiza, majuto na kusababisha kupotea kwa utulivu wa nchi.
  Timu hiyo inayoundwa na wataalamu 14 na wengine wawili ambao watateuliwa baadae, inaongozwa na Profesa Florens Luoga kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wajumbe ni Judith Kairuki kutoka Kituo cha UwekezajiTanzania(TIC).
  Wengine ni Mhandisi Nobert Kahyoza kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Charles Mwapinga kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Gabriel Bujulu kutoka Shirika la Maendeleo ya Peotroli Tanzania (TPDC), Dk. Fidea Mgina kutoka Wizara ya Nishati na Madini.
  Wataalamu wengine wanaounda timu hiyo ni Athumani Kwariko kutoka Tanzania Extractive Industreis Transparency International (TEITI), Ignace Mchallo kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Siraji Majura kutoka Wizara ya Fedha na Uchumi, 
  Godwin NyelokutokaTaasisiya Tanzania Chambers of Minerals and Energy, John Ulanga kutoka Taasisi ya Asasi za Kiraia.
  Wengine ni Deo Mwanyika kutoka Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Yonika Ngaga kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) na Profesa Hamudi Ismail Majamba kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.


  0 0  0 0
 • 12/12/13--21:30: In Loving memory


 • 0 0

  WANAMUZIKI nyota waliowahi kutamba na bendi ya DDC Mlimani Park “Sikinde Ngoma ya Ukae” watapiga bonge la show kwenye tamasha la Gurumo Jumamosi hii ndani ya TCC Club Chang’ombe jijini Dar es salaam. Wakali hao ambao kwa sasa hawako na Sikinde, jana walihitimisha mazoezi ya nyimbo tano watakazopiga katika tamasha hilo.
   Mazoezi hayo makali yalifanyika Amana Club Ilala ambako kwa wiki nzima wanamuziki watakaoshiriki tamasha hilo wamekuwa wakikutana hapo na kupiga mazoezi ya kufa mtu. Baadhi ya nyimbo hizo ni pamoja na “Celina” utunzi wake Gurumo kwa kushirikiana na marehemu Joseph Mulenga, “Barua kutoka kwa Mama” uliotungwa na Cosmas Chidumule na “Gama” (Tshimanga Kalala Assossa). 
  Mratibu wa mazoezi hayo, Mzee Kassim Mapili alisema nyimbo mbili zingine za Sikinde zitajulikana siku ya onyesho lakini akafichua kuwa zitakuwa ni kati ya “Neema” (Chidumule), “Supu umeitia nazi” (Karama Legesu), “Nachechemea” na “Isaya” (Hussein Jumbe). 
  Wasanii waliowahi kuitumikia Sikinde ambao watakuwepo kumsindikiza Gurumo ni pamoja na Cosmas Chidumule, Abdallah Gama, Hussein Jumbe, Mashaka Shaaban, Kalamazoo, Henry Mkanyia na Karama Legesu. 
  Wengine ni Ali Yahaya na Boniface Kachala, Tshimanga Kalala Assossa, Shaaban Lendi na Ibrahim Mwinchande. Katika maendeleo mengine, Komandoo Hamza Kalala naye kwa kushirikiana na wakongwe hao, amekamilisha mazoezi ya nyimbo mbili “Vicky” na “Tumezaliwa wote Kijiji kimoja” ambazo zitapigwa Jumamosi kusindikiza tamasha hilo. 
  Mkongwe Mzee Makassy nae katika tamasha hilo atashuka na wimbo wake uliowahi kutamba sana “Anifa”. Tamasha la Gurumo 53 ni maalum kwa ajili ya kuhitimisha miaka 53 ya utumishi uliotukuka katika muziki wa dansi kwa Muhidin Maalim Gurumo ambaye ametangaza rasmi kustaafu muziki. Wasanii wengine wanaoshiriki mazoezi hayo ni Miraji Shakashia, Hafsa Kazinja, Juma Katundu, Edo Sanga Majengo na King Maluu. Burudani zingine zitakazokuwepo siku hiyo ni pamoja na bendi za Msondo Ngoma Music Band, Talent Band, na Twanga Pepeta.
  Hafsa Kazinja anatarajiwa kumwaga kibao cha 'Nimuokoe nani' alichokipiga upya kumuenzi Gurumo na sasa kinatamba katika redio nchi nzima. Yeye ni mwanamuziki pekee wa kizazi kipya anayeshiriki katika hafla hii ya kihistoria
   Muhidin Maalim Gurumo akiwatembelea vijana wake mazoezini
   Abdalla Gama (shoto) na Miraji Shakashia wakila tizi la nguvu
   Wakongwe wa kupuliza midomo ya bata Kinga Maluu (shoto) na Yahaya wakiwa mazoezini
   Hafsa Kazinja, Edo Sanga, Juma katundu na Hussen Jumbe wakila tizi.
  Kwa picha zaidi na Saidi Mdoe BOFYA HAPA

  0 0

    Washiriki wa Warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Ladislaus Mwamanga (wa tatu toka kushoto waliyokaa).
    Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akifungua Warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari (hawapo pichani) inayofanyika katika Hoteli ya Oceanic Bay & Resort mjini Bagamoyo.
  Mwenyekiti wa siku ya kwanza ya warsha ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari ambaye ni Mhariri wa Channel Ten Ester Zelamula (katikati aliyeshika mic) akifafanua jambo kwa washirki (hawapo pichani), wa kwanza kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Ladislaus Mwamanga na wengine ni wakurugenzi wa idara mbalimbali wa TASAF.
   Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa uratibu Bw. Alphonce Kyariga, Mkurugenzi wa Ukaguzi Christopher Sanga na Kaimu Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo Fariji Mishael wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa mada katika warsha ya kuwajengea ufahamu wanahabari.
   Baadhi ya washiriki wa Warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari wakifuatilia uwasilishwaji wa mada mbali mbali katika hoteli ya Oceanic Bay & Resort Mjini Bagamoyo.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


  0 0

   The Managing Director of Smart Banking Solutions Limited (SBS) Gustavo Vermaas (second right) holds a blind fold shortly after unveiling a prepaid bank grade closed loop card of its kind in Tanzania market named B-PESA at a ceremony held in Dar es Salaam evening. Left is Judges Association Chairman, Justice Thomas Mihayo and Right is SBS Chairman Edmund Mdolwa.
  The Managing Director of Smart Banking Solutions Limited (SBS) Gustavo Vermaas (right), Judges Association Chairman Justice Thomas Mihayo (second right), Elibariki Lukumay Head of business development (third right) and SBS Chairman Edmund Mdolwa holds a knife to cut a cake in form of a newly launched prepaid bank grade closed loop card named B-PESA which was rolled out in Tanzania market at a ceremony held in Dar es Salaam on Wednesday evening.
  ============  ======================= 
  B –PESA ROLLED OUT IN TANZANIA MARKET

  By Correspondent

  SMART Banking Solutions Limited (SBS) has introduced the first prepaid bank grade closed loop card of its kind in Tanzania market named B-PESA.

  Speaking shortly before unveiling the B-PESA card at a ceremony held in Dar es Salaam Wednesday evening, SBS Managing Director Mr.Gustav  Vermaas said the card allows a customer to transact at any B-PESA branded merchants, member banks and B-Pesa branded ATM’s.

  “This card allows you to have the flexibility of card to card transfers, withdraw cash, deposit cash, paybills and payment of purchases at B-PESA branded merchants. The B-PESA card is not a credit card as it does not provide a line of credit, and it is not a debit card either as it is not linked to a bank account, however, it is managed through its own electronic financial wallet that is sponsored by member banks.

  “B-PESA is secure as the card utilizes the latest in chip and pin security methods to protect against unauthorized transactions. It increases safety as it reduces the requirement to carry large sums of cash, and is convenient as there is a large network of B-PESA branded merchants and member banks. The consumer will have convenient access to the B-PESA card, as it will be issued instantly off the shelf through the same B-Pesa branded network.

  Mr. Vermaas said the introduction of the B-PESA card will help by reducing circulation of cash in the Tanzanian market and transform the country into a cash-lite society once fully implemented.

  He mentioned some examples of the B-PESA cards being rolled out into the market, being the generic B-PESA card for general use, the MAFUTA card for fuel consumers and the ADA Card for all school fees and school related expenses.

  “We also have the B-Pesa Salary Card and the Mafao Card coming soon. With the Mafaocard pensioners can receive their pension payments directly into their card wherever they are and then spend at B-Pesa branded merchants and ATM’s.

  Speaking at the same event, SBS Board Member; DrEdmund Mndolwa, said the B-Pesa product is both a card and a mobile wallet, which caters for the entire supply chain ecosystem, starting from the consumer to the retailer to the distributor and finally to the manufacture.

  “You can access your card from your mobile phone as well as from the internet. B-Pesa is a community and loyalty driven product which focuses on specific payment opportunities in a specific demographic group,” he said.
  He mentioned that the B-Pesa value proposition is about creating a solution for every layer of the value chain, thus, creating an environment of sustainability, security and convenience.

  Dr. Mdolwa said the introduction of this payment system will create substantial benefit to Tanzanian traders as they will not need to look for foreign currency when buying goods abroad, because B-PESA will soon be accepted at all UnionPay  International points worldwide, after B-PESA and UnionPay signed an agreement of cooperation during the event.    

  Many banks have expressed interest in partnering with SBS to start issuing B-PESA cards to their customers, where both Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited Managing Director Mr. Yohane Kaduma and The People Bank of Zanzibar Mr. Ame Makame   who is the deputy Managing Director expressed their excitement about the product and its attributes and indicated their desire to swiftly launch the product in their environment.

  0 0


   Wananchi wakijaribu kufukua udongo ili kuopoa  miili ya watu walofukiwa na kifusi katika machimbo ya Moramu eneo la Pumwani wilaya ya Moshi vijijini huku wananchi wengine wakishuhudia
   Uongozi wa mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ukishuhudia zoezi la ukoaji wa miili ya watu hao.
   Juhudi za kuokoa waliofukiwa zikiendelea
   Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T 167 AQG ambalo marehemu wa tukio hilo walikuwa wakijaza Moramu likiwa limeangukiwa na ngema iliyokatika na kusababisha vifo vya watu sita. Kwa picha zaidi zilizopigwa na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii  mkoa wa Kilimanjaro BOFYA HAPAolder | 1 | .... | 294 | 295 | (Page 296) | 297 | 298 | .... | 3278 | newer