Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110170 articles
Browse latest View live

KAGASHEKI CUP 2013: RWAMISHENYE FC YAIFUNGA KASHAI FC BAO 2-1 NA KUTINGA FAINAL

$
0
0
Mashabiki wa Timu ya Kashai wakishangilia uwanjani Kaitaba
Mashabiki wa Kashai FC
Awe kaka ...Dada hapa wote walikuwa wakiishangilia timu ya Kashai
Bao...bao.....
Mtanange ukiendelea hapa ...na hapa ni patashika kwenye goli la Rwamishenye..Timu ya Kashai ikisawazisha bao hapa kipindi cha kwanza...Kwa habari kamili na picha kibao BOFYA HAPA

BUKOBA WAFURAHIA KUTENGULIWA MAAMUZI YA KUFUKUZWA MADIWANI WANANE WA CCM

$
0
0
Diwani wa kata ya kashai ambaye pia ni mwenyekiti wa  CCM wilaya Bukoba  mjini Yusuph Ngaiza akipongezwa na wananchi muda mfupi baada ya maamuzi ya halmashauri kuu ya ya mkoa kutenguliwa

 Hongereni sana jamani, madiwani wapongezwa na wananchi Bukoba. Kwa habari kamili na picha zaidi


MWAKYEMBE AKABIDHI RASMI ITHIBATI YA KUENDESHA MAFUNZO YA WAHUDUMIAJI WA MIZIGO HATARISHI KATIKA SEKTA YA ANGA KWA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

$
0
0
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe(aliyevaa tai nyekundu), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishani (NIT),Mhandisi Dk. Zacharia Mganilwa(kulia) leo asubuhi kabla Waziri huyo hajakabidhi Ithibati ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi katika viwanja vya NIT. Kushoto  kwa Waziri wa Uchukuzi ni Mwenyektii wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT, Mama  Priscilla J. Chilipweli.
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akitoa hotuba yake kwa wahitimu na wageni waalikwa, hawapo pichani wakati wa sherehe ya kukabidhi Ithibati  ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi katika viwanja vya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) leo asubuhi.
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akikabidhi Ithibati  ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi kwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT, Mama  Priscilla J. Chilipweli huku akishuhudiwa na Mkuu wa Chuo hicho Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa (wa kwanza kushoto).
 Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, akikabidhi Ithibati  ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi kwa Mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT), Bw. Juma Fimbo leo asubuhi wakati wa sherehe maalum za kukabidhi ithibati hiyo ziliyofanyika katika viwanja vya chuo hicho. Wanaoshuhudia ni Mkuu wa Chuo hicho Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa(wa kwanza kushoto) na Mkuu Mwenyektii wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT, Ms. Priscilla J. Chilipweli( wa pili kushoto).
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe (wa tatu kutoka kulia waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji(NIT), Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa chuo cha NIT Ms. Priscilla J. Chilipweli(kulia kwa Waziri Mwakyembe),  Mkuu wa Chuo hicho Mhandisi Dkt. Zacharia Mganilwa (kushoto kwa Waziri Mwakyembe) na wahitimu wa kozi ya kuhudumia mizigo hatarishi Bi.  Dorah John (wa kwanza kulia waliosimama) na Zuhura Adam (wa kwanza kushoto waliosimama) wakati wa sherehe za kukabidhi rasmi Ithibati  ya Kuendeshea mafunzo ya wahudumiaji wa Mizigo hatarishi pamoja na kutunuku vyeti kwa wahitimu wa kozi hiyo. Wa kwanza kulia waliokaa ni Mkurugenzi wa Huduma za Uchukuzi Wizara ya Uchukuzi, bw. Peter Lupatu. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-UCHUKUZI

House to let at Mbweni in Zanzibar

$
0
0
The  house is located at Mbweni  in Zanzibar. Both floors are  with sitting rooms, living rooms, kitchens and  each floor is independent to the other with 3 bedrooms.
contact no is 0777-493-700/0712-332-631

DIAMOND AKIHOJIWA NA NTV JIJINI NAIROBI, KENYA

Article 13

wahitimu 40 wa mafunzo ya ulinzi shirikishi kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni jijini Dar wakabidhiwa vyeti vyao

$
0
0
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akimkabidhi cheti cha shukrani Mkuu wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni, Koplo Ibrahim Omari wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kulia) akimkabidhi cheti, Mtendaji wa Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni , Husna Nando wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kushoto) akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya Ulinzi shirikishi na wakati wa Kata ya Maakumbusho wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu hao Mwananyamala jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni, Koplo Ibrahim Omari akitoa shukrani kwa Mkuu wa Wilaya Jordan Rugimbana kwa kupisha zoezi la kutoa mafunzo ya ulinzi shirikishi kuwa la Wilaya nzima wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salam jana.
Baadhi ya Polisi jamii wa Barabara ya Kilwa,wakiwa kwenye gwaride na mbwa waliopewa mafunzo maalumu ya ulinzi shirikishi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi wa Kata ya Makumbusho Mwananyamala Kinondoni jijini Dar es Salaam jana.Picha na Michael Machellah

ngoma azipendazo ankal

$
0
0
Enzi hizo debe lilikuwa halikamiliki bila ngoma hii ya Five Star ya 'All Fall Down'

'live at Melmoz' HOKO RORO at Melmoz Jazz in Kawe tonight

$
0
0
Dear All,
Tonight, Thursday 15 August 14, at 21.00 ‘Live at Melmoz’
Hoko Roro
an African Acoustic band with
Samuel Hokororo – Lead singer / guitar
Chief Twaba –percussion
Ilali Mohamed – Calabash / backing vocals
Jan van Esch – backing vocals
free entrance

Inline image 1
Directions

Melmoz Jazz is in Kawe in Dar es salaam off 
Old Bagamoyo Road  near TPDF Golf Club
Take the first left after the Royal Bakery as you head to Kawe roundabout.
Follow the road and take the next left followed by a right after the bend. Melmoz is straight ahead

Two-days SADC Council of Ministers Meeting officially kicks off in Lilongwe, Malawi

$
0
0
Malawi this year hosts the 33rd Southern Africa Development Community (SADC) Heads of State and Government Summit at Bingu International Conference Centre in Lilongwe, Malawi scheduled to begin on the 17th - 18th of August, 2013.  H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania is expected to attend, where he will end the one-year tenure of Chairmanship of Troika-SADC (organ of Politics, Defence and Security) and handover to Namibia. (This photo by Tagie Daisy Mwakawago)
The two-days SADC Council of Ministers Meeting kicks off earlier today in Lilongwe, Malawi where Hon. Bernard K. Membe (MP)(7th front - left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation is also among the participants.  Tanzania has been a Chair of the Troika-SADC (organ of Politics, Defence and Security) for one year and this week marks the climax of  chairmanship, whereby Namibia is expected to be the next Chair. 
 Hon. Oldemiro Baloi (right), Minister of Foreign Affairs in Mozambique and the outgoing Chairperson for SADC Ministers Council greets and welcomes his counterpart Hon. Ephraim Chiume, Minister for Foreign Affairs in Malawi.  Hon. Chiume is the new Chairperson for the SADC Ministers Council. 
Dr. Tomaz Augusto Salomão, the Executive Secretary for the Southern Africa Development Community (SADC) gives his remarks during the meeting. 
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, led the Tanzania delegation in the two-days SADC Council of Ministers Meeting commenced today in Lilongwe, Malawi.  

The delegation is consisted of Hon. Dr. William Augustao Mgimwa (MP) (right), Minister for Finance, Hon. Dr. Abdallah Kigoda (MP) (left), Minister for Industry and Trade, Ambassador Rajabu Gamaha (behind 2nd left), Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and Judge Frederick Werema, Attorney General.  Others include Ambassador Ambassador Radhia Msuya, High Commissioner of Tanzania to South Africa, Ambassador Patrick Tsere, Tanzania High Commissioner in Malawi and other Government officials. 
Other participants included the delegation from Namibia, which included Hon. Netumbo Nandi-Ndaitwah (center), Minister for Foreign Affairs in Namibia.
Other participants from Mozambique.
Participants from Malawi that included Hon. Ephraim Chiume (right), Minister for Foreign Affairs. 
Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation in a bilateral discussion with his counterpart Hon. Netumbo Nandi-Ndaitwah, Foreign Affairs Minister of Namibia.  Also in the meeting is Ambassador Radhia Msuya, High Commissioner of the United Republic of Tanzania in South Africa.  This photo by Tagie Daisy Mwakawago. All other photos are by Ms. Thoko Chikondi of Malawi 

SWAHILI TV EXCLUSIVE INTERVIEW WITH ARMY NANDO MSHIRIKI TOKA TANZANIA ALIYESHIRIKI BBA "THE CHASE" SEASON 8

$
0
0
Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na  Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California, aliyeshiriki   Big Brother Africa season 8 "The Chase" na hatimaye kutolewa .  Katika video hii Nando amefunguka kuhusu kilichomfanya atolewe mjengoni, maisha ya mle ndani na pia ameweka bayana mipango yake ya baadaye, nini kinachofuata baada ya BBA.
Kwa interview zaidi tembelea
www.swahilitv.blogspot.com
www.swahilitv.info

Congo Legislator Gets 3 Years for Radio Comments

$
0
0

KINSHASA, Congo August 14, 2013 (AP)  

A legislator from eastern Congo has been sentenced to three years in prison after making critical comments about governmental authorities during a radio broadcast.  

Muhindo Nzangi was accused of breaching state security after making the comments on private station Radio KivuOne.

In the verdict handed down late Tuesday, he was acquitted of more serious charges against him that carried a possible 20-year sentence.

Defense attorney Ruffin Lukoo said Nzangi's sentence is alarming and undermines democracy in this Central African country.Nzangi hails from Goma in eastern Congo, where the Congolese army and United Nations forces are stepping up their efforts against rebel groups. 

Goma briefly fell into the hands of M23 rebels last November and those fighters have said they're not ruling out another attack.

BENKI YA CRDB YAZINDUA MPANGO WA UTOAJI MIKOPO YA NYUMBA 'JIJENGE'

$
0
0

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa wakati wa uzinduzi wa mikopo ya nyumba ijulikanayo kwa jina ya ‘Jijenge’ itakakayoanza kutolewa na benki hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam. 
Meneja wa benki ya CRDB anayeshughulikia mikopo ya nyumba 'Jijenge,' Silas Katemi akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mikopo hiyo.

 Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB wakiwa na waalikwa katika hafla hiyo. Kwa habari kamili na picha BOFYA HAPA

marukufuku matumizi ya mifuko ya plastik hapa nchini - Dkt. Terezya Huvisa

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Mamaku wa Rais Mazingira,Dkt. Terezya Huvisa akizungumza na waandishi wa habari ofisin kwake jijini dar es salaam leo kuhusu tamko la serikali la upigaji marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki hapa nchi.(Picha na Ofisi ya Makamu ya wa Rais.)

Na Ofisi ya Makamu wa Rais

Serikali imepiga marufuku ungizaji, utengenezaji, uuzaji, na utumiaji wa mifuko ya plastiki. hayo yameelezwa na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais(mazingira) Dk Terezya Huvisa alipokuwa akizungumza na waandishi ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.

Dkt. Hufisa ameeleza kuwa Serikali imehamua kuchukua hatua hii ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo la kusambaa na kutapakaa kwa taka za mifuko ya plastiki ambayo baada ya matumizi yake huishia kwenye uchafuzi wa mazingira .

Alisisitiza kuwa, Zuio hili linahusu mifuko yote ya Plastiki ya kubebea bidhaa toka madukani, sokoni na majumbani isipokuwa mifuko yenye unene wa maikroni mia moja inayooza (bio-digradable) na vifungashio vya bidhaa mbali mbali kama vile vifaa vya mahospitalini.

“Marufuku hii inapaswa kuzingatiwa na wenye viwanda, wenye maduka na wananchi kwa ujumla ili kutokomeza kuenea kwa taka zinazotokana na mifuko ya plastiki kwenye mazingira.” Alisema.

Dkt Hufisa aliendela kusema kuwa, Jitihada zinatakiwa zifanywe ili kuhakikisha kuwa marufuku hii inazingatiwa, na misako ya watu wanaofanya biashara ya mifuko hii ifanyike katika maeneo yote ndani ya nchi yetu, na watakaokiuka wachukuliwe hatua, ikiwa ni pamoja na kufanikishwa katika vyombo vya sheria .

Imeelezwa kuwa madhara yanayosababishwa na mifuko ya plastiki ni pamoja na uharibifu wa udongo unaotokana na kuunguzwa kwa plastiki hizi na hivyo kusababisha madhara ya kiafya kwa binadamu na wanyama ,kutooza kiurahisi wa njia za kiasili (non-biodegradable) kuzagaa katika mito, maziwa, bahari na nchi kavu hivyo kuhatarisha maisha ya viumbe hai wanaoishi katika mazingira.

BFT kukabidhiwa vifaa kwa timu ya taifa ya ngumi kwa maandalizi ya mashindano ya kimataifa

$
0
0
Mkurugenzi wa St. Merry School na New Palm Hotel iliyopo Bagamoyo, Ndugu Mutta Rwakatale kesho ijumaa, saa 6.30 Mchana katika ofisi za Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT) zilizopo karibu na uwanja wa ndani wa Taifa (indoor stadium) atatoa vifaa vya mazoezi na nauli kwa wachezaji wa timu ya taifa inayofanya mazoezi uwanja wa taifa wa ndani kwa ajili ya maandalizi ya kushiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa, tukianzia kushiriki mashindano ya ubingwa wa Afrika yatakayofanyika kuanzia Sept. 01-07/2013 nchini Mauritius, Mashindano ya Jumuiya ya Madola 2014, Mashindano ya Afrika 2015 Mashindano ya Olimpiki 2016 na mengine mengi.

BFT tumefurahishwa mno na mwitikio wa Mkurugenzi huyo kwa kusikia na kuguswa kuhusu timu ya taifa ya ngumi na BFT tunaona msaada huo umekuja kwa muda mwafaka kwa kuwa timu yetu ya taifa inafanya mazoezi katika hali duni, kwa kutumia vifaa ambavyo vimechakaa, lakini pia wachezaji walikuwa wanafika mazoezini kwa kujitolea wao kama wao kwa nauli zao, hivyo tunaamini msaada huo utaleta hamasa zaidi kwa wachezaji kipindi hiki kilichobakia kabla ya kwenda kushiriki mashindano ya ubingwa wa Afrika nchini Mauritius, kwani tunaamini sasa ratiba ya makocha itafanyika kama walivyopanga na wachezaji wataweza kufika wote mazoezini na kwa wakati.

BFT tunawaomba watanzania wengine wajitokeze zaidi kusaidia timu yetu ya taifa ili uwakilishi katika mashindano ya kimatifa uwe wenye tija.kwa kuzingatia kuwa watanzania wote ndio wanachohitaji na ili kitimie mabondia lazima tuwaandae vema.

Pia naomba sana vyombo mbalimbali vya habari kujitokeza katika hafla hiyo fupi kwa nia ya kuhamasisha ili watanzania wengine kujitokeza kuendelea kusaida zaidi maana bado msaada unahitajika wa vifaa vya mazoezi, matibabu, chakula, maji,nauli, nguo za mazoezi na posho

Natanguliza shukrani
Makore Mashaga
KATIBU MKUU.

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA TBL WAFANA

$
0
0
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa TBL pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (wa pili kushoto), akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na Wanahisa katika Mkutano Mkuu wa  40 wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Company Secretary wa TBL, Huruma Ntahena, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya na Mshauri wa kampuni hiyo, Phocas Lasway.
 Ofisa Sheria wa TBL, Huruma Ntahena akifafanua kuhusu gawio la hisa kwa wanahisa mwaka huu.
 Baadhi ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo

TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF) LEO

KIBONZO CHA NATHAN MPANGALA LEO

wasanii watakaotumbuiza tamasha la fiesta 2013 mkoani kigoma wazuru kaburi la marehemu albert Mangwea mapema leo mkoani morogoro.

$
0
0
 Baadhi ya Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva ambao wanakwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Fiesta 2013,linalorajiwa kufanyika Agosti 17,kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma a.k.a Mwisho wa Reli wakiwa kwenye kaburi la Msanii mwenzao,Marehemu Albert Mangwea mapema leo asubuhi kwenye makaburi ya Kihonda,nje kidogo ya mji wa Morogoro, walipokwenda kuzuru na kumuombea dua,walipokuwa wakielekea Mkoani Kigoma.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen-

MWAMAKULA VS MOMBA KUMALIZA UBISHI JUMAPILI HII

$
0
0

Bondia Sadiki Momba kushoto akitunishiana misuli na Amos Mwamakula baada ya kupima uzito jana  kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Taifa PST utakaofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa friends corner ManzeseDar es salaam 
Bondia Sadiki Momba kushoto akitunishiana misuli na Amos Mwamakula baada ya kupima uzito jana  kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa Taifa PST utakaofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa friends corner ManzeseDar es salaam 

Bondia Habibu Pengo kushoto akitunishiana misuli na Iddy Mkwera baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofaNyika Manzese Dar es salaam siku ya jumapili.picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Viewing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images