Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110171 articles
Browse latest View live

BALOZI MAHIGA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WATATU

$
0
0
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania, Mhe. Prof. Ratlan Pardede ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Mwakilishi Mteule wa Papa nchini Tanzania, Mhashamu Marek Solczynskiofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea Nakala za Hati za Utambulisho za Balozi Mteule wa Shirikisho la Ujerumani nchini Tanzania, Mhe. Dkt. Detlef Wachter ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.

Balozi Seif Ali Iddi amjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali

$
0
0
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kulia akimjulia hali Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mh. Mohamed Raza Hassanali hapo Hotelini Kwake Golden Tulip Kibweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Mh. Raza anaendelea na mapumziko mafupi baada ya kufanyiwa matibabu Nchini India hivi karibuni. Aliyepo nyuma yao ni Mdogo wake Mh. Mohamed Raza ambae pia ni Mbunge wa Jimbo la Kimbesamaki Mh. Ibrahim Raza.
 Mh. Mohamed Raza kati kati akieleza namna alivyopata huduma za Afya wakati akiwa Hospitalini Nchini India. Wa kwanza kulia ni Balozi Seif na kulia ya Mheshimiwa Raza ni Daktari Azan anayefuatilia afya yake katika kipindi hichi cha mapumziko.
Dr. Azan akimueleza Balozi Seif baadhi ya njia anazopaswa Mtu kuzichukuwa  katika kujilinda dhidi ya maradhi ya Kisukari makubwa zaidi ni kufuata miko ya vyakula na kufanya mazoezi kila siku. 
Picha na OMPR – ZNZ.

WAZIRI MKUU KASSI MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SEKONDARI

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwalimu wake, Agrias Sichone ambaye alimfundisha katika Shule ya Sekondari ya Kigonsera mwaka 1977 hadi 1980. Alikuwa katika kikao cha kuhitimisha ziara yake mkoani Songwe kwenye ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Sunrise mkoani humo Julai 24, 2017. kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

NHIF KUTOA HUDUMA YA BIMA YA AFYA KWA WATANZANIA ZAIDI ASILIMIA 50IFIKAPO 2020

MFUMO MPYA WA BAJETI KUTATATUA CHANGAMOTO KWENYE MFUMO WA ZAMANI

RAIS WA ZANZIBAR DKT. ALI MOHAMED SHEIN AREJEA NCHINI KUTOKEA UINGEREZA

$
0
0
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amerejea nchini leo akitokea nchini Uingereza. 
Katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, viongozi mbali mbali wa vyama vya siasa na Serikali pamoja na wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walimpokea Dk. Shein wakiongozwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd.

 Dk. Shein katika safari hiyo maalum ya nchini Uingereza, alifuatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Watendaji wengine wa Serikali. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akiteremka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara maalumu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Shada la mauwa kutoka kwa Mtoto Naifat Faudhi wakati wa mapokezi yake leo baada ya kuteremka katika Ndege ya Serikali  mara ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akirejea Nchini Uingereza kwa Ziara maalum
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akisalimiana na Makamo wa Pili wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Idi mara baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara maalumu

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea  baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara maalumu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohammed Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea  baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akitokea Uingereza kwa ziara maalumu. 
Picha na IKULU na Yussuf Simai - MAELEZO ZANZIBAR.

WAZIRI LUKUVI AWEZESHA UJENZI WA MABWENI IRINGA

$
0
0
Na Hassan Mabuye

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Ismani Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Japan amesaidia ujenzi wa bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Idodi wilaya ya Iringa Mkoani Iringa kwa kiasi cha shilingi milioni 270.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bweni la wanafunzi wa shule ya sekondari ya Idodi Iringa Balozi wa Japani nchi Tanzania, Masaharu Yoshida alisema kuwa misaada hiyo inatolewa kupitia kodi za watu wa Japan kwa ajili ya kuunga mkono shughuli za kimaendeleo nchini Tanzania.

Ubalozi huo wa Japan ambao umesaidia ujenzi wa bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Idodi umetokana na maombi ya mbunge wa Jimbo hilo la Isimani Mhe. Wiliam Lukuvi aliyoyaomba katika ofisi ya ubalozi kufuatia bweni la awali la shule hiyo kuteketea kwa Moto.

Balozi huyo alisema kuwa mkataba wa ujenzi wa bweni hilo la wanafunzi Idodi sekondari ulisainiwa February mwaka 2016 kwa dolla za kimarekani 130,166 sawa na milioni 270 za kitanzania kwa ajili ya ujenzi wa bweni hilo.

Ubalozi wa Japan nchini Tanzania umeahidi kuendelea kusaidia miradi mbali mbali ya kimaendeleo ndani ya mkoa wa Iringa na maeneno mengine hapa nchini ili kuunga mkono jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Magufuli.
Balozi wa Japani nchi Tanzania, Masaharu Yoshida akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Bweni la wanafunzi wa shule ya sekondari ya Idodi mkoani Iringa. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bibi Amina Masenza.
Balozi wa Japani nchi Tanzania, Masaharu Yoshida akiwa amevalishwa vazi la heshima la wazee wa kabila la Kihehe baada ya kuwezesha ujenzi wa Bweni la Wasichana wa shule ya sekondari ya Idodi mkoani Iringa. Kushoto kwake ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela.
Balozi wa Japani nchi Tanzania, Masaharu Yoshida akiwa amevalishwa vazi la heshima la wazee wa kabila la Kihehe baada ya kuwezesha ujenzi wa Bweni la Wasichana wa shule ya sekondari ya Idodi mkoani Iringa. Kushoto kwake ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi na Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela.
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari Idodi wilaya ya Iringa Mkoani Iringa.
Jengo la Bweni la Wasichana wa shule ya sekondari ya Idodi mkoani Iringa kwa mbele.
Jengo la Bweni la Wasichana wa shule ya sekondari ya Idodi mkoani Iringa kwa nyuma.

Benki ya NMB yafungua matawi mapya mikoa mitatu

$
0
0
Mkuu wa Wilaya Igunga –John Mwaipopo (kati kati ) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya NMB Nkinga katika wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora wengine pichani ni Meneja wa NMB kanda ya Magharibi Leon Ngowi (wa kwanza kushoto) na Meneja wa NMB tawi la Nkinga Jasmina Tengia (kulia). Tawi hili ni miongoni mwa matawi mengine mawili yaliozinduliwa kwa pamoja katika kanda ya magharibi mwishoni mwa wiki.

Na Mwandishi Wetu 

BENKI ya NMB imezidi kung’ara nchini huku ikifanikiwa kutanua mtandao wake kwa kufungua matawi mapya matatu katika mikoa ya Kigoma, Tabora na Simiyu. Uzinduzi wa matawi hayo ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo kufunguliwa kwake kutaleta neema kwa wakazi wa maeneo hayo. Mkoani Kigoma benki hiyo ilizindua tawi jipya Wilaya ya Uvinza, Tabora (Igunga) katika mji wa mashuhuri wa Nkinga na Simiyu Wilaya mpya ya Itilima. 

Awali akizungumza katika uzinduzi wa tawi hilo, Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma, Mwanamvua Mrindoko, aliwataka wananchi wa wilaya hiyo kutumia fursa ya benki hiyo ikiwemo kuhifadhi fedha zao na huduma za kifedha ikiwemo mikopo nafuu inayotolewa na benki hiyo.

Alisema hatua ya kuzinduliwa kwa tawi hilo la Benki la NMB sasa ni wazi wilaya hiyo itajikwamua kiuchumi ikiwemo wananchi wake kujenga urafiki na benki hiyo kwa kupata huduma bora za kifedha. “Kuzinduliwa kwa tawi hili jipya katika Wilaya yetu ya Uvinza sasa ni kielelezo kwamba wananchi wataweza kujikwamua kiuchumi kwa kuwa na urafiki wa karibu na benki ikiwemo kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa,” alisema Mrindoko. 
Mkuu wa Wilaya Itilima –Benson Kilangi (kati kati ) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya NMB Itilima katika Mkoa wa Simiyu. Kutoka kulia ni Kaimu Meneja wa NMB kanda ya Magharibi –Peter Madaha na Mbunge wa Itilima- Njalu Silanga wakishuhudia uzinduzi wa tawi hilo. Tawi hili ni miongoni mwa matawi mengine mawili yaliozinduliwa kwa pamoja katika kanda ya magharibi mwishoni mwa wiki.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora, John Mwaipopo, akizinduwa tawi jipya katika mji wa Nkinga alisema ni kielelezo tosha cha wilaya hiyo kupiga hatua kimaendeleo. Aidha akifafanua zaidi kwa wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi huo, Mwaipopo alisema hatua hiyo ni ishara nzuri na wananchi wataweza kutumia fursa kidekede zinazotolewa na benki hiyo. “Asanteni NMB kwa kufika hapa Nkinga, awali wananchi walikuwa wakitembea umbali mrefu hadi Igunga mjini kutafuta benki lakini sasa huduma za kifedha zitapatikana hapa kupitia benki hii nzuri na bora kutokana na huduma zake,” alisema Mwaipopo. 

Naye Meneja wa TRA Wilaya ya Nzega, Adolf Mtumbuka, akizungumza katika uzinduzi huo, alisema tawi hilo litasaidia kukusanya mapato ya Serikali ambapo awali wananchi wa Nkinga walilazimika kwenda makao makuu ya wilaya. “Ninapenda sana kuishukuru Benki ya NMB sasa imekuja kufungua milango ya kiuchumi katika eneo hili la Nkinga ambalo lipo Wilaya ya Igunga lakini pia lipo jirani sana na Wilaya ya Nzega. 

Hivyo kuzinduliwa kwake kutasaidia kukusanya mapato ya Serikali kupitia benki hii ambao pia hukusanya mapato ya Serikali kwa niaba ya TRA,” alisema Mtumbuka. Kutokana na kuimarisha huko kwa mtandao wa benki hiyo Mkuu wa Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Benson Kilangi, alisema kuzinduliwa kwa tawi hilo kutachochea wananchi kuzalisha vizuri na fedha watakazopata watahifadhi benki. “Tunahitaji kuweza ndani ya Wilaya ya Itilima ili wananchi wapate muda wa kutosha katika shughuli za uzalishaji ili kuondokana na umaskini. Hivyo nawaomba wananchi wa Itilima mtumie fursa hii ya Benki ya NMB kwa kisingizio hamna mitaji au hajui mfanyaje.

NGUMI ZA GLOBAL TV: NASIBU RAMADHANI Vs YOHANE BANDA

BAADA YA RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP KUTOKA, WATANGAZAJI CLOUDS WAGAWIANA TIMU

$
0
0

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.


ROBO fainali ya Ndondo Cup inaendelea tena siku ya Alhamisi kwa timu nane kuumana katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo Uwanja wa Kinesi. 

Droo hiyoi iliyochezeshwa jana na kila timu kufahamu anapambana na nani katika hatua ya robo iliweza kuwa ya aina yake baada ya watangazaji wa vipindi mbalimbali wa Clouds kugawana timu hizo na kuwapa ahadi lukuki .

Hii ndo Ratiba ya Robo fainali
Alhamis 27/07/2017
Vijana Rangers vs Kibada one 
Ijumaa Tar 28/07/2017
Gomis United vs Mlalakuwa Rangers 
Jumamosi Tar 29/07/2017
Mpakani Combine vs Misosi Fc 
Jumapili Tar 30/07/2017
Keko Fanicha vs Stimutosha Fc

Kipindi cha "Leo tena" wenyewe wamebaki na timu yao Mlalakuwa Rangers, kwa hiyo hawakuwepo kwenye draw ya kila kipindi kupata timu yake. "XXL" wao timu yao ni Keko Furniture, "Jahazi" wenyewe wameangukia kwa Mpakani Kombaini, "Clouds 360" timu yao ni Misosi FC wakati "Amplifier" watakuwa na Vijana Rangers, Kibada One wameangukia kwa "Power Breakfast" huku Goms United wakitua kwa "Shilawadu" na Stim Tosha ikienda kwa wazee wa "Alasiri".
Baada ya droo hiyo kila kipindi kilitoa ahadi na mbwembwe kibao na kuziahidi timu hizo kuwa watanunua kila goli huku kipindi cha 360 wakitoa ahadi ya kuwapeleka mbuga za wanyama iwapo watakuwa mabingwa.

Kamati ya Kuchunguza Mkataba ... Times na TBC Yaongezwa Muda

UTEKELEZAJI WA REA AWAMU YA TATU ARUSHA:RC Gambo akutana na wakandarasi wa mradi

$
0
0
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo leo amekutana  na timu itayotekeleza mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu katika kikao  kazi  kilichofanyika ofisini kwake jijini Arusha.
 Mhe Gambo ameshauri wakandarasi wanaotekeleza mradi huo kuwa makini katika masuala ya ajira hasa zile za vibarua kwani mara nyingi zinaleta malalamiko kwa serikali, hivyo amewataka kuwa makini katika kufuata taratibu za ajira za vibarua.
Mkuu wa Mkoa huyo pia amemshauri mkandarasi kua makini na 'sub contractors' wanaowapa kazi kazi mara nyingi wamekua wanafanya utapeli wa kuchangisha wananchi hali inayopelekea kuichafua serikali hususani Shirika la Umeme Tanesco.
"Mara nyingi watu mnaowapa kazi wanakua wanafanya vitendo vya kitapeli kwa wananchi, kwani wanakua wanapita na kuchangisha wananchi michango ambayo kimsingi ni makosa mfano wanaweza kuwaambia wananchi wachange hela ya nguzo ama kuchimba mashimo ya nguzo,nendeni mkakemee vitendo hivyo" alisema Mhe. Gambo.
Mradi huo unategemea kuanza mapema mwezi Agosti na utatekelezwa katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha ambao una changamoto kubwa ya  umeme.

 Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Gambo katika kikao kazi  na timu itayotekeleza mradi wa umeme vijijini (REA) awamu ya tatu  ofisini kwake jijini Arusha leo.
 Wajumbe wa kikao kutoka kushoto ni Rama Shankar na Abas Kitola wa Angelique Int. Ltd, Eng. Donasian Shamba wa TANESCO Arusha na Eng. Gaspar Msigwa  ambaye ni Meneja TANESCO Arusha
Sehemu ya wajumbe wa kikao hicho kutoka kushoto ni Chuwa African wa TANESCO Arusha, Wilson Chilewa na Kurwa Nelson wa NIPO Group Ltd.

RC MAKONDA ATEMBELEA WODI MPYA YA KINA MAMA HOSPITALI YA AMANA JIJINI DAR ES SALAAM

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA MAKAO MAKUU YA NCHI (DODOMA)

$
0
0
Mwonekano mwanana wa jengo la Ismailia Jamatini mjini Dodoma  kutoka barabara ya Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Mnara ulioko katikati ya mji wa Dodoma unaokutanisha barabara  ya Dar es Salaam, Nyerere, Hospitali na Iringa pia makutano haya ni moja ya alama kuu za mji wa Dodoma.
Kibao kikionesha baadhi ya barabara kubwa zinazounganisha mji wa Dodoma 
Kipita shoto katikati ya mji wa Dodoma
Moja ya Mitaa ya Mji wa Dodoma.
Taswira ya Msikiti wa Sunni uliopo barabara ya Market mjini Dodoma.

Police Train 310 SGA Security Officers on Community Policing

$
0
0
Over 310 SGA Security officers graduated on July 24th 2017, after successfully undergoing training by police instructors. While officiating the pass out ceremony held in their Ada Estate CIT offices, the Kinondoni RPC, Suzan Kaganda , congratulated the largest and the oldest private security company for being role models in embracing collaboration with police force. 

She called upon the officers graduating to translate the training into practice and remain forthright, trustworthy and steadfast in performing their duties. She thanked SGA for giving her full support during her tenure and called upon other security companies to collaborate with the force to reduce crime rate. The step she took in building capacity for private security officers was in line with the force's BRN with four-pronged objectives that included effective policing, collaboration with partners and resource mobilization.
The course covered the role of security officers in community policing and was offered in modules covering one week per cohort of 15 officers each. Subjects covered include the use of firearms, fundamental human rights, community policing, customer care, scene of crime, beat duties and power of arrest. 246 officers came from SGA Cash In Transit department and 70 from guarding section.

SGA Security Managing Director expressed gratitude on behalf of the company and promised collaboration with the force as they have always done. He pointed out that the company provides patrol vehicles to police during long holidays and fuel or repairs to police vehicles. They donated two motorcycles last year to support patrols of police.
Mr Sambu explained that SGA takes training seriously and vetting of officers before they're deployed. These two activities continues throughout the tenure of staff. He pointed that many of their employees have worked with SGA for so many years. SGA created Club20 for staff members who have worked for over 20 years with them and they currently have 58 members, 14 of which have worked for over 30 years.


NEWS ALERT: UDSM YASTUKIA MATAPELI WANAOWAHADAA WANAFUNZI WANAOOMBA UDAHILI

$
0
0

Tumepata taarifa kwamba kuna matapeli wamekuwa wakiwahadaa wanafunzi wanaoomba udahili wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kuwapa taratibu zisizo sahihi na kisha kuwaibia fedha zao.

Tunaomba kuujulisha umma kwa ujumla kwamba udahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unafanywa kwa kupitia mfumo wa kompyuta katika mtandao maalumu unaopatikana katika tovuti iliyopo kwenye anuani: udsm.admission.ac.tz. Maelezo ya jinsi ya kuomba udahili pamoja na habari nyingine za udahili zinapatikana katika tovuti ya chuo yenye anuani: www.udsm.ac.tz.

Maombi hayapokelewi kwa kujaza fomu. Pili, ada ya maombi ya udahili ni Shilingi 20,000/= tu ambazo zinalipwa kwa kutumia mitandao ya simu kwa kufuata maelekezo yaliyowekwa kwenye mfumo wa udahili.

Tunatoa pole kwa waliopata usumbufu na tunasisitiza umuhimu wa kufuata taratibu zilizo rasmi katika zoezi zima la udahili.


Tunawatakia udahili mwema.


Imetolewa na Kurugenzi ya Shahada za Awali

Simu:       +255222410069


+255222410751

NANO ENERGIZER NOW IN TANZANIA / KICHOCHEO CHA NANO SASA KINAPATIKANA TANZANIA

$
0
0

Kwa ajili ya kuikarabati na kuipa ulinzi Injini na gearboxya gari yako bila kuifungua. Huziba mikwaruzo yote ndani ya Injini na gearboxna kuirudisha nguvu ya Injini kama ilivyokuwa mpya. Hupunguza matumizi ya mafuta 5%hadi 21%. Huongeza nguvu ya Injini na hutoa ulinzi wa Injini hadi kufikia kilomita 40,000. Hupatikana kwa injini na geabox za aina zote.
Hupatikana kwa aina zote za magari, 
Compressor, Jenereta,Bajaji na Pikipiki

KIMETHIBITISHWA NA:
SHIRIKA LA UBORA LA KIMATAIFA – ISO
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA – TBS
MKEMIA MKUU WA SERIKALI TANZANIA
KIMEPENDEKEZWA NA WATENGENEZAJI MAGARI:
TOYOTA
MERCEDES BENZ
GM DAEWOO
VOLVO
HONDA
HYUNDAI
AUDI
KIMEFANYIWA MAJARIO NA KUTHIBITISHWA NA TAASISI:
CHUO KIKUU CHA TAIFA KYUNGPOOK - KOREA
CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA SEOUL - KOREA
TAASISI YA MASHINE NA VIFAA YA KOREA
CHUO KIKUU CHA YEUNGNAM - KOREA
TAASISI YA KOREA YA TEKNOLOJIA YA MAGARI
JESHI LA ULINZI LA TAIFA LA KOREA
KITUO CHA JESHI LA ANGA LA INDIA

KIMETENGENEZWA NA NANO TECH INTERNATIONAL KOREA KINASAMBAZWA NA POWER ENERGY ENGINEERING LTD:
KWA MAWAKALA WASILIANA NASI KWA NAMBA ZIFUATAZO
                               0715 480174 / 0719346060

INAPATIKANA:
UBUNGO MATAA JENGO LA OILCOM - O715 480174
MWENGE JAPAN AUTO SPARE (MARRYLAND BAR) -  0714 363637
BK JAPAN AUTO SPARE PARTS SEGEREA STAND - 0653 519653
KARIAKOO - DUBAI TRADERS, LUESHA GENERAL (KISANGANI), ZANLUB

MWANZA - LIBERTY (MKABALA NA COCONUT HOTEL) - 0626 450450

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA ITIGI-MANYONI-CHAYA AKIWA NJIANI KUELEKEA DODOMA

$
0
0



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (wa pili kushoto) na viongozi wengine wa mkoa wa Singida wakiondoa kitambaa kuashiria kufunguliwa rasmi kwa  barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Singida na Tabora Wakikata Utepe kama ishara ya kufunguliwa Rasmi kwa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kulia akiteta jambo na Mwakilishi wa Kampuni ya PowerChina International Group Limited nchini Bw. Wang Chao wakati wa Ufunguzi wa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja.

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwashukuru na kuwasalimia kwa kupunga mikono kwa wananchi wa Itigi na Manyoni walioshiriki na Kushuhudia Ufunguzi wa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Itigi na Manyoni wakati wa Ufunguzi wa  Barabara ya Itigi -Manyoni -Chaya yenye urefu wa kilometa 89.5 iliyojengwa kwa fedha za Serikali kwa  asilimia mia moja.

BENKI YA CRDB YAUNGANISHA WATEJA WAKE NA HUDUMA YA SimBanking

$
0
0
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Estherine Mtimba (kulia), akimsaidia kufungua akaunti pamoja na kumuunganisha na huduma ya SimBanking mteja mpya wa benki hiyo, Rehema Adam.
 Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Benjamin Banzi (wa pili kulia), akimuunganisha mteja, Christopher Mjata kwenye huduma ya SimBanking (huduma za benki ya CRDB kwa njia ya simu za mkononi) katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam.
Mteja wa Benki ya CRDB, Khalid Hassan (kulia), akifungua akaunti katika gari la mauzo la benki hiyo katika eneo la Mbezi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Eric Maro.
Baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB wakitoka kufungua akaunti pamoja na kujiunga na huduma ya SimBanking katika gari la mauzo la benki hiyo katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Spika Ndugai ahudhuria mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika jijini Abuja, Nigeria

$
0
0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akitambulishwa katika mkutano wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja Nigeria.Mkutano huo unafanyika kujadili masuala mbali mbali yanayohusu mabunge hayo unashirikisha Maspika toka nchi 18 za Jumuiya ya Madola Barani Afrika.
Viewing all 110171 articles
Browse latest View live




Latest Images