Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Viewing all 110186 articles
Browse latest View live

SERIKALI HAIJAFUTA MITITIHANI YA TAIFA YA MASOMO YA DINI


Waandishi wa habari-Shairi zuri la Mloka by Freddy Macha

Mwili wa Mangwea hautawasili nchini leo kama taarifa za awali zilivyokuwa zikionyesha

$
0
0
Kamati ya msiba wa Marehemu Albert Mangweha tunaomba kutoa ya taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert Mangwea hautoweza kufika siku ya jumapili ya tarehe 2/ 06/2013 kama ilivyo taarifa hapo awali, hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu. 

 Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu/wawakilishi wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi. 

 Tunaomba radhi watanzania wote kwa usumbufu wote uliojitokeza tushirikiane na uvumilivu kwa hili. 

 Asante 

 Mwenyekiti wa Kamati 
 Kenneth Mangweha ………………………………… 
 Msemaji wa Kamati 
 Adam Juma ……………………….

semina elekezi ya Airtel Rising Stars

$
0
0
FAINALI za Taifa za michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 za Airtel Rising Stars zimepangwa kuanza kutimua vumbi uwanja wa Kumbu Kumbu ya Karume jijini Dar es Salaam Julai 2 kwa mabingwa watetezi Temeke wavulana kupambana na Kinondoni. 
 Akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars 2013 iliyofanyika Juni mosi katika ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Ofisa Maendeleo wa shirikisho hilo Bw. Salum Madadi alisema ARS ngazi ya mikoa imepangwa kuanza Juni 15 hadi 29. 
 Mikoa inayoshiriki Airtel Rising Stars mwaka huu kwa upande wa wavulana ni mikoa ya kisoka ya Ilala, Kinondoni na Temeke. Mikoa mingine ni Morogoro Mwanza na Mbeya ambapo kila mkoa unatakiwa kushirikisha timu sita. 
Usajili wa timu umepangwa kuanza rasmi kesho Juni 2 na kumalizika Juni 11. Kwa upande wa timu za wasichana, alisema, mikoa itakayoshiriki ni Tanga, Kigoma na Ruvuma na mikoa yote inayoshiriki Airtel Rising Stars mwaka huu iliwakilishwa kwenye semina elekezi na makatibu wakuu ambao walipata fursa ya kupitia kanuni na taratibu za michuano hiyo ya vijana. 
Upangaji wa ratiba uliofanyika leo ni wa fainali za taifa pekee kwa kuwa mashindano ya ngazi ya mkoa yataendeshwa na uongozi wa mkoa husika ikiwa ni pamoja na kupanga ratiba yake. 
Kwa upande wa wasichana timu zitakazofungua dimba katika fainali za taifa ni Ilala na Kinondoni. Kwa ujumla timu 12 zitashiriki fainali za Taifa, sita za wasichana na sita za wavulana. 
 Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo, Meneja wa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mbando alitoa rai kwa makatibu wakuu wa mikoa kuwa makini wakati wa usajili ili kupata vijana wenye vipaji ambao wataiwakilisha vema Tanzania kwenye michuanoa ya kimataifa ya Airtel Rising Stars. 
Vile vile Tanzania itawakilishwa kwenye klini itakayofanyika chini ya makocha wa Manchester United. Alisisitiza alisema nia thabiti ya Airtel Tanzania kuendelea kusaidia mashindano ya vijana kwa nia ya kuendeleza soka nchini na kuishukuru TFF na wizara inayohusika na michezo kwa kuyaunga mkono mashindano haya. 
Naye mgeni rasmi katika semina hiyo , Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Msafiri Kondo aliwaomba wadhamini kuendelea kudhamini michuano hiyo ili vijana wa kike na kiume waweze kufikia malengo yao katika soka. Mwisho….
Baadhi ya makatibu wakuu wa mikoa wa vyama vya soka vya mikoa inayoshiriki michuano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini kanuni za mashindano hayo wakati wa semina elekezi iliyofanyika TFF leo.

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Bw. Jackson Mmbando akiongea na makatibu wakuu wa mikoa na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TFF leo.
Katibu mkuu mkoa wa kisoka wa Temeke Mbarouk Mhamed (kulia) akichukua karatasi wakati wa kupanga makundi na ratiba ya michuano ya Taifa ya Airtel Rising Stars iliyopangwa kuanza mwezi Julai, 2013 uwanja wa Kumbu Kumbu ya Karume jijini Dar es Salaam. Kushoto ni katibu wa DRFA Msafiri Kondo.

LIVE FROM DAR ES SALAAM: POPULAR MUSIC AND TANZANIA's MUSIC ECONOMY By Alex Perullo

$
0
0

An exciting and vibrant study of popular music in Dar es Salaam, Tanzania

The Tanzanian music industry is one of the fastest growing and most expansive on the African continent. Since the 1990s, the music industry has added hundreds of new recording studios, radio stations, live performance venues, music promoters, and musical groups. Unlike many other cities in Africa, live music can be heard most days of the week throughout the city, and there remains a vibrant tradition of both traditional and popular music. The book Live from Dar es Salaam discusses the dramatic rise of the Tanzanian music industry. Early chapters discuss the history of Tanzanian music, including the role that Radio Tanzania Dar es Salaam played in recording and documenting pre- and post-independence music. Subsequent chapters examine live music, including the discussions of dansi, taarab, bongo flava, kwaya, and mchiriku. There is an in-depth presentation of radio stations, announcers, and deejays, as well as a chapter on recording studios and producers. Finally, there is an analysis of music distributors, music piracy, and copyright law in Tanzania.

In addition to the book, there is a video library that can be accessed online showing examples of live performances in all of the major genres of popular Tanzanian music. The video samples correspond to sections of the book. It is a great way to read about the music and then watch clips showing artists performing the same songs.

Before he passed away, Remmy Ongala had a chance to read the book. Here is what he said: "The extensive research for this book provides valuable insight into Tanzanian culture. Live from Dar es Salaam discusses our history and examines current radio stations, performances, recording studios, and music education. In reading this book, young people will learn about what their elders did in the past, and elders will remember those things they took part in. In addition, this book will become a road map for the next generation to use in order to learn about Tanzanian popular music. It is a very important book that illustrates the past, present, and future of Tanzanian music."

If you are interested in the expressive arts in Africa or in the music business, this is certainly an important book to have. You can find the book here:


MDAU SPENCER LAMECK ALAMBA NANDOZZZ YAKE CHUO DIPLOMASIA

$
0
0
Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa Bw Benard Membe akiwatunuku vyeti, stashahada na stashahada za uchumi wahitimu wa chuo cha mahusiano ya kimataifa na diplomasia kwa mwaka wa masomo 2012/13, hafla iliyofanyika chuoni hapo na kuhudhuliwa na mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini.
Baadhi ya wahitimu katika Chuo cha mahusiano ya kimataifa  Diplomasia wakisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikisomwa na mgeni rasm Wazri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa Bw Benard Membe katika mahafali ya 17 ya chuo hicho.
MDAU Spencer Lameck wa kwanza kulia akisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikisomwa na mgeni rasm Wazri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa Bw Benard Membe katika mahafali ya 17 ya chuo cha mahusiano ya kimataifa na Diplomasia hafla iliyofanyika chuoni hapo.
Mpiganaji Spencer Lameck akiwa mzigoni mara baada ya kumalizika kwa mahafali ya 17 ya chuo cha mahusiano ya kimataifa na diplomasia, anayezungumza na spencer ni mbunge wa bunge la afrika Mh said mtanda ambaye naye alihitimu chuoni hapo na kutunukiwa stashahada ya uzamili katika mahusiano ya kimataifa na diplomasia.
Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa kimataifa Bw Benard Membe wanne kushoto akiwa katika picha ya pamoja na wahadhili wandamizi wa Chuo cha Mahusiano ya kimataifa na Diplomasia muda mfupi baada ya kuwatunuku Vveti, Stashahada ya uzamili na Stashahada ya uchumi wahitimu 564 waliohitimu katika chuo cha diplomasia mwaka 2012/13.

Mwanalibeneke Shamim Mwasha na Abdul walivyomeremeta

$
0
0
 Maharusi,Shamim Mwasha (kuli kulia) na Mumewe Abdul (katikati) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau waliofika kwenye mnusho huo.
 Maharusi katika picha ya pamoja na Ankal Khamsin na Mama wa Mitindo,Asia Idarous Khamsin.
 Warembo wa mji wakiolishambulia jukwaa vilivyo kwa mangoma makali ya OldSkol toka kwa DJ Peter Mo. 
 Ankal Othman Michuzi (Mtaa kwa Mtaa Blog) akiwa katika picha ya pamoja na Maharusi kwenye Zulia Jekundu.
 Mwanamuzjiki Mkongwe nchini,Lady Jay Dee a.k.a Bint Komando kwa pamoja na Machozi Band wakitumbuiza jukwaangi wakati wa hafla ya mnuso wa kumeremesha Mwanalibeneke Shamim Mwasha na Mumewe Abdul iliyofanyika usiku wa kumamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Video yaja sooon....

TIMU YA NSSF ALL STRS KWA UPANDE WA MPIRA WA MIGUU YAIBUKA NA USHINDI WA 1- DHIDI YA BUNGE SPORTS CLUB KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOCHEZWA KATIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

$
0
0
 Nahodha wa timua NSSF All Stars kwa upande wa timu mpira wa Miguu, Majuto Omari akionyesha Kombe baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhan Dau baada ya kuifunga timu ya Bunge Sports Club 1-0.
 Wachezaji wa NSSF All Stars wakishangilia baada ya mchezo kumalizika.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA JOPO LA WATAFITI WA MASUALA YA UCHUMI AFRIKA, JIJINI ARUSHA LEO

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Jopo la Watafiti wa Masuala ya Uchumi Afrika (AERC) kujadili athari za Mazingira kwa Maendeleo ya Bara la Afrika, uliofanyika Jijini Arusha leo Juni 02, 2013.
Profesa, Lemma Senbet, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA) Terezya Huvisa, kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA) Terezya Huvisa, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo waliohudhuria wakimsikiliza Makamu wa Rais.Picha na OMR

TAMKO LA MWENYEKITI WA KAMATI KUHUSIANA NA MGENI RASMI SHEREHE YA MIAKA 3 NA TAMASHA LA UTAMADUNI WA KISWAHILI MAREKANI

Rais Kikwete akutana na Mwenyekiti wa mambo ya nje wa bunge la Japan

$
0
0
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya bunge la Japan Mh.Katsyuki Kawai wakati mwenyekiti huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo jijini Yokohama leo .Wengine katika picha kushoto ni Mbunge wa Nzega Dkt.Hamisi Kigwangala na kulia ni Mbunge wa Kasulu mjini Mh.Moses Joseph Machali.Wabunge hao ni wajumbe walioko katika msafara wa Mheshimiwa Rais anayehudhuria Mkutano wa tano wa TICAD unaoendelea jijini Yokohama Japan(picha na Freddy Maro)

Kinana afungua semina ya viongozi wa mashina na kata wilaya ya songeo leo.

$
0
0
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mikono mabalozi wa mashina,Matawi na Kata mara baada ya kuwasili  kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea mapema leo mchana mkoani Ruvuma.Ndugu Kinana alifungua Semina ya viongozi hao juu ya kuimarisha chama na kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha CCM,alikuwa ameambatana pia na Mbunge wa jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Mambo ya Ndani,Dkt. Emmanuel Nchimbi (hayupo pichani).
Pichani ni mabalozi na Wenyeviti wa mashina wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa Maji Maji mjini Songea mapema leo mchana,tayari kwa kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana aliyewasili mjini humo mapema leo kwa ajili ya kufanya semina na viongozi hao.
 Mbunge wa jimbo la Songea Mjini na Waziri wa Mambo ya Ndani,Dkt. Emmanuel Nchimbi  akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndgu Kinana mara baada ya kuwasili mjini Songea leo na kupata mapokezi makubwa akitokea mkoani Jombe baada kuhitimisha ziara yake ya siku saba.
Ndgu Kinana akijadiliana jambo na Mh.Nchimbi mara baada ya kuwasili mjini Songea leo na kupata mapokezi makubwa akitoka mkoani Jombe kwa ziara ya siku saba.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa skafu mara baada ya kuwasili leo kwenye Ofisi kuu ya chama cha CCM mjini Songea, ambapo pia alifanya mkutano mfupi na baadhi ya Wanachama katika suala zima la kuhimiza namna ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi.

The Mboni Show yaadhimisha mwaka mmoja kwa kutoa msaada wa vifaa vya matibabu Amana hospital

WAZIRI MKUU PINDA AZINDUA SHEREHE ZA UTAMADUNI WA WASUKUMA JIJINI MWANZA

$
0
0
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ,Askofu wa Jimbo Kuu la Mwanza Yuda Thadei Ruwaichi (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo wakitazama baadhi ya vitu vilivyohifadhiwa kwenye moja ya mabanda ya kituo cha utamaduni cha wasukuka cha Bujora Juni 2, 2013. Mheshimiwa Pinda alizindua. Sherehe hizo.
Mtoto Gosebert Bwera wa kikundi cha Utamaduni cha Ukerewe akionyesha ufundi wa kupiga ngoma katika uzinduzi wa sherehe za utamaduni wa Wasukuma maarufu kwa jina la Bulabo zilizozinduliwa na Waziri Mkuu , Mizengo Pinda, Bujora Mwanza Juni 2, 2013.
Baadhi ya washiriki washiriki wa uzinduzi wa sherehe za utamadunini wa Wasukuma maarufu kwa jina la Bulabo zilizozinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye kituo cha Utamaduni cha Wasukuma cha Bujora mkoani Mwanza Juji 2, 2013 wakila vyakula vya asili vya kabila hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri MKuu)

MICHUZI BLOG EXCLUSIVE: SUPA MODO FLAVIANA MATATA AACHANA KABISA NA UPARA

$
0
0

Supa  Modo Flaviana Matata anayefanya shughuli zake jijini New York, Marekani, ametangaza rasmi kwamba yeye ana upara ndio basi tena katika hii exclusive interview aliyofanya na Globu ya Jamii akiwa Uwanja wa Ndege wa wa Kimataifa wa Julius Nyerere Juni 2, 2013. Pichani juu hapo ni siku aliyoshinda kuwa Miss Universe Tanzania mwaka 2008 ambapo katika fainali za dunia alikuwa mongoni mwa Warembo 15 bora na kunyakua nafasi ya sita kwa vazi bora



Mh. Lowassa aongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Rukwa

$
0
0
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza machache muda mfupi kabla ya kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo ya Willaya mpya ya Nyasa iliopo Mkoani Ruvuma,katika hafla iliyofanyika kwenye Viwanja vya Msimbazi Centre,Ilala jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi,Mh. John Komba akizungumza machache juu ya Wilaya hiyo mpya wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya Willaya mpya ya Nyasa iliopo Mkoani Ruvuma,katika hafla iliyofanyika kwenye Viwanja vya Msimbazi Centre,Ilala jijini Dar es Salaam.Mh. Komba ndio Mwenyeji wa harambee hiyo akishirikiana na Kamati ya Maendeleo ya Wilaya ya Nyasa.
Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Dk. Cyril Chami (katikati) akitoa ahadi yake ya kuchangia harambee hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza na Prof. Mbele wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya Wilaya mpya ya Nyasa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

KARIAKOO LINDI YADHAMIRIA KURUDI LIGI KUU

$
0
0
Na Abdulaziz Video,Lindi

Timu ya Karikoo Fc ya mjini lindi Ilishuka dimbani kumenyana na timu ya Abajalo Fc ya mjini Dar es salaam Kipute hicho kilichopigwa katika dimba la ILULU uwanja ambao una historia ya kutoiruhusu timu ngeni kuondoka na ushindi.

Mpira ulianza kwa kasi kwa timu zote kushambuliana kwa kasi, kadri muda ulivyokuwa ukisogea Abajalo Fc walionekana kuutawala mchezo huo kwa kuweza kufika langoni mwa Kariakoo Fc mara nyingi lakini ngome ya Kariakoo FC ilikuwa imara, hada mapumziko timu zilikwa bila kwa bila.


Kipindi cha pili kilianza kwa timu ya kariakoo kuliandama lango la Abajalo na kuweza kupata penalt ambayo haikuzaa matunda baada ya Nahodha wa Timu ya Kariakoo Anafy Jamvi kushindwa kuiwezesha timu yake kuongoza kutokana na kupiga penalti hiyo kwa madaha na mpira kwenda nje.

Dakika chache baada ya kukosekana kwa penalti hiyo Kariakoo iliongeza kasi na kuliandama kwa mfululizo lango la Abajalo na Mchezaji Muhsin ndiye aliwainua mashabiki mara baada ya kufunga goli maridadi kwa kupokea mpira wa cross uliopigwa na salum abdalah naye kupiga kichwa maridadi na kutinga wavuni goli ambalo Hadi mwisho wa mchezo matokeo yalibakia KARIAKOO LINDI 1-0 ABAJALO FC.

(Agg 3-2.), Matokeo ambayo ambayo yameivusha timu ya Kariakoo na kujijengea matumiani ya Kurudi Ligi kuu Ya Tanzania Bara Katika mchezo wa kwanza uliofanyika mwishoni mwa wiki timu ya kariakoo ilitoka sare ya mabao 2-2 mchezo uliochezwa jijini Dar es salaam na kwa matokeo hayo kariakoo imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya 3, ambapo itacheza na mshindi kati ya FRANCE RANGERS (Dar) au AFRICAN SPORTS (Tanga)
Mtanange ukiendelea
Furaha ya ushindi
Nyomi la Mashabiki.

kumbukumbu

$
0
0
Mzee Maliki Kiongoli Umetimiza mwaka mmoja tangu ulivyo Twaliwiwa nakutuacha na machungu moyoni mwetu Mimi Mkeo Mwanaid Kiongoli na sintasahau tulivyokuwa tunaishi kwa upendo na ulivyokuwa ukitoa ushauri kwa Watoto wetu kuwa na madili mema kupenda masomo pamoja kuwapenda ndugu zao na majirani zetu Unakumbukwa na Said Amir Jafa Doris,Nancy Nuru, Shemeji zako,Majirani zetu Ndugu zako Mkweo Mpendwa Devis Mosha wajukuu zako Edgar, Angel, Daniela

Familia ya Marehemu Mzee Malik Said Kiongoli inapenda Kuwakaribisha ndugu jamaa na Marafiki Katika Misa ya shukurani itakayo fanyika katika Kanisa la Pentekoste Picha ya Ndege ya kumuombea Mpendwa wao Mzee Malik Said Kiongoli Misa itafanyika Saa Tatu asubuhi siku ya Jumali tarehe 9/6/2013 nabada ya misa Mnakaribishwa Nyumbani kwa Maerehemu Pangani Kibaha Bwana AMETOA BWANA AMETWA JINA LAKE LIHIMIDIWE

President Kikwete and former Japanese Prime Minister Yoshiro Mori speaks on Efforts to Fight Infectious Diseases

$
0
0
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete speaks during a high level panel on “Accelerating the Global  Fight against Infectious Diseases,” held as TICAD V official side event in Yokohama, Japan this morning.on Right side is the former Japan Prime Minister Yoshiro Mori 
  President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete and former Japan Prime Minister Yoshiro Mori shortly after they participated in a high level panel on” Accelerating the Global fight against Infectious Diseases,” held in Yokohama this morning.
 A cross section of the participants to the high level panel on ““Accelerating the Global  Fight against Infectious Diseases,” held as TICAD V official side event in Yokohama, Japan this morning claps as President Jakaya Mrisho  Kikwete concludes his keynote address.(photos by Freddy Maro).

Ngoma azipendazo ankal

$
0
0
Ngoma ya 'Mkono mmoja weka juu' wa Mheshimiwa Temba na Chegge ni noma...
Viewing all 110186 articles
Browse latest View live




Latest Images