More Channels
Showcase
Articles on this Page
(showing articles 321 to 340 of 65641)
- 01/12/13--19:00: _ngoma azipendazo an...
- 01/12/13--19:00: _ngoma azipendazo an...
- 01/12/13--19:00: _ngoma azipendazo an...
- 01/12/13--21:45: _safari ya mdau jiji...
- 01/12/13--22:04: _BONDIA Mtanzania Th...
- 01/12/13--23:45: _JK afungua shule Se...
- 01/13/13--10:05: _4th ATC GRADUATION ...
- 01/13/13--10:08: _VIJANA CHANGAMKIENI...
- 01/13/13--10:13: _wadau wakijirusha u...
- 01/13/13--10:32: _JERRY SILAA AFUNGUA...
- 01/13/13--11:32: _mnuso wa sherehe ya...
- 01/13/13--14:39: _LEPTIN - KAHAWA NA ...
- 01/13/13--14:40: _MEYA WA MANISPAA YA...
- 01/13/13--15:00: _kwa usafi huu mbona...
- 01/13/13--15:19: _MKONGWE LOKASSA YA ...
- 01/13/13--16:00: _The ProBusiness Ins...
- 01/13/13--16:01: _Hoja ya Mdau kuhusu...
- 01/13/13--18:58: _Flightlink introduc...
- 01/13/13--19:00: _introducing hisaje ...
- 01/13/13--19:00: _ngoma azipendazo an...
(showing articles 321 to 340 of 65641)
Channel Description:
Most read Swahili blog on earth
Ngoma ya Marvin Gaye ya 'Lets Get It On' ilikamata si kidogo enzi zetu
Ngoma ya 'Anita' ya Matonya akimshirikisha Lady Jay Dee si haba ati!
Ngoma ya 'Makumbele' ya Maquis Du Zaire wa mpiga solo mkali Vumbi Kahanga Dekula hautochuja kwa karne 10 zijazo. Sikiliza nyuzi bin nyuzi hizo za ngoma hii iliyokarabatiwa upya na Vumbi
Ankal, Taswira -video Jijini Dar es salaam ya safari kwa kutumia bajaji toka Kawe, Drive-In, Morocco, Namanga, Salender, Seaview, Red- Cross, Ohio, Garden mpaka Posta.
Mdau Mesiaki
Bondia Bernad Mackoliech wa kenya na Mtanzania Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mchezo wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki Mashali alishinda kwa K,O raundi ya sita |
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza katika mpambano huo wa ubingwa wa Afrika Mashariki |
Kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi wa kinondoni Charles Kenyela akimvisha ubingwa wa Afrika Mashariki bondia Thomas Mashali baada ya kumpiga Bernad Mackoliech wa Kenya kwa K,O Raundi ya 6 |
Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimuamuru Thomas Mashalikwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki picha nawww.superdboxingcoach. |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia vitabu vya masomo katika maktaba ya shule mpya ya Sekondari ya Mlimani Matemwe muda mfupi baada ya kuifungua rasmi jana.Kulia ni Ofisa mwandamizi kutoka ofisi ya Benki ya Dunia nchini anayeshughulikia masuala ya elimu Bwana Nobuyuki Tanaka na kushoto ni Mwalimu mkuu wa Shule hiyo Mohamed Mzee Choum.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi(kulia) na Afisa mwandamizi kutoka katika kitengo cha elimu katika ofisi ya Benki ya Dunia nchini Bwana Nobuyuki Tanaka wakikata utepe wakati wa hafla ya ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya Mlimani Matemwe huko Zanzibar jana.Shule hiyo imejengwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Mainduzi Zanzibar na Benki ya Dunia. Picha na Freddy Maro wa Ikulu
Arusha Technical College is pleased to inform all Candidates who completed their studies in the academic year 2011/12 that the 4thATC Graduation ceremony will be held on Saturday 19th January 2012 at the College grounds starting from 9:30 a.m.
Please be informed that the graduation is only for those students who have passed all the modules (the list of the prospective graduandscan be found in the College website: www.atc.ac.tz). Those intending to participate are requested to do the following:
1) Confirm your attendance to the College Registrar by telephone or email below not later than 9th January 2013.
2) Pay TZS. 15,000/= for hiring a graduation gown, to the College accountant on or before 18th January 2013.
3) Report to the College Registrar for registration and rehearsal at 2.00 pm on 18th January 2013.
4) Download the tracer study form from College website (www.at.ac.tz), fill/complete it and submit to the College Registrar during rehearsal on 18th January 2013
Note that all traveling, accommodation and catering expenses will be met by the graduands themselves.When you see or hear this announcement in the news media, please inform your colleagues.
Contacts:
Postal Address: The Registrar
Arusha Technical College
P.O Box 296 Arusha
Telephone: +255272503040/2075/2076
Fax: +255272548337
E-mail: registrar@atc.ac.tz
NINGEPENDA KUWATANGAZIA VIJANA WENZANGU NA WATANZANIA KWA UJUMLA. KWA WALE AMBAO MWAKA JANA WALIKUWA WANALALAMIKA SANA PAMOJA NA KUNUNGUNIKA KUWA HAWAPATI FURSA AU HAWASIKII FURSA MBALIMBALI.
NIMEAMUA KUWATATULIA JIBU HILO KWA KUFUNGUA BLOG HII WWW.ACCOTTZ.BLOGSPOT.COM.
NAWASIHI VIJANA WAACHE KULALAMIKA NA WATEMBELEE BLOG HUSIKA WATAPATA FURSA NYINGI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA. PIA WAWE WAANGALIFU KABLA HAWAJATUMA MAOMBI HUSIKA KWA WADAU WASOME SIFA HUSIKA YA FURSA HIYO NDIPO WATUME.
KIJANA ACHA KUKATA TAMAA FURSA HIZI NI ZAKO ZINAKUNGOJEA WEWE CHANGAMKIA FURSA HIZO KWA KUTUMA MAOMBI.
WAKO MDAU
EMMANUEL MWAMPISHI_
INTERNATIONAL YOUTH SPORTS AMBASSADOR IN TANZANIA
AMBASSADOR FOR PEACE IN TANZANIA,
AMBASSADOR FOR UMC-AIDS IN TANZANIA_,
NATIONAL COORDINATOR OF GREEN YOUTH GENERATION
DIRECTOR,
AIDS COMMUNITY AND ORPHAN TRUST (ACOT),
P.O BOX 42556 DAR ES SALAAM,
TANZANIA,
EAST AFRICA.
FAX: +25522 2856908, TEL: +25522 2856396
MOBILE:+255713 544271, +255733 600600
HTTP://WWW.YOUTUBE.COM/WATCH?V =MYVUUY51VSW &FEATURE=PLCP
HTTP://WWW.FACEBOOK.COM/ACOTTA NZANIA OR ACOTSPORTS
Video kwa hisani ya Vijimambo TV
0 |
|
0 |
|
Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akipigiwa saluti na Green Guard baada ya kuwasili.
Mjumbe wa NEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akisalimiana na wajumbe wa UVCCM mkoa wa Mbeya na pembeni yake ni Mwenyekiti wa UVCCM Mbeya Aman Kajuna.
MNEC UVCCM Taifa Jerry Silaa akifungua semina ya siku mbili ya viongozi wa UVCCM mkoa wa Mbeya. Kushoto ni Aman Kajuna mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Mbeya.
Jerry Silaa akigawa kadi za CCM viwanja vya Nzovwe Jijini Mbeya leo.
Jerry Silaa akihutubia mamia ya wakazi wa eneo la Nzovwe jijini Mbeya.
Jerry Silaa akisalimiana na wananchi Nzovwe Jijini Mbeya.(Picha kwa hisani ya Kalulunga Blog).
0 |
|
0 |
|
wadau WaTanzania waliopo Ukraine katika sherehe za miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar iliyoandaliwa na Wanazuoni wakiTanzania waishio Kharkov, Ukraine. Wadao hao hivi sasa wapo katika kusaka nondozzz za taaluma mbalimbali ikiwamo Udaktari, Uhandisi, IT/Software Eng., Urubani, Uchumi, nk.
![]() |
Keki ya mnuso |
Wadau mnusoni
Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya, Bw. Juma Haji Nakhunte
Mnusoni
Wadau na keki
KUTANA NA CHAI NA KAHAWA AMBAYO UKINYWA INAKUSAIDIA KUPUNGUZA MAFUTA NA KUPUNGUZA HAMU YA KULAKULA OVYO NA KUKUFANYA UONDOKANE NA NYAMA ZEMBE
LEPTIN NI NINI?!!
Ni hormone ambayo ndiyo yenye kazi ya kukufanya uhisi njaa. Kahawa ya leptin inafanya kazi haraka ya kuunguza mafuta na ina ufanisi mkubwa wa kupunguza uzito na haina athari yoyote. Unaweza kuona au kuhisi tofauti kipindi cha kuanzia wiki moja na kuendelea. Inapunguza hamu na kuchochea mwili kwa kuchoma mafuta, hivyo unaweza kupoteza uzito kwa haraka zaidi. Licha ya kupoteza uzito, Kahawa ya Leptin ina uwezo wa kupambana na kuzeeka, inasafisha utumbo, kuondoa sumu mwilini na ni nzuri kwa watu wenye matatizo ya ngozi kama acne.
WANAPATIKANA :: Morogoro,Samora Road & Ilala Shariff Shamba
WASILIANA NAO: 0786477776
0 |
|
0 |
|
Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (wa pili kushoto) akitoa maelezo ya Ujenzi wa Daraja kwa Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo, Serikali za Mitaa na vyama vya siasa, kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.
Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (kushoto) akimpa maelezo Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo, Serikali za Mitaa na vyama vya siasa, karika kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.
Mhandisi Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Gerald Urio (kushoto) akimpa maelezo Meya wa Manispaa hiyo, Yusuph Mwenda (kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo, Serikali za Mitaa na vyama vya siasa, karika kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto Ndumbwi, Mbezi Juu, Dar es Salaam wakati wa ziara ya Meya ya uzinduzi wa ujenzi huo mwishoni mwa wiki. Daraja hilo linajengwa kwa gharama ya shilingi milioni 211.
Mstahiki meya, Yusuph Mwenda pamoja na viongozi mbalimbali wa Kata, Serikali ya Mtaa na wa vyama vya siasa wakikagua ujenzi wa daraja hilo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ndumbwi, Mbezi Juu, Salustian Kimario (wa pili kulia) akimpa maelezo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi mbalimbali wa Manispaa hiyo na vyama vya siasa kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mto ndumbwi, Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam wakati Meya huyo alipofanya ziara ya uzinduzi wa ujenzi huo, mwishoni mwa wiki.
Tembelea Libeneke la Mtaa kwa Mtaa Blog kwa Picha Zaidi
Tembelea Libeneke la Mtaa kwa Mtaa Blog kwa Picha Zaidi
Katika pita pita za Kamera man wa Globu ya Jamii,alikatika maeneo ya Katikati ya Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam na kumnasa jamaa akijitahidi kukausha maji yaliyokuwa yametuama katika kidimbwi kilichopo katikati ya njia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa hapa jijini.Mpaka Kamera man wetu anaondoka katika eneo hilo alimuacha jamaa huyo akiendelea na kazi yake hiyo japo baada ya muda kidogo mvua ilinyesha tena,sasa sijui alichukua uamuzi gani baadae.
Leo Jumatatu January 14, 2013 tunawaletea sehemu ya pili ya gwiji la ukung'utaji wa kitaa la kati kutoka DRC, Lokassa ya Mbongo Jina alilopewa naTabu Ley Rochereau wakati akiwa na miaka 16, kaika sehemu hii ya pili Lokassa ataelezea mkasa uliomkuta yeye na wanamuziki wengine wanne baada ya kumkibia Tabu Ley na kujiunga na Sam Mangwana na jinsi gani walivyotaabika nchini Ivory Coast kwa kushinda pwani na usiku kulala sokoni, Je anatoa ushauri gani kwa wanamuziki wanaochipukia, Je katika zile nyimbo za Tanzania alizopiga vipande vipande zilizojulikana kama "NAIROBI NIGHT", pesa ya kuzitumia zile nyimbo alilipwa nani ? Tabu Ley na Sam Mangwana wapo wapi sasa hizi,pamoja na mambo mengine mengi USIKOSE KUMSIKILIZA
0 |
|
0 |
|
Salamaleko Ankal Michuzi na Timu nzima ya Globu ya Jamii.
Ama baada ya salamu,naomba unipandishie kwenye Globu ya Jamii hoja yangu hii kuhusiana na utaratibu wa ulipiaji wa maegesho ya magari katika Uwanja wa Ndege wa zamani (Terminal 1) jijini Dar es Salaam.
Maana hivi karibuni nilikuwa nimeenda uwanjani hapo kumsindikiza ndugu yangu,nilipofika getini nikamkuta jamaa kakaa kwenye kiti huku akiwa ameshika kamba iliyokuwa kwenye chuma lililokuwa limefunga njia na nilipokaribia kwenye chuma lile,jamaa huyo akanyanyuka kwenye kiti chake na akaja dirishani na kunipatia kikadi hicho pichani (si kama kule Terminal 2 ambako tunachukua kwenye mashine) kwa ajili ya kuonyesha muda wa kuegesha gari katika Maegesho ya uwanjani hapo,nikamuuliza kuwa na huku mnachukua ushuru wa Maegesho ya magari?akanijibu ndio na gharama zake ni kama zile za kule Terminal 2.
Sikuwa na maswali mengi zaidi,nikachukua kikadi hicho na kuendelea na safari yangu.
Nilifika sehemu nikaegesha gari na kwenda na yule ndugu yangu mpaka sehemu ya kukata tiketi na baada ya kupata,tukakaa kidogo kupiga stori mbili tatu wakati tukisubiri muda wa safari yake ukaribie ili tuweze kuagana na mie niondoke zangu.
Baadae muda wa safari ukawadia kwa ndugu yangu na mie ndio ukawa muda muafaka wa kuondoka uwanjani hapo,kabla sijaelekea kwenye gari nikakumbuka kuwa nilipewa kikadi cha Maegesho ya gari na hapo ndipo nilipo papasa macho kushoto na kulia ili nione sehemu ya kulipia na kwa bahati nzuri nilikiona kibanda kidogo cheupe (picha ya chini) chenye bango la njano linalotoa maelezo kuwa ni sehemu ya kulipia maegesho hayo.
Nikaenda mpaka pale na kumkuta mwanadada mrembo mwenye tabasamu la kumtoa nyoka pangoni,nikampatia kile kikadi nae akakiangalia na kuniambia natakiwa kulipia shilingi elfu tatu (3,000/=) kwa hesabu alizozipiga kupitia kalukuleta iliyokuwepo mezani pale.
Nikatoa noti ya Shilingi elfu tano nikampatia na yeye akanirudishia shilingi elfu mbili na hicho kikadi akiwa amekiandika tu na peni muda wa kuondoka.
Hapo ndipo nilipomuuliza yule dada kuwa Risiti iko wapi??akanijibu kuwa bado hawajaanza kutoa risiti katika maegesho ya uwanja huo.Nikamuuliza tena inamaana watu wote mnawafanyia hivi,akanijibu ndio wanafanya hivyo toka wameanza kutoza ushuru katika sehemu hiyo.
Sasa hapo ndipo nilipopatwa na Maswali mengi kichwani kuwa hela inayotozwa katika maegesho hayo inakwenda wapi??na inafayiwa kazi gani??na kwanini utaratibu wao ni mbovu namna hiyo?? na maswali mengine mengi bila ya majibu.
Nikaona isiwe shida nikaondoka zangu na leo ndio nimeona nikuletee wewe Ankal ili uiweke kwenye Libeneke letu la Globu ya Jamii ili wadau waweze kuchangia maoni yao na ikiwezekana swala hili lifanyiwe kazi na kuondoa kabisa mambo hayo yanayoendelea katika Maegesho hayo.
Ahsante.
-Mdau wa Globu ya Jamii
Jijini Dar.
0 |
|
0 |
|
Flightlink is a Scheduled and Corporate Air Charter Operator with bases in Dar Es Salaam and Arusha.
The Company is made up of Experienced and talented general aviation professionals and providing strong foundation to achieve its VALUES & OBJECTIVES.
Holder of Air Service License (ASL) and Air Operators Certificate (AOC) our primary VALUES and OBJECTIVES is to operate safe and secured air transport within Tanzania, Provide Quality Service, Be customer Oriented, Have Operational Eficiency with Team Spirit, Continuous improvement of our fleet and understanding customer requirements, be conscientious and responsible with sincerity.
The Company Operates a Fleet of Cessna 208 Grand Caravans, Cessna 206 all fitted with Cargo pods for Schedule Flights and now introducing Cessna Citation 560 Twin Jet for VIP & Medevac Charters With the Introduction of Medevac Flights, Flightlink will strive to be the most comprehensive aeromedical company in Tanzania, Using Cessna Citation 560 (V) Aircraft Powered by Twin Pratt Whitney (JT15D) Turbo Fan Jet Engines, !tted with state of the Art Life Port Air Ambulance Kit.
24Hrs Emergency Medevac and Repatriation services will be offered to those who live work and travel in Tanzania and Neighbouring Countries.

Cessna Citation Centre and LifePort Inc., teamed up to assist Flightlink to prepare and Install Electrical wiring on Citation 560 Jet for Life Port Air Ambulance kit, an efficient and effective Medevac Kit Life Port Inc. is EASA recognised FAA Repair station; it has PMA, STC and TSO approvals from FAA.
The Citation 560’s Interior and the kit is engineered to meet requirements of any medical mission (Casualty to Hospital Transfers).

The Citation will also be used for Personalised VIP Air Charters. It is a solid, reliable private jet that can fly anywhere a mid-sized jet can go at the cost of light- jet travel.
It’s comfortable and has a high performance speed of 850kph. Reliability of the Citation 560 Jet matches Cessnas highest standards in Private Jet Travel.
It is spacious and can accommodate up to 8 passengers with great ease. Featuring a hot and cold beverage area, a well equipped mini bar, flushing toilet and a satellite phone (Aircel) and its baggage compartment is larger than other jets in its class.
The Jet has 1900NM Range and Flies at FL410!
For further information,
contact Email: marketing@flightlink.co.tz
Tel: +255 788 835212.
0 |
|
0 |
|
Hapana hapa sio migombani (Mosh) bali ni sehemu ya kiota kipya cha maraha kilichopo Boko Dovya nje kidogo ya jiji la Dar es salaam barabara ya Bagamoyo road njia panda ya Mbweni, mkono wa kushoto kutokea mjini. Kiota hiki kinatarajiwa kufunguliwa Januari 24, 2013 kwa mujibu wa meneja wake Bw. Solomon Laisser
Wadau wakipasha moto kiota hicho kabla ya ufungunzi rasmi Januari 24
Mkongwe wa Old Skul DJ Seydou ndani ya nyumba. Wanaokumbuka enzi za disko la Mbowe la RSVP watakuwa wanaijua khabari yake. Naye anaahidi kufanya makubwa mambo yakinza rasmi
Mandhari mwanana. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Mwanamuziki machachari Boy George na bendi yake ya Culture Club walikuwa juu na ngoma yao ya 'Karma Chameleon'