Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110171 articles
Browse latest View live

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MKUTANO MKUU WA TISA WA CCM KATIKA UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE CONVETIONAL CENTRE MJINI DODOMA

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia kwa kugonga mkono pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakijiandaa kupiga kura za kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wakipiga kura ya kumchagua Mwenyekiti wa CCM katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wa tatu kutoka (kushoto), Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein wa nne kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete wa kwanza (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi wa pili kutoka (kushoto), Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa wa pili kutoka kulia wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kufungua mkutano wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika mjini Dodoma.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM pamoja na wageni mbalimbali katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetional Centre Mjini Dodoma


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kufungua mkutano wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano huo wa tisa uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipiga kura kwa moja ya wagombea katika mkutano huo wa tisa.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kupiga kura zao kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi hao.
Wanachama wa CCM wakiburidika kwa kucheza nyimbo mbalimbali katika mkutano huo wa tisa.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Mke wa Hayati Baba wa taifa, Mama Maria Nyerere katika mkutano huo wa Tisa wa CCM uliofanyika mjini Dodoma.

PICHA NA IKULU

NAIBU WAZIRI MHE.MANYANYA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA VIDEO CONFERENCE

$
0
0
Naibu Waziri Mhe. Injinia Stella Manyanya afungua rasmi mkutano kwa njia ya Mtandao yaan (Video Conference) wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji na Mamlaka za mikoa na Halmashsauri za Wilaya kuhusu masuala ya sekta ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji pamoja na taasisi zake leo Tarehe 18 – 20 Disemba, 2017 na kuunganisha wadau kutoka mikoa ya Mbeya, Songwe, Kilimanjaro, Ruvuma, Kigoma, Lindi, Singida, Pwani na Dodoma.

Mhe. Naibu Waziri aliwashukuru Makatibu Tawala wa Mikoa, Wasaidizi wao na Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya ambao wameitikia wito pamoja na wataalamu na maafisa mbalimbali.

Wizara ilianza na taasisi yake ya BRELA ambayo ilielezea majukujumu yake na huduma mbalimbali wanazotoa kwa umma na kutoa fursa ya wadau kutoka mikoa yote iliyoshiriki walipata fursa ya kuuliza maswali na kujibiwa papo kwa papo

HALI YA UZALISHAJI UMEME VITUO VYA PANGANI HYDRO SYSTEM VIKO KATIKA HAKLI NZURI; MHANDISI MAHENDA

$
0
0
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Korogwe

VITUO vya uzalishaji umeme wa maji vya Pangani Hydro Systems, ambayo inahusisha vituo vitatu, New Pangani, kilichoko wilayani Muheza, Hale wilaya ya Korogwe, na Nyumba ya Mungu wilaya ya Mwanga, vyenye uwezo wa kuzalisha umeme jumla ya Megawati 97, viko katika hali nzuri, Meneja wa vituo hivyo, Mhandisi Mahenda S. Mahenda, amesema Leo Desemba 18, 2017.

Hata hivyo amesema, mashine moja kati ya mbili kwenye kituo cha Hale, haifanyi kazi na iko katika matengenezo. “Niwahakikishie tu kwamba matengenezo hayo ambayo bado hayajaanza hayataathiri upatikanaji umeme kwa sababu vyanzo vya umeme vimeongezeka.” Alisema.Akifafanua zaidi Mhandisi Mahenda alisema, New Pangani Falls inazalisha umeme Megawati 68, Hale Megawati 21, na Nyumba ya Mungu Megawati 8 na uwezo wa vituo kutoa umeme wa kutosha.

Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari waliotembelea vituo vya Hale na New Pangani Falls Mhandisi Mahenda, alisema, kituo cha Hale kilijengwa mnamo mwaka 1961 na kuanza kufanya kazi mwaka 1964 na kuwa kituo cha kwanza kabisa cha kuzalisha umeme wa maji katika historia ya nchio yetu. 

“ Utaona umri wa mitambo hiyo ni miaka 53, na moja ya mashine hizo imeharibika na kufanya uwezo wa kituo wa kutoa Megawati 21, kupungua hadi Megawati 8, lakini niwahakikishie wananc hi licha ya upungufu huo, bado TANESCO inao uwezo wa kuzalisha umeme unaohitajika, kwani vyano vya umeme vimeongezeka.” Alisema. 
Mhandisi Mahenda S. Mahenda, Meneja wa Vituo vya uzalishaji umeme wa maji vya Pangani Hydro Systems, vinavyohusisha inahusisha vituo vitatu, New Pangani, kilichoko wilayani Muheza, Hale wilaya ya Korogwe, na Nyumba ya Mungu wilaya ya Mwanga, vyenye uwezo wa kuzalisha umeme jumla ya Megawati 97
Valvu ya kupitisha maji yanayopelekwa kwenye mashine za kufua umeme, kwenye kituo cha nguvu za umeme cha Hale ikivuja. Mhandsi Mahedna alielezea hali hiyo kuwa haina taathira kubwa na inatokana na mashine hizo kuwa na umri mrefu Zaidi.
Bwawa la maji Pangani Pangani Falls.
Kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha New Pangani Falls cha 132 kV.

PANGANI COUNCIL AND OTHER GOVERNMENT ORGANS WARNED AGAINST PUTTING HITCHES ON THE WORK OF UZIKWASA

$
0
0
Pangani District Council and other Government organs have been advised against putting hurdles on the work of a non-government organization, UZIKWASA that is spearheading efforts to change traditional mindsets that hinder people, especially women and children form speaking out freely against gender-based violence and other social abuses.

The advice was given by the Deputy Minister for Water and Irrigation, Jumaa  Awesso when he spoke at a ceremony to award best performing Village Multisectoral Aids, Gender and Leadership Committees (VMACs) held at Msaraza village in Bushiri Ward of Pangani District.

He said that UZIKWASA is responsible for changing mindsets of the people as regards gender-based violence, early marriages, early pregnancies and other social abuses in the society. “It is very difficult to separate the development of a freedom to speak out on various issues on the people and the work of UZIKWASA,” Awesso, who is also the Member of Parliament for Pangani, pointed out.

He said that he know that the organization has some challenges that hinder its work and called oin the Council and other Government organs to work closely with UZIKWASA which is spearheading the transformation of a society that was previously regarded as having fear of speaking out.

Awesso said that the Pangani society would suffer a heavy loss if it cuts down the work of the organization which has trained village leaderships on responsible and transformative leadership and enabled people to speak out on abuses that have been going for years in the society.

He said the work of the organization has had an impact on increase in reported cases of rape and oithe abuses in the district. He said the number of cases that have been reported this was 58 but 38 out of them have been stalling because culprits have been reported to escape.

FOR MORE NESW CLICK HERE

WATANZANIA WAASWA KUPENDA BIDHAA ZA NDANI

$
0
0
Watanzania wameshauriwa kupenda kununua bidhaa zinazozalishwa nchini ili waweze kukuza soko la ndani na uchumi kwa ujumla.

Hayo yamesemwa na Meneja Masoko, Tafiti na Maendeleo wa BANK OF AFRICA (BOA), Muganyizi Bisheko, wakati alipokua akikabidhi msaada wa vyerehani kwa Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Alisema ili uchumi wa nchi wanchi ukue haraka, watanzania wanapaswa kubadili mitazamo ya kudhani kuwa bidhaa za nje ni bora kuliko bidhaa za ndani, jambo ambalo si sahihi.Alisema katika kipindi hiki cha sayansi na teknolojia, Watanzania wengi wamepiga hatua katika uboreshaji wa shughuli zao, jambo ambalo limechangia kuwepo kwa bidhaa bora zinakubalika katika soko la ndani nan je ya nchi.

“ ifike wakati Watanzania tunapaswa kubadili mitazamo yetu na kuamini kuwa, bidhaa zinazozalishwa nchini zina ubora unaokubalika, jambo ambalo linachangia kupata masoko ya ndani na njke ya nchi”, alisema Bisheko.

Alisema Benki hiyo inashirikiana na wadau mbalimbali wakiwamo wamiliki wa vyuo na viwanda vidogo ili kuhakikisha wanaboresha shughuli zao na kujiongezea kipato.Naye Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Oystebay, Sister Getrude Amandus, alisema chuo hicho kinatoa mafunzo ya ufundi ili kuwawezesha vijana kujiajiri.Meneja Masoko, Tafiti na Maendeleo wa BANK OF AFRICA (BOA), Muganyizi Bisheko, akikabidhi msaada wa vyerehani kwa Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi kilichnopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Wadau Wa Michezo Jitokezeni kuibua Vipaji Vya Michezo Mikoani-Mhe.Shonza

$
0
0

*Na Lorietha Laurence-WHUSM, Mbeya Vijijini*

Naibu Waziri wa Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza ametoa wito kwa wadau wa michezo nchini kujitokeza kwa wingi kudhamini mashindano ya michezo kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili kutengeneza wachezaji bora watakaowakilisha Taifa katika mashindano mbalimbali ya kimataifa.

Mhe. Shonza ameyasema hayo alipokuwa akifunga mashindano ya Jimbo yaliyoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo Mhe.Oran Njeza katika Wilaya ya Mbeya Vijijini.“Napenda kuelekeza shukrani zangu za dhati kwa Mbunge wa Mbeya Vijijini Mhe.Njeza kwa kuona umuhimu wa kushirikiana na Serikali katika kuibua vipaji vya mpira wa Miguu” amesema Mhe. Shonza

Aidha, Mhe. Shonza alisema kuwa amefurahishwa zaidi kwa kuona mashindano hayo yameshirikisha watoto wa kike wanaocheza mpira wa miguu.Mhe. Shonza alisema wanambeya wanahaja ya kujivunia vipaji walivyobarikiwa kwa kuwa na wachezaji hodari wa mpira wa miguu, wanariadha, waigizaji na waimbaji wa muziki.

“Kwa hakika Mbeya mmebarikiwa kuwa na vipaji vingi nami naahidi kuwa Wizara yangu itashirikiana kwa karibu na wadau wa michezo kuhakikisha tunafika mbali ” amesema Mhe. Shonza.Pia Naibu Waziri Shonza amelitaka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)kufanya ziara katika mikoa mbalimbali ya Tanzania ili kuibua vipaji vya wachezaji watakaosaidia kuunda timu nzuri ya vijana chini ya miaka 17.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (Katikati) akiwakabidhi washindi wa kwanza wa timu ya Iyanya Kombe la Jimbo Cup (Njeza Cup) ambapo Inyala iliibuka mshindi wa magoli mawili kwa moja dhidi ya Ilunga hapo jana Mbeya Vijijini.Picha na Lorietha Laurence-WHUSM

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza akiongea na wakazi wa Mbeya Vijijini waliohudhuria ufungaji wa Mashindano ya Jimbo Cup (Njeza Cup) jana Vijijini hapo.
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini Mhe. Oran Njeza akiongea wakati wa ufungaji wa mashindano ya Jimbo Cup (Njeza Cup) mashindano ambayo ameyaratibu yeye na kushirikisha vijiji takribani 200 na kata 30.
Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (Kulia) akimpa mkono wa pongezi kiongozi wa Garant Queens Naomy Mbwili wakati wa ufungaji wa Mashindano ya Jimbo Cup (Njeza Cup) jana Mbeya Vijijini.
Naibu Waziri wa Habari ,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (Kulia) akimpa zawadi ya fedha kiasi cha laki Tano kiongozi wa timu ya Ilunga David Costa (Kushoto walioibuka washindi wa pili wa Jimbo Cup (Njeza Cup) jana Mbeya Vijijini.

KUMBILAMOTO AKABIDHI PIKIPIKI KWA KUNDI LA VIJANA WAJASILIAMALI VINGUNGUTI

$
0
0
 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto akizungumza na Wakazi wa Vingunguti juu ya namna alivytokeleza ahadi zake kwa kata hiyo alizoahidi wakati wa uchaguzi kabla ya kuchaguliwa katika kipindi cha Miaka miwili iliyopita
  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto akikabidhi pikipiki kwa kikundi cha Vijana wajasiliamali kinachojulikana kwa jina la Watoto Pori hili iweze kuwasaidia katika kutunisha mfuko
 Kundi la Vijana wajasilimali wa Kata ya Vingunguti lijulikanalo kama Watoto pori wakifurahi mara baad aya kupokea pikipiki yao aina ya Boxer kutoka kwa  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto
Wananchi waliofika katika mkutano wa  Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Vingunguti, Omary Kumbilamaoto alipokuwa akitoa maelezo ya nini amefanya ndani ya Miaka miwili na kukabidhi pikipiki kwa watoto pori

‘AU REVOIR’ GCAM CREDIT SCORING TEAM

$
0
0
Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) has paid a farewell to the delegation from Group Credit Agricole of Morocco (GCAM) which was in country for 11 days mission.

The delegation was in Tanzania to develop and facilitate TADB’s Credit Scoring System which is to be used in scoring small holder’s farmer’s projects as well as implementing the operationalization of the signed MoU.TADB and GCAM signed a memorandum of Understanding (MoU) in October 2016.The signed MoU intends to promote productive investments in the agriculture sector and development of agro-industrial value chain in Tanzania and Morocco.

According to the TADB Management, these objectives will be achieved through promotion of financing and support systems, especially for smallholder’s farmers.The delegation from GCAM was led by Director of Engineering and Agro business, Mr. Jalal Bouchama, other members include Chief of Agroindustry Department, Mrs. Sanae Benmali, Director of Credit Information System, Mr. Abdessamad Danguir and Ms. Sara Nachid, IT Developer.

TADB is first financial institution in Tanzania to get assistance from GCAM, which aim to enhance agricultural activities and to stabilize rural populations by improving their living standards.
Head of delegation from Group Credit Agricole of Morocco, Mr. Jalal Bouchama (left) who is a Director of Engineering and Agro business receives a souvenir from TADB Acting Managing Director, Mr. Francis Assenga (right) during the farewell ceremony in Dar es Salaam.
GCAM’s Director of Credit Information System, Mrs. Sanae Benmali (left) smiles after given a Tinga Tinga souvenir by TADB Acting Managing Director, Mr. Francis Assenga (right).
GCAM’s IT Developer, Ms. Sara Nachid (left) poses for a photo after given a Tinga Tinga souvenir by TADB Acting Managing Director, Mr. Francis Assenga (right).
TADB Management with a group photo with GCAM Delegation after a farewell ceremony in Dar es Salaam.


· Airtel yatangaza bando kuongezeka GB na muda wa matumizi zaidi

$
0
0
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imekutana na watangazi wa radio mbalimbali nchini na kuongelea ongezeko la faida za mteja katika huduma za intaneti zinazotolewa na Airtel kupitia kuzinduliwa kwa bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ zilizozinduliwa mwanzoni mwa wiki hii kwa lengo lengo la kuwapatia wateja na watumiaji wote wa intaneti bando nafuu zaidi.

Meneja Masoko Airtel Tanzania Anethy Muga alieleza kuwa bando Mpya ya ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ zinatoa uhuru kwa wateja wote kujichagulia bando la intaneti KABAMBE wakati wowote, na kusisitiza kuwa mteja wa Airtel ataweza kunufaika na SMATIKA na Yatosha Intaneti kwa kujipatia bado za gharama nafuu ya hadi shilingi 200 na kupata MB 40. Vilevile ofa kabambe ya ‘SMATIKA Yatosha bando’ itamuwezesha mteja wa AirtelKUSMATIKA NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili tu”

kwa upande wake Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando alisema “Yatosha mpya inakupa bado za siku, wik, mwezi gharama nafuu kuliko zote nchini, kwa mfano bado ya 5,000 zamani ilikuwa na GB 1, kwa sasa Yatosha Intaneti Mpya unapata GB 2 kwa siku 7, vile vile kwa shilingi 10,000 zamani ulikuwa unapata bando la GB 2.5 kwa siku 7 lakini sasa tumeliongeza zaidi unapata GB 6 zakutumia wiki nzima. Alieleza Muga

“SMATIKA na Yatosha Intaneti’ ni ishara ya Airtel kuanza vyema shamrashamra kusherehekea sikukuu kwa kuwapatia uhakika wateja na watumiaji wa huduma ya intaneti wa kutoishiwa bando kwa muda mfupi,

Ukiwa na Airtel Yatosha Intaneti hainaga kuzima data tena!” Alisisitiza Mmbando.
Meneja Masoko Airtel Tanzania Aneth Muga akitoa Maelezo wakati wa mkutano na watangazi wa radio mbalimbali nchini kuhusu ongezeko la faida za mteja katika huduma za intaneti zinazotolewa na Airtel kupitia bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ .
Baadhi ya watangazaji wa radio mbalimbali nchini wakifuatilia mada kwa umakini wakati wa mkutano na watangazi wa radio mbalimbali nchini na Airtel kuhusu ongezeko la faida za mteja katika huduma za intaneti zinazotolewa na Airtel kupitia bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’

SAFARI YA WAZALENDO 47 ILIVYOINGIA SIKU YA PILI WAKATI WAKIELEKEA KILELE CHA UHURU,KATIKA MLIMA KILIMANJARO.

$
0
0

Baada ya kupumzika katika kituo cha Mandara katika siku ya kwanza ,Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara aliongoza Wazalendo 47 kutoka jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ),Wanahabari,Marafiki wa China na Tanzania pamoja na watumishi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika siku ya pili ya kuelekea kilele cha Uhuru kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania.

Makao makuu ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) yaliwakilishwa vyema na Meneja wake wa Mawasiliano ,Pascal Shelutete .
Na Safari iliendelea ikiongozwa na Slogan ya "Mdogo Mdogo"
Wengine walitumia mapumziko hayo kwa ajili ya kupata picha za kumbukumbu ya pamoja.
Na baadae Safari iliendelea.
Hali ya hewa katika Hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro haitabiliki ghafla linaweza onekana jua na muda mchache tu mvua ikanyesha ,hivyo wapandaji hua wamejiandaa na aina yoyote ile ya hali kama inavyoonekana hapa wakiwa katika mavazi rasmi ya kuzuia mvua pindi walipowasili eneo la Nusu njia kwa ajili ya kupata chakula.

VIONGOZI WA KIJIJI CHA MSOSA WILAYANI KILOLO WAVULIWA MADARAKA KWA NGUVU

$
0
0
mtendaji wa kata ya Ruaha Mbuyuni Maiko Chabili akiwafafanulia jambo wananchi wa kijiji wakati wa mkutano wa hadhara ulikuwa na lengo la kuwafukuza kamati ya mipango na fedha ya kijiji kwa matumizi mabaya ya pesa zao
 Baadhi ya Wananchi wa kijiji cha msosa kilichopo tarafa ya ruaha mbuyuni walihudhuria mkutano wa hadhara wa kijiji



Na Fredy Mgunda,Iringa.


Wananchi wa kijiji cha msosa kilichopo tarafa ya ruaha mbuyuni wameifukuza kamati ya mipango na fedha kwa tuhuma za kufanya ubadhilifu wa mali za kijiji na kuunda kamati mpya itakayoleta maendeleo katika kijiji hicho.

Wakizungumza wakati wa mkutano wa hadhara ulifanyika katika kijiji hicho wanachi waliutaka uongozi wa kamati hiyo kuachia ngazi kutokana na tuhuma zinazowakabili. Kwa upande wake mtendaji wa kata MAIKO CHABILI ameafiki kuvuliwa madaraka kwa viongozi wa kamati ya mipangano na fedha kutokana na tuhuma zinazowakabili.

Hata hivyo kamati ya mipango na fedha ya kijiji cha msosa walikubali kujiudhuru na kulipa pesa ambazo ilibaini kuwa walizitumia vibaya bila ruhusa ya wananchi.

CBA BANKI WATOA MSAADA WA MATOFARI NA SARUJI KWA SHULE YA SEKONDARI YA KAWE UKWAMANI JIJINI DAR ES SALAAM.

$
0
0
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(wapili kulia, Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa benki ya  CBA kwa wateja binafsi, Julius Konyani na  mwalimu  mkuu wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam  Safina  Egha (Kushoto)  wakimsikilza   mwalimu mwandamizi wa idara ya mazingira uzalishaji mali  wa, Ajuaye Yusuph  (kulia)  akiongerea juu ya ubovu wa madarasa wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi  msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto)akiongea na baadhi ya wanafanzi wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam walipotembelea shule hiyo  kukabidhi msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule hiyo. Kulia ni Afisa elimu Sekondari  Wilaya ya Kinondoni , Rogers Shemelekwa na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo  Safina Egha.
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa benki ya  CBA kwa wateja binafsi. Julius Konyani,  akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari  Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam Safina Egha, mara baada ya   kukabidhi msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3   na mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(katikati)kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule hiyo.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto) akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa  shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam, wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi  msaada wa mifuko  ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3  kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

MAPENDEKEZO YA MUSWAADA WA KUTOA TAARIFA YAFIKA PAZURI

$
0
0
Imeelezwa kuwa kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi kutapunguza uhalifu unaohatarisha amani na kuongeza usalama wa mtu, jamii, nchi na dunia kwa ujumla.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo, amesema hayo katika kikao cha wadau cha kupitia mapendekezo ya kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi na kusisitiza umuhimu wa kujielimisha kabla ya kusambaza taarifa.

“Ni muhimu kwa jamii kuelewa haki ya faragha ya mtumiaji wa mawasiliano na namna ya kushughulikia taarifa katika ukusanyaji, usambazaji, uchakataji na uhifadhi ili kuepuka kutenda uhalifu” amesema Dkt. Sasabo.

Dkt. Sasabo amezungumzia umuhimu wa jamii kuzingatia sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 na sheria ya miamala ya kielektroniki ya mwaka 2015 ili kuepuka makosa yasiyo yalazima na kuepuka usambazaji wa taarifa binafsi za watumiaji wa mawasiliano usiouwiana na maadili na wenye nia ovu.“Ni vema jamii ikajua mitandao haina mipaka, hivyo ni muhimu kuwa na muongozo utakaosimamia haki za watumiaji na kulinda taarifa binafsi”, amesisitiza Dkt. Sasabo.

Naye, Afisa Sheria wa Sekta ya Mawasiliano, Bi. Eunice Masigati, amesema mabadiliko ya sayansi na teknolojia yamechangia ongezeko kubwa la makosa katika mawasiliano ya simu na intaneti hivyo uwepo wa sheria inayosimamia taarifa binafsi utapunguza changamoto za kimtandao na kuongeza haki ya faragha.

Dkt. Sasabo, alikuwa katika kikao kazi cha wadau kukusanya maoni ya mapendekezo ya kutungwa sheria ya kulinda taarifa za watumiaji ili kupunguza uhalifu na kuhakikisha usalama wa taarifa binafsi.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Wadau wa Sekta mbalimbali, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo (hayupo pichani), wakati wa mkutano wa maoni kuhusu sheria ya kulinda taarifa binafsi,Mkoani Dodoma, leo.
Afisa Sheria wa Sekta ya Mawasiliano, Bi. Eunice Masigati, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa siku moja wa maoni kuhusu sheria ya kulinda taarifa binafsi, Mkoani Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Usalama Mtandao, Eng. Stephen Wangwe.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa siku moja wa maoni kuhusu sheria ya kulinda taarifa binafsi, Mkoani Dodoma, leo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Maria Sasabo, akiwa katika picha ya pamoja na sehemu ya wadau walioshiriki katika mkutano wa siku moja wa maoni kuhusu sheria ya kulinda taarifa binafsi, Mkoani Dodoma.

NYUMBA ZAIDI YA 41 ZAHARIBIWA VIBAYA KUFUATI MVUA MKUBWA MKOANI RUVUMA

$
0
0
Nyumba zaidi ya 41 zimeharibiwa vibaya kufuatia mvua kubwa iliyonyesha iliyoambatana na upepo mkali na kuharibu miundombinu ya shule ya sekondari matimila wilayani Songea mkoani Ruvuma,
Kufuatia uharibifu huo RUVUMATV imefika katika eneo la maafa kuzungumza na wananchi wa vijiji vya MGAZINI na MPANGURA huku baadhi ya wananchi hao wakistajabu na maafa hayo.
HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE

OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI

$
0
0
Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Mhe. George Masaju amesema,  kutokana na mchango mkubwa wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu katika maendeleo ya  kiuchumi, usalama, utawala wa sheria na utawala bora, Kuna   umuhimu wa Serikali kuendelea kuiimarisha Ofisi  hiyo.

Ameyasema hayo  wakati akimkaribisha Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe Profesa Palamagamba Kabudi kuzindua Baraza la  Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uzinduzi wa  baraza hilo  umefanyika siku ya jumatatu katika ukumbi wa mikutano wa Jengo la LAPF  Mkoani Dodoma.

Uzinduzi wa Baraza hilo,  ulitanguliwa  na  uchaguzi wa Katibu na Katibu Msaidizi.  Zoezi la uchaguzi lilisimamiwa na  Katibu Mkuu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma Bw. John Mchenya,  Naibu Katibu Mkuu TUGHE Taifa Bi. Jane Mbura na  Afisa Kazi Bi. Razina Tuusa.  Waliochaguliwa kwa kura  za  Siri ni  Wakili wa Serikali Mkuu Monica Mbono ambaye anakuwa  Katibu na  Bw. Michael Masanja anakuwa  Katibu msaidizi.

Mhe. Masaju  akiwa ni  Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi, ameyataja maeneo ambayo  Serikali  inatakiwa kuendelea kuyaimarisha katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu ni pamoja na,  Raslimali fedha, mafunzo, makazi salama kwaajli ya  mawakili wa serikali na  miundombinu ya ofisi.

“Mhe. Waziri, yapo masuala ya kisera ambayo tunaomba  Serikali  inayashughulikie  ipasavyo ili kuiwezesha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Maeneo hayo ni  kuajiri Mawakili wa Serikali na Watumishi wa Kada zingine, kujenga majengo ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu  katika Ofisi  za Wilaya na Mikoa ili  kuokoa fedha inayotumika kulipia pango”. Ameleza Mwanasheria Mkuu.

Kwa upande wa mafunzo,  Mwanasheria Mkuu, ameishauri Serikali  katika  kuwajengea uwezo wa kitaalam Mawakili wa Serikali na  watumishi wenzao katika maeneo ya kipaumbele na kuimarisha maslahi ya mawakili wa serikali na watumishi wote katika Ofisi ya  Mwanasheria  Mkuu wa Serikali.
 
  Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Mhe. George Masaju  na  Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya  Mwanasheria Mkuu akimkaribisha Mhe Waziri wa Katiba na Sheria  kuzindua Baraza  la Wafanyakazi na katika salamu zake alisema ni muhumu kwa Serikali  kuendelea kuiimarisha Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kutokana na   umuhimu wake  katika maendeleo ya nchi, kiuchumi, kiusalama, katika utawala wa sheria na katiba
 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Profesa Paramagamba Kabudi akitabasamu mara baada ya kufungua Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali  siku ya jumatatu. Baraza hilo linakutana kwa siku mbili katika ukumbi wa LAPF mkoani Dodoma.
 Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Ofisi ya  Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa ufunguzi wa Baraza hilo, wajumbe wa   Baraza ni pamoja na  Mawakili  Wafawidhi wa Serikali, Wakuu wa Divisheni na Vitengo, Wajumbe wa TUGHE na mada mbalimbali zilitolewa wakati wa uzinduzi hao.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Bharti Airtel signs agreement to acquire Millicom’s operations in Rwanda

$
0
0
·         Acquisition to consolidate the Rwandan telecom market and position Airtel as a strong number 2 operator in Rwanda with revenues of over USD 80 million and a revenue market share of over 40%

·         Existing Millicom Rwanda customers will join over 370 million customers on Airtel’s global network across 17 countries and enjoy the benefits of a superior network, international roaming, and high quality 3G, 4G speed as well as Airtel Money services

 Bharti Airtel Limited (“Airtel”), a leading global telecommunications services provider with operations in 17 countries across Asia and Africa, today said that, through its subsidiaries, it has entered into a definitive agreement with Millicom International Cellular S.A. ("Millicom") under which Airtel Rwanda Limited (“Airtel Rwanda”) will acquire 100% equity interest in Tigo Rwanda Limited (“Tigo Rwanda”). The acquisition will consolidate the Rwandan telecom market and position Airtel as a strong number 2 operator in Rwanda. The consideration for the transaction is based on approximately 6x EBITDA multiple, payable over two years. The agreement is subject to regulatory and statutory approvals.

Sunil Bharti Mittal, Chairman, Bharti Airtel, said, “Airtel has taken proactive steps in Africa to consolidate and realign the market structure in the last few remaining countries where its operations are lagging on account of lower market share and presence of too many operators. Airtel and Tigo have already merged their operations to create a strong viable entity in Ghana. Today, it has taken yet another important step to acquire Tigo Rwanda to become a profitable and a strong challenger in a two-player market.

We are also committed to the long term viability of our operations in two other countries i.e. Kenya and Tanzania, to ensure that in 2018 all our 15 operations in Africa start contributing positive margins and cash flows towards a healthy and profitable Airtel Africa.”

TAARIFA KWA YA KUAHIRISHA KIKAO CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

$
0
0
=====  =====  ===
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  kuwatangazia Vyama vya Siasa na umma kwa ujumla kuwa kikao na Semina ya  Baraza la vyama vya Siasa vilivyokuwa  vifanyike  siku ya  tarehe 21 na 22 Desemba 2017, Jijini Dar es salaam vimeahirishwa hadi hapo tarehe nyingine itakapopangwa.

Kikao hicho kimehirishwa kwa ajili ya kutoa fursa kwa Vyama vya Siasa na wadau wa Vyama vya Siasa  kushiriki katika  shughuli za  uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika 13 January 2018.  Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza  kutokana na mabadiliko hayo.


Jacqueline Kilama
Kny. MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
19 Disemba, 2017

WAZIRI JAFO: Wakuu wa Wilaya Simamieni kazi zinazofanywa na TARURA

$
0
0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh. Selemani Jafo amewaagiza Wakuu wa Wilaya wote nchini kusimamia  kazi zinazofanywa na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)  ili kuleta matokeo tarajiwa  katika kukuza ustawi wa kiuchimi nchini.
Akifungua kikao cha Wakuu wa Wilaya nchini kote, Mhe. Jafo amewataka Wakuu wa Wilaya kwenda kusiamamia barabara hizo kwa ukaribu ili barabara zitakazo jengwa ziwe na ubora na zitakazo dumu kwa muda mrefu.
Mhe. Jafo amewaambia wakuu hao kuwa uanzishwaji wa Wakala utainua chachu ya uzalishaji wa mazao kutokana na usafiri wa uhakika, ambapo mkulima atakuwa na uhakika wakusafirisha mazao, lakini pia kupunguza gharama za usafiri lakini pia kuboresha hali za maisha za watanzania.
Amesema Serikali imekuwa na changamoto kubwa sana ambapo wakandarasi wanaopatiwa kazi za ujenzi wa barabara kutokuwa waaminifu na kujenga chini ya kiwango, rushwa , hivyo ni kazi ya Mkuu wa Wilaya kusimamia ili kubaini mapungufu hayo kwa haraka na kuokoa fedha za Serikali.
Amesema kuwa baada ya kuifahamu TARURA ni jukumu lao kuibua maovu kwa wafanyakazi wanaofanya maovu ili waweze kuchukuliwa hatua za kinidhamu kwa kufuata sheria na taratibu za utumishi wa umma.
Amesema kuwa Wakuu wa Wilaya ni wawakilishi wa serikali katika maeneo yao, hivyo wanawajibu wa kusimamia kwa ukaribu zaidi katika usimamizi wa mradi ya Ujenzi wa Barabara nchini kwa kuzingatia kuwa asilimia 43 za barabara zinasimamiwa na TARURA zipo katika hali mbaya hivyo Mkuu wa Wilaya anajukumu la kusimamia kazi zinazotekelezwa kuanzia ngazi ya kata ili kuwa na kazi bora katika jamii.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo katika kikao cha  Wakuu wa Wilaya kuhusiana na  kujenga uelewa wa majukumu ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini(TARURA) katika ukumbi wa Hazina Dodoma, leo.
 Baadhi ya Wakuu wa Wilaya waliohudhuria katika kikao cha kujenga uelewa wa majukumu ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini kilichofanyika katika ukumbi wa Hazina Dodoma, leo.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

SERIKALI GEITA YAJIPANGA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWA WANANCHI

$
0
0
Na Joel Maduka, Geita
Serikali mkoani Geita imejipanga kutatua kero ya maji kwa wananchi inayowakabili wananchi kwa muda mrefu.

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ametoa kauli hiyo alipotembelea miradi ya uzalishaji wa maji inayosimamiwa na Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jinni Geita, GEUWASA.

Alisema serikali imedhamiria kuona mji wa Geita unakuwa na maji ya kutosha ambapo kwa sasa kuna tanki lenye Mita za ujazo elfu moja na mia mbili na kwamba zipo jitihada za kuweka pampu itakayosaidia kuongeza maji kwenye tanki hilo ili kuweza kuongeza zaidi uzalishaji wa maji kwa maeneo ya mji huo.

Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshugulikia masuala ya Bonde la Ziwa Victoria Dr Ali Said Matano alisema mji wa Geita utanufaika na awamu ya tatu ya mradi wa maji kutoka Ziwa hilo kwa ufadhili wa Benki ya Afrika.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Geita, GEUWASA Bw Joseph Mwita amesema mahitaji ya maji mjini Geita ni Mita za ujazo 15 160 na kwamba maji yanayozalishwa ni Mita za ujazo kati ya 3 500 hadi 4000.
Mkuu wa mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel akiwa na Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Geita(GEUWASA), Mhandisi Joseph Mwita wakati alipotembelea moja kati ya mitambo ya kuzalishia maji ambayo hipo kijiji cha Nungwe kwenye ziwa Viktoria. 
Eneo la mitambo ya uzalishaji wa maji ambayo hipo kijiji cha Nungwe. 
Fundi wa mitambo ya maji kutoka mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM), Denis Domician akitoa maelezi namna ambavyo maji yamekuwa yakitibiwa kabla ya kusambazwa kwa watumiaji mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Geita. 
Fundi wa mitambo ya maji kutoka mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM), Denis Domician akitoa maelezo namna ambavyo maji yamekuwa yakipita na kutibiwa kwenye sehemu ambazo zimetengwa.
Eneo la kutibia maji. 
Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshugulikia masuala ya Bonde la Ziwa Victoria Dr Ali Said Matano akielezea namna ambavyo jumuiya hiyo imeweza kuongeza muda kwa miradi ambayo haijamalizika hadi kufikia mwezi wa tisa mwakanai iwe imekamilika wakati wa ziara ya kutembelea vyanzo vya maji ambavyo vipo kwenye halmashauri ya mji wa Geita. 
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel pamoja mhandisi wa maji wa Geuwasa wakitoa maelezo ya namna ambavyo Tanki hilo limekuwa kikifanya kazi wakati alipotembelea kwenye tanki hilo. 
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita,Mhandisi Modest Aporinal akitoa maelezo ya namna ambavyo wanatarajia kupitisha mabomba kwenye mtaa wa 14 kambarage kwa Mkuu wa Mkoa wa Geita.
Viewing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images