Quantcast
Are you the publisher? Claim or contact us about this channel


Embed this content in your HTML

Search

Report adult content:

click to rate:

Account: (login)

More Channels


Showcase


Channel CatalogChannel Description:

Most read Swahili blog on earth

older | 1 | .... | 261 | 262 | (Page 263) | 264 | 265 | .... | 3285 | newer

  0 0

  Mwenyekiti wa Kamati ya BUNGE, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Edward Lowassa akimsikiliza mmoja wa wajumbe wa kikao alichokiongoza wakati alipokutana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania jijini Stockholm,Sweeden.Waliohudhuria kwenye kikao hicho ni Balozi Muhammed Mzale,Mhe. Juma Nkamia,Mhe. Suzanne Lyimo,Bw. Jacob Msekwa,Bw. Athuman Brambath,Bw. Yusuf Mndolwa,Bw. Arthur Mwambene na Bi Apronia Rutaihwa.Kikao hicho kimefanyika leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Ubalozi huo.

  0 0
 • 09/21/13--05:30: Suzuki-Samurai inauzwa
 • Gari ndogo aina ya Suzuki-Samurai inauzwa,ipo katika hali nzuri kama ionekanavyo pichani.
  Bei ni maelewano kwa anaehitaji
  contact 0713-410316


  0 0

  Masked gunmen stormed an upmarket mall in the Kenyan capital Nairobi on Saturday and sprayed gunfire on shoppers and staff, killing at least six, AFP reporters and witnesses said.


  Several attackers and trapped civilians were believed to still be inside the large four-storey shopping centre more than two hours after the attack began, and heavy fire was heard as police units moved in.

  Police and ambulances surrounded the Westgate mall, which is popular with wealthy Kenyans and expatriates and would have been packed with families on a sunny weekend day.

  Terrified people could be seen running away from the compound clutching children while others crawled along walls to avoid stray bullets.

  Kenneth Kerich, who was shopping when the attack happened, described scenes of panic.

  “I suddenly heard gunshots and saw everyone running around so we lay down. I saw two people who were lying down and bleeding, I think they were hit by bullets,” he said.

  “Initially we thought it is police fighting thugs. But we could not leave until when officers walked in, shot in the air and told us to get out.”

  The motive of the attack was not immediately clear, but Kenyan media said the attackers, who witnesses said were black-clad and masked, may have been either armed robbers or “terrorists”.

  An AFP television journalist saw three bodies laid out in front of the mall, their heads covered, and two more bodies inside.

  An eyewitness who survived the assault by gunmen said he saw the body of a child being wheeled out of the mall.

  “The gunmen tried to fire at my head but missed. At least 50 people were shot. There are definitely many casualties,” a mall employee, Sudjar Singh, told AFP.

  “I saw a young boy carried out on a shopping cart, it looked like he was about five or six. It looked like he was gone, he was not moving or making any noise.”

  SOURCE : CAPITAL NEWS

  0 0

  Kesho jumapili 22.9.2013 kuanzia saa nne asubuhi pale kwenye hotel ya Lamada Hotel & Apartments, kutakuwepo na usaili ( auditions) kwa ajili ya shindano jipya la Tanzania Top Model linalotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu hapa hapa Dar es salaam. Usaili huu utakuwa ni mwendelezo wa usaili uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika miji ya Mwanza, Musoma na Sirari ambapo wanatafutwa wanamitindo 20 watakao jiunga na kambi ya taifa ya Tanzania Top Model.

  Tunatoa mwito kwa Wanamitindo wa mikoa ya Morogoro, Pwani, Lindi,Mtwara na Dar es salaam kujitokeza kwa wingi kwenye usaili huu ili waweze kupata nafasi ya kushiriki na ikiwezekana kushinda taji la Tanzania Top Model na kuwakilisha nchi yetu kwenye mashindano ya Top Model of the World mwakani.

  Washiriki watakaobahatika kuchaguliwa na kujiunga na kambi ya Tanzania Top Model ambayo itakuwa ni tamthilia halisi ya kwenye Luninga, watafundishwa mambo mbali mbali na kutafutiwa mikataba.

  Imetolewa na

  Jackson Kalikumtima
  Mwenyekiti mtendaji

  0 0

  East African Community Headquarters, Arusha, Tanzania; 20 September 2013: East African Community Secretariat, Arusha, 19 September 2013: Five Regional Economic Communities in the Eastern, Southern Africa, and Indian Ocean region, namely COMESA, EAC, IGAD, and IOC, today concluded a three-day joint mission to Brussels, Belgium to discuss with the European Union’s External Action Service (EEAS) and the European Commission’s Development Cooperation Office (DEVCO) how to deepen and consolidate the cooperation and gains so far made among and between the parties.

  Amb. Dr. Richard Sezibera, Secretary General of the East African Community; Amb. Jean Claude de L’Estrac, Secretary General of the Indian Ocean Commission; Mr. Sindiso Ndema Ngwenya, Secretary-General of the Common Market for Eastern and Southern Africa (COMESA); and Amb. Eng. Mahboub Maalim, Executive Secretary of IGAD led the respective organization’s officials. In attendance were also officials from the Southern African Development Community (SADC).


  0 0


  0 0

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ubalozi wa  Tanzania katika umoja wa Mataifa New York nchini Marekani wakati alipowasili New York Marekani leo akitokea Toronto Canada alikotunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontarion.Picha na Freddy Maro

  0 0

  R.I.P LILIAN NABURI Bwana Ametoa na bwana ametwaa jinalake libarikiwe   Tuungane jumatatu kumsindikiza mpendwa wetu
  Marehemu Lilian Naburi
   
  Familia ya Mzee Geofrey Naburi wa Nguvumali Tanga inatangaza kifo cha Binti yao Mpendwa Lilian Naburi kilichotokea Arusha Jumatano ya tarehe 18/09/2013. 
  Mazishi yanategemewa kufanyika Jijini Tanga siku ya Jumatatu ya tarehe 23/09/2013 katika makaburi ya Bombo.
  Kwa mawasiliano zaidi unaweza ukawasiliana na kaka wa marehemu
  Ndugu Ben Naburi kwa namba ya simu +255 713 563003
  Blog hii inaungana na familia katika 
  kipindi hiki kigumu cha majonzi.
   
  Bwana alitoa na Bwana 
  ametwaa jina la Bwana lihimidiwe
  AMINA

  0 0

   Wanamichezo wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya umma wakiingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
    Wanamichezo wa Wizara ya Nishati na Madini wakiingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
    Wanamichezo wa GST wakiingia uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
    Wanamichezo wa Bunge Sports Club wakiwa uwanjani wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)
   Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Lephy Gembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI) uliofanyika leo  katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma

   Mwenyekiti wa Shimiwi Taifa Daniel Mwalusamba akimkaribisha mgeni rasmi kuongea na wanamichezo

  Wafanyakazi wa  Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI) leo mjini Dodoma.
  Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Amos Makala akiwa katika uwanja wa Jamhuri leo  mjini Dodoma wakati wa ufunguzi wa michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wafanyakazi wa Wizara,Idara na Asasi za Serikali(SHIMIWI)

  0 0

  Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akiwa katika picha ya pamoja na Wanachuo kutoka Afrika Mashariki Wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Ghent cha Ubelgiji alipowatembelea kuwajulia hali hapo chuoni.

  0 0


  0 0

  Redd's Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni mshindi wa tatu,Clara Bayo.

   Warembo walioingia hatua ya kumi na tano bora. 
   Jaji Mkuu wa Shindano la Redd's Miss Tanzania,Dkt. Ramesh Shah akitangaza Warembo walioingia hatua ya tano bora.
  Warembo walioingia hatua ya tano bora,toka shoto ni Happiness Watimanya,Elizabert Peter,Clara Bayo,Lucy Tomeka pamoja na Latifa Mohamed.


  0 0

  Na Kenneth Kinonko 
  wa Globu ya Jamii, Nairobi
  Magaidi wa kundi la Al Shabaab limesema kuwa linahusika na shambulio katika jumba la maduka la Westgate jijini Nairobi mchana wa Jumamosi Septemba 21, 2013 ambalo limeacha zaidi ya watu 30 kuuwawa. 
  Kupitia ujumbe wao katika mtandao wa twitter, kundi hilo limesema shambulio hilo ni ujumbe kwa Serikali ya Kenya kuitaka iondoe majeshi yake yote kutoka Somalia. Kundi hilo pia limedai kuwa limeua watu zaidi ya idadi inayotajwa na vyombo vya usalama vya Kenya.
  Hata hivyo, Waziri wa mambo ya Ndani wa Kenya Joseph Ole Lenku amesema serikali bado haijabaini ni nani wamehusika na shambulio hilo. 
  Wakati huo huo idadi ya watu wanaosadikiwa kuuwawa imetajwa kuwa ni 30 na zaidi ya 50 wamejeruhiwa.

  Askari kanzu na mtoto wake mkononi akishikilia tumbo baada ya kujeruhiwa
  Wateja wakihaha ndani ya duka hilo
  Askari kanzu wakitafuta magaidi chumbha hadi chumba
  Watu wakitembea kwa magoti na mikono mbele ya mwenzao mmoja ambaye inaonesha amedhakufa
  Askari kanzu na mtutu wake mkononi akimuokoa mtoto na mwanamke kutoka eneo la tukio katika picha hii nadra ambayo inaeleza kila kitu.
  Kwa mapicha zaidi BOFYA HAPA

  0 0
 • 09/21/13--14:17: Ankal na wadau Canada
 • Ankal akiwa na wadau Ontario, Canada, leo ambako amefarijika kuambiwa kuwa wao bila Libeneke la Globu ya Jamii siku haianzi wala haiishi. Asanteni wadau kwa kampani yenu

  0 0
 • 09/21/13--14:41: KUMBUKUMBU
 • MAMA AGNES T. ANDREA WENGAA: 
  20/09/2012 - 20/09/2013

  Mama,  tarehe 20/09/2013 umetimiza Mwaka Mmoja tangu Mwenyezi Mungu alipokutwaa toka hapa Duniani.

  Kila siku ipitayo tunaona kama ni jana tuu. Unakumbukwa sana na mume wako,watoto wako,wakwe zako,wajukuu,wadogo zako,ndugu,jamaa na marafiki wote.

  Sote Tunakuombea sana upumzike kwa Amani-Milele.

  WARUMI 14: "Kwa maana kama tukiishi,twaishi kwa Bwana,au kama tukifa twafa kwa Bwana. Basi,kama tukiishi au kama tukifa tu mali ya Bwana".

  BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

  Tunakupenda sana mama

  Your son Desderi J Wengaa

  0 0


  By Dr. N. T. Jiwaji


  Email: ntjiwaji@yahoo.com


  September is a month of balance for the world.  The most differentiating aspect around the world, astronomically speaking, is the length of a day in different parts of the world.  While in the North and South polar regions, length of day can be zero (i.e. Sun does not rise) during  half the year, during the other half, the Sun does not set so there are never ending days.  Even in equatorial regions, lengths of days can be noticeably different during cool and warm months.


  However, on Monday 23rd September, we will witness one of the two times during the year that length of day and night is exactly equal.  This is the day of the equinox.  The September equinox is called the southern equinox, to differentiate it from the March equinox, also called the vernal equinox or the northern equinox. To read more CLICK HRE

  0 0

            Understanding Africa through Film

      70 films from 20 countries in 7 days 
  (25 November to 1 December 2013)

  0 0
 • 09/21/13--20:00: ngoma azipendazo ankal
 • Ngoma ya Tabu Ley Rochereau ya "Mokolo Nakokufa" inaua wengi hadi leo

  0 0
 • 09/21/13--20:12: IN LOVING MEMORY
 • CLARA GASPAR-MAREALLE

  04 AUGUST 1930 – 22 SEPTEMBER 2009
  We celebrate you   

  For the time you were excited to see us;

  We celebrate you

  For the times you looked after us;

  We celebrate you

  For the strong inspiring marriage you had;


  We celebrate you

  For every Sunday lunch we had at Masaki;

  We celebrate you


  How can we forget your amazing machalari?


  Like a proud mother and grandmother you attended your seeds and their seeds' events. 


  As your children and their seeds and their seeds grow, we only wish you were here to see our achievements;


  Your 25thand youngest grandchild, Abraham is now 1.7 years old.

  The fourth generation is growing and multiplying; Shawn in his final year of Kindergarten, Felicity and RJ were blessed enough to have siblings this year.


  Ohh Bibi how they envy your family! 


  Not many can say they lived to see their grand children, but for your family had been blessed with 4 generations that have gotten to know each other.


  As Babu ages, we pray that you will be his guardian Angel.

   So until the day we can no longer do so, We shall keep on celebrating you.


  There will be memorial services on 22 September 2013:

  @ St Peter’s church, Dar es Salaam Tanzania at 09:30 am

  @Our Lady of Victory Church, Maseru Lesotho at 08:00 am

  @Holy Saviour Church, Addis Ababa Ethiopia at 10:00 am

  @ St Mary Immaculate Cathedral, Maili Sita, Kilimanjaro at 07:00 am and 10:00 am


  @St Anna Church Hananasif,Kinondoni Dar es salaam at 6:30 am and  8:30 am

  0 0

   
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amesema kuwa serikali yake inajitahidi katika kuboresha hali ya uzalishaji wa bidhaa nchini Tanzania, lakini bado kuna hitaji la wawekezaji kuja kuwekeza nchini Tanzania katika kuboresha huduma na bidhaa zinazopatikana nchini humo na kuziuza kama bidhaa zilizo tayari kwa matumizi badala ya bidhaa-ghafi. 

  Rais Kikwete ameyasema hayo usiku wa jumatano wiki hii wakati akiwahutubia watu waliohudhuria hafla fupi ya kukabidhi hati kwa mabalozi wa heshima wa Tanzania kutoka majimbo mbalimbali ya nchini Marekani, sherehe zilizofanyika katika Ubalozi wa Tanzania jijini Washington DC

  Sikiliza ripoti hii ambayo ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30am). Hii ilikuwa ripoti ya Septemba 21, 2013.


older | 1 | .... | 261 | 262 | (Page 263) | 264 | 265 | .... | 3285 | newer